Kwa jinsi mambo ya navyoenda hapa nchini CCM ikiianguka haita inuka tena.

lee Vladimir cleef

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
9,154
33,367
Sio siri CCM ndio ipo madarakani,iwe kihalali ama sio kihalia lakini ndio ipo madarakani.
CCM ndio inayounda selikali,
Ndio inayo unda Bunge na ndio inayoweaka majaji.
Ndani ya serikali kuna vyombo vya dola.
Na ndio inaviweka.
Kwa hiyo hivyo vyombo vote nilovyovitaja navyo ninawajibika kutenda mambo yao kuilinda CCM.
Kwa hiyo CCM hakiwezi kabisa kusimama chenyewe.
Kwa muktadha huo siku CCM ikianguka ndo haita simama tena.
Kwa Akili za kibinadamu unaweza ukadhani CCM haitaweza kutoka madarakani asilani,lakini kiukweli inaweza kutoka hata kesho.
Narudia tena inaweza kutoka hata kesho.
Shupazeni shingo.
 
Ccm ilipewa umri wa miaka 115, kwa mujibu wa mtabiri wa kale....hesabu kuanzia Tanu 1954...mwisho ni 2069.......usiongeleee mambo ya kuanguka Ccm leo
 
Back
Top Bottom