Jaji Warioba, ingekuwa vyema ukaiacha Serikali ifanye kazi, wewe ni miongoni mwa watu wa heshima kwenye taifa hili

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
16,365
12,823
Friends and Our Enemies...

Hivi karibun baada ya Mh RAIS Samia Hassan alipofanya mabadiliko madogo katika Baraza lake la mawazir alisikika akikemea tabia ya baadhi yetu kusimama na kulalama kuwa waliondolewa kwa kuwa wao hawakuwa kabila Fulani,kama kwamba wao wameondolewa kwa Kosa la kuwa ni WA asili ya kabila zao,

Na akazid kusema kwamba yeye hachagui wasaidizi wake kwa kuangalia unatokea kabila gan,na ukiharibu hawez kuacha kukuondoa eti kisa wewe unatokea kabila Fulani,Kigezo Cha kupewa nafas Ni Utanzania wako na elimu yako ikibid na weledi wako katika kazi,

Na siyo kuwa unatoka kabila gan au unatokea dini gan,

Late president Magufuli alifanya teuzi zake kwa utashi wake na kwa kuangalia ni watu gan walifaa kufanya kazi na yeye,hakuna hata siku MOJA tumesikia akipigiwa kelele kuwa alikua anateua kwa ukabila Wala udini japo yalikuwa yanaonekana waz waz yaliyokawa ya afanyika,

Sasa kwako Jaji Warioba tunakukumbusha na tungependa kujua kipindi hiki ulikuwa wapi?

Bodi ya Tanesco aliyoteuwa Dkt. Kalemani

Wakristo watupuuuu


Wajumbe ;

Balozi Dk James Nzagi
John Kihamba
Dk Lugano Wilson
John Kulwa
Denis Munumbu
Dk Gemma Modu
Mathew Kirama
Gilay Shamika

Mwenyekiti Bodi;

Dkt. Alexander Kyaruzi

Mkurugenzi Mkuu

Tito Mwinuka


REA

Bodi ya REA ya Dkt Kalemani

Wakristo Watupu


Members:

1. Dr. Gideon H. Kaunda - Board Chairman
2. Eng. Amos Maganga - Board Secretary
3. Eng. Innocent Luoga - Board Member
4. Ms.Happiness Mhina - Board Member
5. Mr. Theobald Sabi - Board Member
6. Ms. Amina H. Chinja - Board Member
7. Ms.Scolastica H. Jullu - Board Member
8. Mr. Michael P.Nyagoga - Board Member
9. Ms. Stella Cosmas Mandago - Board Member

Jaji Warioba hukuyaona haya?

Labda pia tumkumbushe..udini huu huu ambao ulikuwa na maelekezo ya Polycarp Pengo ulianzia hapa;

*Wateule wa Magufuli: priority Wakristo, Wasukuma Kanda ya Ziwa *

1. TRC Mashanja Kadogosa Mkristo Msukuma

2. TIB Charles Singili *Mkristo Msukuma *

3. ATC Ladislaus Matindi *Mkristo Msukuma *

4. TIC Dr Maduhu Kazi Mkristo Msukuma

5. DG TCRA James Kilaba Mkristo Msukuma

6. Benki ya Kilimo Japhet Justine Mkristo Msukuma

7. PSSSP Hosea Kashimba Mkristo Msukuma

8. TPA Deusdedit Kakoko Mkristo Kanda ya Ziwa

9. TANESCO Dr Tito Mwinuka *Mkristo Kanda ya Ziwa *

10. Chairman TANESCO Prof Alexander Kyaruzi Mkristo Kanda ya Ziwa

11. DG VETA Pancras Bujulu *Mkristo Msukuma *

12. DG REA Amos Maganga Mkristo Msukuma

13. DG SIDO Sylvester Mpanduji Mkristo Msukuma

14. DG Dawasa Cryspian Luhemeja Mkristo Msukuma

15. DG EWURA Godfrey Chibulinje *Mkristo *

16. DG LAPF Eliudi Sanga Mkristo

17. DG NSSF Prof Kyharara *Mkristo Kanda ya Ziwa *

18. DG NSSF William Erio *Mkristo *

19. DG NIC Elirehema Dorie *Mkristo *

20. DG TIRA Mussa Juma *huyu ni Mkristo Msukuma msibabaishwe na jina ; Mkristo huyu *

21. DG NHIF Bernard Konga Mkristo

22. DG Tanzania Airport Authority Julius Ndyamukama *Mkristo Kanda ya Ziwa *

23. DG WCF Masha Mshomba Mkristo

24. DG TASAC (Shipping Agency ) Emmanuel Ndomba *Mkristo *

25. DG RITA Ag. DG Emmy Hudson Mkristo

26. DG TANROADS marehemu Patrick Mfugale *Mkristo *

27. Executive Secretary TCU (Commission of University) Charles Kihampa *Mkristo *

28. DG NIDA Anorld Kihaule *Mkristo *

29. DG NDC marehemu Damian Gabagambi *Mkristo *

30. DG TTB (Utalii) Devota Mdachi Mkristo

31. Gavana Benki Florence Lwoga *Mkristo *

32. CG TRA Edwin Mhede *Mkristo *

33. CAG Charles Kichere *Mkristo *

34. SUMATRA Gilliard Ngewe *Mkristo *

35. DG TBC Ayoub Ryoba Mkristo Kanda ya Ziwa
———————————-

The only Muslims walioteuliwa wakati wa Magufuli as DG wa Mashirika ni 4 tu

1. Dr Maulidi Banyani NHC

2. Dr Athumani Ngenya TBS

3. Waziri Kindamba TTCL

4. Hamza Johari Tanzania Civil Aviation Authority

Hizo ni data ambazo ziko wazi na hazina kificho kila mtu akizitafuta anaweza kuzipata,wakati haya yanafanyika siyo kwamba watu hawayaoni,ila wanavumilia na kuweka fikra chanya kuwa hii ni nchi yetu sote,ila inashangaza Sana why always anapokuwa President ana affiliation na iman ya uislam na akachagua baadhi ya wasaidizi wake Tena competent ambao nao Wana affiliation na iman hiyo anyooshewe kidole,?why hatukuyaona hayo kwa President Magufuli ila tunayaona yakitokea kwa President Samia?tuache hizo double standards na unafiki,

Uongoz unatoka kwa Mungu,pend usipende ameshakuwa president,apewe nafasi afanye kazi kama vile walivyopewa wengine nafas katika kipind Chao wakafanya KAZI.
 
Mitazamo tu ndugu yangu, kila mtu mara nyingi huwa na mitazamo yake ambayo pengine husukumwa na ubinafsi, ukweli wa mambo ulivyo, kujipendekeza n.k

Nakubaliana kabisa nawewe hapo kwenye suala la mitazamo,

Ila kiukweli kabisa,tujikite katika kujenga umoja badala ya kuangalia kwa ukabila au udini,tuwe positive kwa kuangalia kuwa hii ni nchi yetu sote
 
ABA3925F-92B7-490A-88B1-544CBF587528.jpeg
 
Wewe ni muongo na mwenye kutoa maoni kwa mihemko.

1. Sio kweli kwamba Magufuli hajawahi kulalamikiwa kuhusu ukabila. JPM ni Rais ambaye alilalamikiwa wazi wazi kuhusu ukabila.

2. Hivi kama wewe sio vetting authority unajuaje kabila la mtu? Kama kujenga hofu kwa kutumia uongo na jambo usiloweza kulithibitisha?

3. Umesema aliyekuwa MD wa TANESCO ni mtu wa kanda ya ziwa. Toka lini kina Mwinuka wakawa kanda ya ziwa? Majina ya kina Mwinuka yanatumiwa sana na kabila la Wabena wanaoishi mikoa ya Njombe na Iringa. Watu wa Mambako, Wang'ing'ombe, Mufundi, Mafinga, Lupembe na maeneo mengine ya Njombe na Iringa.

4. Kuna ubaya gani watu kutoka kanda ya ziwa wakiwa wengi kwenye ukuu wa taasisi za umma kama wana sifa? Wewe akitokea mtu kutoka kijijini kwenu akawa DG wa taasisi huwa anagawa mshahara wake kwako au ndugu zako wenye shida?

5. Kila kiongozi ana ruhusa ya kuteua watu anaowaamini katika utawala wake ili mradi wana sifa zinazotakiwa na sheria inayounda taasisi husika.

6. Acheni kutengeneza chuki katika nchi dhidi ya jamii fulani fulani au kanda fulani.
Haitatusaidia kitu kama nchi zaidi ya kubomoa.
 
Wewe ni muongo na mwenye kutoa maoni kwa mihemko.
1. Sio kweli kwamba Magufuli hajawahi kulalamikiwa kuhusu ukabila. JPM ni Rais ambaye alilalamikiwa wazi wazi kuhusu ukabila.
2. Hivi kama wewe sio vetting authority unajuaje kabila la mtu? Kama kujenga hofu kwa kutumia uongo na jambo usiloweza kulithibitisha?
3. Umesema aliyekuwa MD wa TANESCO ni mtu wa kanda ya ziwa. Toka lini kina Mwinuka wakawa kanda ya ziwa? Majina ya kina Mwinuka yanatumiwa sana na kabila la Wabena wanaoishi mikoa ya Njombe na Iringa. Watu wa Mambako, Wang'ing'ombe, Mufundi, Mafinga, Lupembe na maeneo mengine ya Njombe na Iringa.
4. Kuna ubaya gani watu kutoka kanda ya ziwa wakiwa wengi kwenye ukuu wa taasisi za umma kama wana sifa?
Wewe akitokea mtu kutoka kijijini kwenu akawa DG wa taasisi huwa anagawa mshahara wake kwako au ndugu zako wenye shida?
5. Kila kiongozi ana ruhusa ya kuteua watu anaowaamini katika utawala wake ili mradi wana sifa zinazotakiwa na sheria inayounda taasisi husika.
6. Acheni kutengeneza chuki katika nchi dhidi ya jamii fulani fulani au kanda fulani.
Haitatusaidia kitu kama nchi zaidi ya kubomoa.

Kusema uongo kwangu ni dhambi,

Kama unahis ni uongo basi Sina la kukusaidia,ni maono yako na fikra zako,

Na una Haki ya kusimamia katika hilo unaloliamin,

Either kama unasema kiongoz ana haki ya kuteua bila kuingiliwa basi ndicho hiki tunachomueleza Jaji warioba
 
Wewe ni muongo na mwenye kutoa maoni kwa mihemko.
1. Sio kweli kwamba Magufuli hajawahi kulalamikiwa kuhusu ukabila. JPM ni Rais ambaye alila
6. Acheni kutengeneza chuki katika nchi dhidi ya jamii fulani fulani au kanda fulani.
Haitatusaidia kitu kama nchi zaidi ya kubomoa.
Sina hakika kama mzee huyu wa "PASSIVE RESISTANCE, gesi hatoki hata kwa mrija wa pen" kama atakuelewa.
 
Back
Top Bottom