Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,980
Kesi nyingi zilizofunguliwa na awamu ya JPM zimefutwa, watuhumiwa wengi tulioambiwa walihujumu uchumi wakanyimwa dhamana wameachiwa kwa maelezo kwamba serikali haina umuhimu wakuendelea na kesi hizo. Awali tuliambiwa wanazungumza na DPP wanalipa lakini Leo hii hakuna anayezungumza na DPP Wala anayelipa Jambo ambalo linatia doa mahakama yetu.
Je, Ni sahihi wanasiasa kutumia mahakama kunyima watu uhuru? Nini mahakama inapaswa kufanya kuepukan na mtego uliopo mbele yao wakuwaweka watu mahabusu bila fidia kwa sababu zakisiasa? Tutaendelea kuweka watu mahabusu Hadi lini kisa tu wanamyizamo tofauti na wetu?