Very soon, Tanzania is going to face political instability and great transformation

Fundi Madirisha

Senior Member
Jun 30, 2020
140
1,000
Nayaona mabadiliko makubwa ya kidemokrasia nchini yatakayoambatana na vurugu zitakazosabsbishwa na watu waliochoka kunyanyaswa,kutishiwa, kubambikiwa kesi na kupigwa. Kuna vuguvugu kubwa linakuja siku za usoni, watu hawajakasirika bado lakini muda siyo mrefu watalazimika kukasirika.

Hili halihitaji utabiri wa kinyota lakini kuna kitu ndugu zangu wanausalama wanaita situational analysis, Kama kweli wana situational awareness watazame tu uhalisia wenye watapata majibu. Ukiona taifa limefikia hatua ya watu kutishwa mabomu ya polisi hawaogopi, wanaharakati hawaogopi kulala mahabusu na hata kufungwa jela kwa yale wanayoyaamini basi mamlaka zinapaswa kusoma alama za nyakati na kukubali tu likae kwenye mstari na kuwasikiliza wananchi. Hakuna dola iliyowahi kushinda wananchi walio na hasira duniani, hakuna hicho kitu.

Kama unaamini kwamba hapa naandika kwa kujifurahisha basi waswahili husema kua muda ni mwalimu mzuri.

Hili taifa lilishaanza kujengwa katika misingi ya kidemokrasia muda mrefu huwezi kufananisha na Uganda na Zimbabwe ya Mugabe. Sidi kwetu tofauti ya kiitikadi ni kubwa na ndiyo iliyozaa tofauti kubwa ya kimawazo.

Watawala wetu wasizibe masikio kwa kutamani kuendelea kutawala.
 
technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,120
2,000
Mtu asiyetarajiwa anakuja kutawala taifa hili

Ataleta katiba Bora kuliko zote Africa.

Atafanya mageuzi ambayo yatakumbukwa kwa vizazi na vizazi.

Kinachotuponza Kama taifa tunabishana na nyakati, Sasa muda waja ambao hakuna mtu ataogopa kuhusu vifaru, mabomu, kufungwa na risasi.

Nchii hii inawaka Moto wa chini kwa chini na Moshi unavuka Ni mdogo Sana Kama vile wanachoma mkaa, wanaficha ukweli ila muda waja watu wote wataongea lugha moja.

Nimeota hii ndoto sio chini ya Mara 3 toka mwaka 2015 lakini watawala wanajaribu kubishana na nyakati .

Tuendelee kuwepo muda Ni mwalimu mzuri Sana.
 
Zawadini

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
1,638

Wananchi hao waliochoka walikuwa wapi miaka yote? Au unazungumzia Tanzania ya ndotoni?
 
kijana13

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
1,460
2,000
Kweli kabisa...jamii imeamka Sana , kupanda kwa vitu Bei, tozo, machinga na Hali ngumu ya maisha yamefanya makundi mengi kuuchukia utawala Sana..katika pita pita zangu Hakuna sehemu nimekuta utawala unakubalika. Hali inaweza kuwa tofauti Sana siku zijazo..lolote laweza tokea.viongozi someni Alama za nyakati .

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
jmushi1

JF-Expert Member
Nov 2, 2007
23,835
2,000
Mtu asiyetarajiwa anakuja kutawala taifa hili

Ataleta katiba Bora kuliko zote Africa.

Atafanya mageuzi ambayo yatakumbukwa kwa vizazi na vizazi.

Kinachotuponza Kama taifa tunabishana na nyakati, Sasa muda waja ambao hakuna mtu ataogopa kuhusu vifaru, mabomu, kufungwa na risasi.
Anakuja kutawala mwaka kesho huyo mtu asiyetarajiwa? Mhn! Ngoja tuone maana hizi tabiri nazo mara nyingine ni noma. Haswa ukizingatia uchaguzi mkuu siyo mwakani.
 
THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Apr 24, 2019
396
1,000
Hakuna Nchi ishapiga hatua Duniani kwa kutegemea chaguzi au kwa kutegemea majadiliano ya kisiasa.
Hapa tu ndio watanzania tunapo feli tunaamini eti mazungumzo ndio kila kitu NO tena BIG NO mazungumzo hayawezi leta suluhu ya mgongano huu uliopo'

Kuna Hatua madhubuti lazima zichukuliwe lazima tukubali lazima tujifunze kwa nchi zilizo na uchumi mkubwa saivi zilifikaje pale ni mbinu zipi na ni changamoto zipi walipitia na walizitatua vipi?
 
singojr

JF-Expert Member
Oct 28, 2014
4,517
2,000
Kama unga ulifika kilo 2200 hatukuandamana, kama ajira zilistop na biashara zikadorora hatukuandamana, vifaa vya ujenzi mfano cement ikatoka 8000 mpaka 15000 hatukuandamana, sukari ikatoka 1600 mpaka 2500 hatukuandamana, tozo zimewekwa kwenye miamala hatukuandamana, local channel hazionekani baadhi ya ving'amuzi hatukuandamana. Mbowe na Lissu wamefanyiwa yao hatujaandamana ni kipi kipya kitatufanya tuandamane?
 
Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
52,035
2,000
Mtu asiyetarajiwa anakuja kutawala taifa hili

Ataleta katiba Bora kuliko zote Africa.

Atafanya mageuzi ambayo yatakumbukwa kwa vizazi na vizazi.

Kinachotuponza Kama taifa tunabishana na nyakati, Sasa muda waja ambao hakuna mtu ataogopa kuhusu vifaru, mabomu, kufungwa na risasi.

Nchii hii inawaka Moto wa chini kwa chini na Moshi unavuka Ni mdogo Sana Kama vile wanachoma mkaa, wanaficha ukweli ila muda waja watu wote wataongea lugha moja.

Nimeota hii ndoto sio chini ya Mara 3 toka mwaka 2015 lakini watawala wanajaribu kubishana na nyakati .

Tuendelee kuwepo muda Ni mwalimu mzuri Sana.
Upo sahihi wanadhani wapo salama
 
Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
52,035
2,000
Kama unga ulifika kilo 2200 hatukuandamana, kama ajira zilistop na biashara zikadorora hatukuandamana, vifaa vya ujenzi mfano cement ikatoka 8000 mpaka 15000 hatukuandamana, sukari ikatoka 1600 mpaka 2500 hatukuandamana, tozo zimewekwa kwenye miamala hatukuandamana, local channel hazionekani baadhi ya ving'amuzi hatukuandamana. Mbowe na Lissu wamefanyiwa yao hatujaandamana ni kipi kipya kitatufanya tuandamane?
Mkuu kila jambo na wakati wake, nani alijua dikteta atakufa kabla ya 2035?
 
Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
52,035
2,000
Nadhani akina Lissu wafanye jambo huko nje, waongee na majeshi ya Ujerumani
 
Prof Koboko

JF-Expert Member
Aug 15, 2020
300
1,000
Kama unga ulifika kilo 2200 hatukuandamana, kama ajira zilistop na biashara zikadorora hatukuandamana, vifaa vya ujenzi mfano cement ikatoka 8000 mpaka 15000 hatukuandamana, sukari ikatoka 1600 mpaka 2500 hatukuandamana, tozo zimewekwa kwenye miamala hatukuandamana, local channel hazionekani baadhi ya ving'amuzi hatukuandamana. Mbowe na Lissu wamefanyiwa yao hatujaandamana ni kipi kipya kitatufanya tuandamane?
We are at the peak.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom