Kamati ya Utendaji ya CHADEMA Kanda ya Nyasa yakutana

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
89,692
2,000
Labda kwa kuwafichulia siri , mimi ni miongoni mwa wazaliwa wa Kanda hii Kabambe , natokea kijiji cha Kajunjumele Wilaya ya Kyela , ni miongoni mwa wadau kadhaa waliochangia kuifuta ccm Kyela, wengine ni Japhet Mwakasumi sasa Marehemu, japo baadaye aliunga juhudi, ila demage aliyoisababishia CCM Kyela haikuweza kufutika , Mzee Kasyupa Alipipi aliyewahi kuwa mbunge wa ccm na Waziri mdogo wa kilimo, mwingine ni Mwanyamaki aliyemshinda Mwakyembe na kuporwa ushindi na polisi kwenye uchaguzi wa 2015, Alinanuswe Mwalwange na King Spoiller Mwaipopo au Gogodo, huyu ni kijana wa mjini aliyesaidia sana vijana wengi wa Kyela kuidharau ccm, idadi ya walioua ccm kyela ni ndefu sana siwezi kuimaliza kuandika hapa

Kwahiyo basi kanda hii inanihusu hasa na ndio maana huwa naguswa na kila jambo la chadema linalofanyika kwenye kanda hii

Leo Mwenyekiti Msigwa ameongoza kikao cha Kamati ya utendaji ili kupanga mikakati kadhaa katika eneo ambalo sitalitaja.

Picha_ya_Pamoja_Kamati_tendaji_kanda_ya_nyasa_baada_ya_kikao_leo..jpg

Mungu ibariki Chadema
 
Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
10,435
2,000
Janjajanja nyingi halafu anatokea mwenyekiti wa maisha "anaibadilisha gia angani" baada ya kutumia muda mwingi kumchafua mzee wa watu katika ile safari yenu pale Mwembeyanga Temeke.....🤣
2969622_images_9.jpeg
 
Jp Omuga

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
4,867
2,000
Maazimio mazito yasiyo na impact hayahitajiki kwa wakati huu.

Ifike hatua uzito wa maazimio usiishie kwenye ukali wa maneno... Bali upimwe kwa matendo!

ccm na polisi kwa sasa washakuwa sugu wa maneno makali!

Itafutwe strategy nyingine nzito zaidi!
 
Kalamu1

JF-Expert Member
Jul 7, 2018
11,780
2,000
Labda kwa kuwafichulia siri , mimi ni miongoni mwa wazaliwa wa Kanda hii Kabambe , natokea kijiji cha Kajunjumele Wilaya ya Kyela , ni miongoni mwa wadau kadhaa waliochangia kuifuta ccm Kyela , wengine ni Japhet Mwakasumi sasa Marehemu, japo baadaye aliunga juhudi , ila demage aliyoisababishia ccm kyela haikuweza kufutika , Mzee Kasyupa Alipipi aliyewahi kuwa mbunge wa ccm na Waziri mdogo wa kilimo , mwingine ni Mwanyamaki aliyemshinda Mwakyembe na kuporwa ushindi na polisi kwenye uchaguzi wa 2015 , Alinanuswe Mwalwange na King Spoiller Mwaipopo au Gogodo , huyu ni kijana wa mjini aliyesaidia sana vijana wengi wa Kyela kuidharau ccm , idadi ya walioua ccm kyela ni ndefu sana siwezi kuimaliza kuandika hapa

Kwahiyo basi kanda hii inanihusu hasa na ndio maana huwa naguswa na kila jambo la chadema linalofanyika kwenye kanda hii

Leo Mwenyekiti Msigwa ameongoza kikao cha Kamati ya utendaji ili kupanga mikakati kadhaa katika eneo ambalo sitalitaja .

View attachment 1983704

Mungu ibariki Chadema
Umetoa taarifa kamilifu sana!

Lakini sijasahau. Uliniangusha tu ulipoingia mitini 2020, baada ya kutangaza kuwa na nia. Nikasubiri kusikia/kuona wapi? Sijui ilikuwakuwaje, maanake hata mrejesho hatukuupata nini nini kilitokea!

Hapo kwenye picha inaonekana timu kabambe. Acheni tu woga, CCM hawana tena ubavu baada ya polisi na nyenzo nyingine wanazotumia kuwaweka madarakani kwa nguvu kudhibitiwa. Hakuna njia, ni lazima wataachia tu, maana ulaghai na uongo watakaoendelea kuuza ili kuwahadaa wananchi hautafanya kazi tena.

Kuweni tayari kuwadhibiti kwenye maeneo hayo, ya uongo na ulaghai kwa wananchi.
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
110,207

Mungu awaongezee nguvu na maisha marefu mzidi kuifyatua ccm.

Pili nawashukuru nyinyi wana kyela na watanzania wengine woote kwa sua zenu zilizo mfanya Mwakyembe akaangukia pua.
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
110,207
2,000
Umetoa taarifa kamilifu sana!

Lakini sijasahau. Uliniangusha tu ulipoingia mitini 2020, baada ya kutangaza kuwa na nia. Nikasubiri kusikia/kuona wapi? Sijui ilikuwakuwaje, maanake hata mrejesho hatukuupata nini nini kilitokea!

Hapo kwenye picha inaonekana timu kabambe. Acheni tu woga, CCM hawana tena ubavu baada ya polisi na nyenzo nyingine wanazotumia kuwaweka madarakani kwa nguvu kudhibitiwa. Hakuna njia, ni lazima wataachia tu, maana ulaghai na uongo watakaoendelea kuuza ili kuwahadaa wananchi hautafanya kazi tena.
Kuweni tayari kuwadhibiti kwenye maeneo hayo, ya uongo na ulaghai kwa wananchi.
Pia usisahau kuwa nguvu yako pia inahitajika ili kuiondoa ccm madarakani.
 
voicer

JF-Expert Member
Jul 13, 2020
652
1,000
Nyie pangeni mpangue mpaka mbowe apigwe hukumu, sasa vema muandae na hela za kusaidia familia zenu, ili pale yatakapowakuta ya huo mkakati wenu.

Basi viongozi wenu uraiani wasianze kutusumbua kutembeza mabakuli ya kuombea misaada!

Kawaulize wake za wale makomandoo hali inayowapata kwa sasa!

Hata uongozi hauwataji tena waume zao, zaidi ya kumsikia Mbowe tu ndie anayetetewa.

Mmechoka ugali wa uraiani sasa mnatafuta ugali wa jela na ugali wa wagonjwa.

Mark my words!
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
19,998
2,000
Labda kwa kuwafichulia siri , mimi ni miongoni mwa wazaliwa wa Kanda hii Kabambe , natokea kijiji cha Kajunjumele Wilaya ya Kyela , ni miongoni mwa wadau kadhaa waliochangia kuifuta ccm Kyela , wengine ni Japhet Mwakasumi sasa Marehemu, japo baadaye aliunga juhudi , ila demage aliyoisababishia ccm kyela haikuweza kufutika , Mzee Kasyupa Alipipi aliyewahi kuwa mbunge wa ccm na Waziri mdogo wa kilimo , mwingine ni Mwanyamaki aliyemshinda Mwakyembe na kuporwa ushindi na polisi kwenye uchaguzi wa 2015 , Alinanuswe Mwalwange na King Spoiller Mwaipopo au Gogodo , huyu ni kijana wa mjini aliyesaidia sana vijana wengi wa Kyela kuidharau ccm , idadi ya walioua ccm kyela ni ndefu sana siwezi kuimaliza kuandika hapa

Kwahiyo basi kanda hii inanihusu hasa na ndio maana huwa naguswa na kila jambo la chadema linalofanyika kwenye kanda hii

Leo Mwenyekiti Msigwa ameongoza kikao cha Kamati ya utendaji ili kupanga mikakati kadhaa katika eneo ambalo sitalitaja .

View attachment 1983704

Mungu ibariki Chadema
Kila la Kheri Majembe
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom