Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Na Mwandishi wetu Mihambwe Wananchi wa Tarafa ya Mihambwe wamejitokeza kwa wingi kuiunga mkono Serikali kwenye hatua ya ujenzi wa vyumba vya madarasa yanayotokana na fedha za mpango wa maendeleo...
0 Reactions
1 Replies
802 Views
Ni muda Sasa wa Tundu Lissu kurejea nyumbani no matter what. Hata Kama akirudi wakamuua Hana Cha kupoteza Tena Chadema haina kiongozi kwa Sasa Mnyika Ni kiongozi goigoi mno na siasa za kimbogo...
31 Reactions
109 Replies
7K Views
Nawasalimu wote kila mmoja kwa imani yake wana JF. Nalazimika kuandika machache Ili nifikishe ujumbe tu. Kichwa cha habari kinajieleza sana, nini namanisha hapa Mh Mbowe ni Mwenyekiti wa chama...
11 Reactions
38 Replies
3K Views
Wanabodi, Hivi karibuni, Hakimu Mustapha Siyani alitupilia mbali hoja za mawakili wa Freeman Mbowe akisema kwamba maelezo ya washtakiwa wote yaliandikwa na kuwasilishwa mahakamani kwa njia zilizo...
1 Reactions
7 Replies
912 Views
Siyo kwamba nawabeza Chadema bali nawakubali kwa namna wanavyothubutu kupigania haki zao. Fikiria kesi ya Ole sabaya Jamhuri ina zaidi ya mashahidi 20 lakini wamefikia shahidi wa 7 jamaa...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Taifa letu na sisi wananchi wake, tunaishi kwenye ndoto za kinadharia ambazo kihalisia, hazipo. Watanzania wote, wawe wanaCCM, wapinzani na wasio na vyama, wenye uelewa na wakweli wa nafsi zao...
4 Reactions
7 Replies
818 Views
Ni dhahiri hata nyie viongozi wa serikali mnakubali kuwa mliingia kitanzini kupata mkopo wa tril 1.3 toka Wb kwa mashariti ya kupambana na Uviko 19 lakini mkijua kabisa hali sio mbaya kihivyo...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Watu walimchagua magufuli kwa kura asilimia 84.3. Bahati mbaya Mungu kamchukua Magufuli. Mama umesema kwa kauli yako mwenyewe wewe na Magufuli ni kitu kimoja. Tunategemea kuona nchi ikiendeshwa...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Air Tanzania among entities that borrowed money without approval, says PAC THURSDAY OCTOBER 21 2021 Summary Another institution named by PAC is the Arusha International Conference Center (AICC)...
8 Reactions
68 Replies
5K Views
Hii ndiyo first eleven ya Mawakili wa Mbowe. Ni baadhi tu, kila siku wanakuja mawakili wapya. Hili ni Jopo la Mawakili wanaomtetea Mwenyekiti wa CHADEMA taifa Freeman Mbowe kwenye kesi yake ya...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Unamsema vipi mtu ambaye hawezi kujitetea Kama Hayati Magufuli, Mkapa au Nyerere? Mimi binafsi Hawa watu siwadai Kama Mungu kashafanya hukumu yake waachwe wapumzike!! Natoa angalizo tu kwa...
10 Reactions
33 Replies
3K Views
TANZANIA has been voted Africa’s leading destination in 2021 World Travel Awards (WTA), the listing announced yesterday with Serengeti named the continent’s top national park and Zanzibar the best...
1 Reactions
0 Replies
856 Views
Baada ya serikali kupokea mkopo wa IMF wa Trillion 1.3 Tshs itapendeza zaidi kuona makampuni yatakayopewa tenda ya ujenzi ama ku supply vifaa yatangazwe rasmi kwenye magazeti. Hii itasaidia...
1 Reactions
6 Replies
796 Views
Jaji Mustapha Siyani katishwa akatishika na kuamua kuisigina haki hadharani mchana kweupe.... Amejitoa kuisikiliza kesi hii kwa maumivu makali katika nafsi yake kwa kuisigina haki mchana kweupe...
18 Reactions
61 Replies
6K Views
Rais Magufuli amesema Kagera haipaswi kuwa ya matatizo bali ya mfano na kutolea mfano majanga yaliyotokea Kagera ya Ukimwi na tetemeko. UKIMWI nyie, Tetemeko Nyie, Mna mto Unaitwa Ngono na Kijiji...
31 Reactions
629 Replies
118K Views
Rais Samia alisema tumpe muda ajenge uchumi kisha suala la Katiba Mpya litafuata. Hakulipuuza, alisema tumpe muda muda. Naona sasa anakwenda vyema, hii awamu ya kwanza katika Urais wake...
0 Reactions
0 Replies
499 Views
Ukitulia kabisa na kama tokea mwanzoni umeangalia Kesi ilivyoanza na inavyoenda huhitaji Akili Kubwa sana kujua kuwa ni Kesi ya 'Kimkakati' zaidi na lazima lililopangwa litokee. Kwa nia njema tu...
30 Reactions
222 Replies
16K Views
Nawaza jambo hapa, kuwa kuna mihimili 3 ya Dola. 1. Bunge ambalo kiongozi mkuu ni speaker wa Bunge 2. Serikali ambayo kiongozi mkuu ni Rais na 3. Mahakama ambayo kiongozi mkuu ni Jaji Mkuu, na...
0 Reactions
139 Replies
22K Views
Hakuna Kitu GENTAMYCINE nachukia kama Unafiki na Mtu kupenda Kukurupuka bila ya Kwanza Kushirikisha Halmashauri yake ya Ubongo, Kichwa na Akili pia. Hata hivyo sishangai sana kwani ndiyo maana...
30 Reactions
68 Replies
6K Views
Tunashindwa kusema Serikali imekosea na tunashindwa kusema Wamachinga walikosea. Kwa kweli hapa hata wapinzani tunapoulizwa tunajikuta tunajibu swali ambalo halikuulizwa. Muulize tu mpinzani...
-1 Reactions
23 Replies
3K Views
Back
Top Bottom