Nimegundua wabunge hawasomi bajeti ndio maana wanahoji pesa za mikopo kipindi Cha Magufuli zilienda wapi?

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,908
51,904
Bajeti Waziri wa Fedha hubeba kila kitu na kuwa itakuwa financed vipi

Nimegundua Kuna Shida Mfano Nape anasema ohhh si mlisema Serikali mambo yote mnafanya kwa hell za ndani?

Hivi kipindi Cha bajeti Waziri wa Fedha aliposoma alikuwa kala au? Sababu financing ya bajeti huonesha wazi kila kitu

Spika, Nape anapokea posho bure mikopo mnaidhinisha mkipitisha bajeti kuwa sehemu ya financing halafu baadaye mlaleta miyowe eti ohh Bunge hakikupitisha, stupid you

Kwa hiyo miaka yote mitano alikuwa anabweka tu ndiyoooo bajeti ipite wakati hajui hata kilichomo? Kuwa Kuna mikopo mle!
 
Una uhakika kuwa bajeti ilionyedha hizo pesa za mkopo.....!!?
Yaani tuna wajinga baadhi wajinga mno kila kitu Kiko ndani ya bajeti

Ndio maana serikali huuza dhamana za serikali nk kuwa bajeti Kuna hela zitatokana na Kodi na zingine mikopo

Kasome bajeti zote za miaka yote NAPE IS HOPELESS NI MBUNGE MZIGO BUNGENI

Yale matabu ya bajeti waziri wa fedha anawapa soft copy akae nayo tu ofisini au asingewagawia iwe hard copy au soft copy hawasomi ndio wanakuja na miswali ya kibwege Kama ya Nape
 
watakupotezea muda hao...uwe unawadharau tu, wengi wao ni wanafiki na wengine inawezekana wanatumika ili kubadili upepo na mentality zinazoamini JPM alifanya makubwa na nchi inapaswa kuendelea na uelekeo ule kama SI unit vile..
 
Bajeti Waziri wa Fedha hubeba kila kitu na kuwa itakuwa financed vipi

Nimegundua Kuna Shida Mfano Nape anasema ohhh si mlisema Serikali mambo yote mnafanya kwa hell za ndani?

Hivi kipindi Cha bajeti Waziri wa Fedha aliposoma alikuwa kala au? Sababu financing ya bajeti huonesha wazi kila kitu

Spika, Nape anapokea posho bure mikopo mnaidhinisha mkipitisha bajeti kuwa sehemu ya financing halafu baadaye mlaleta miyowe eti ohh Bunge hakikupitisha, stupid you

Kwa hiyo miaka yote mitano alikuwa anabweka tu ndiyoooo bajeti ipite wakati hajui hata kilichomo? Kuwa Kuna mikopo mle!
Mmetuletea mazombie yaliyopitishwa bila kupingwa, mkadhulumu haki yetu ya kupiga kura.
Msilalamike. Yanapotekea mauvundo semeni sisiyemu oiyeeee
 
Bajeti Waziri wa Fedha hubeba kila kitu na kuwa itakuwa financed vipi

Nimegundua Kuna Shida Mfano Nape anasema ohhh si mlisema Serikali mambo yote mnafanya kwa hell za ndani?

Hivi kipindi Cha bajeti Waziri wa Fedha aliposoma alikuwa kala au? Sababu financing ya bajeti huonesha wazi kila kitu

Spika, Nape anapokea posho bure mikopo mnaidhinisha mkipitisha bajeti kuwa sehemu ya financing halafu baadaye mlaleta miyowe eti ohh Bunge hakikupitisha, stupid you

Kwa hiyo miaka yote mitano alikuwa anabweka tu ndiyoooo bajeti ipite wakati hajui hata kilichomo? Kuwa Kuna mikopo mle!
Nyinyi walamba viatu vya watawala mbona hamtaki uchunguzi kwa mungu wenu ?!. Kwani mikopo si tunalipa wote ?! Tatizo ni mini CAG akiyapitia ?

Mtu mnasema ni mzalendo kwanini asisafishwe kwenye ukaguzi ?!. Mbona yeye mwenyewe aliamuru watu wakaguliwe ?
 
Kipimo Cha ubwege bungeni Ni Nape Nnauye ukisena ohh mbunge wetu bwege uliza Ni bwege Kama Nape Nnauye asiyesoma bajeti ya waziri wa fedha kwa miaka mitano asiyejua mle ndani mna mikopo na akaipitisha?
 
Tulikubaliana tunatekeleza miradi kwa fedha zetu za ndani! sasa deni linapandaje jaman!
 
Kipimo Cha ubwege bungeni Ni Nape Nnauye ukisena ohh mbunge wetu bwege uliza Ni bwege Kama Nape Nnauye asiyesoma bajeti ya waziri wa fedha kwa miaka mitano asiyejua mle ndani mna mikopo na akaipitisha?
Bwege Sawa !!. Lakini uchunguzi ukifanyika utaharibu nini ?!
 
Kasome bajeti ya miaka yote mitano aliyohoji Nnauye mjinga huyo
Tuonyeshe kwenye bajeti ni wapi zimetengwa fedha za kugawa kama njugu rais akiwa ziarani? Hivi SSH toka ameingia madarakani umemuona akigawa fedha barabarani au kununua jogoo??
 
ye kahoji km matumizi ya pesa yaliendana na uhalisia wa miradi husika sasa bajeti hapo itakusaidiaje kujua? hapa mkaguzi ndo atufahamishe
Wala hakuuluza uhalisia aliuliza maswali ya mibwey kuwa ohh mbona serikali ilisema inafanya mambo yote kwa pesa za ndani sio mikopo! Bajeti ya serikali ndio law ikisapitishwa na Bunge na kusainiwa na Raisi miaka yote mitano aliiona au hakuiiona? Mjinga Sana? Eti ohh Bunge hakikupitisha mikopo akipopitisha bajeti ya wizara ya fedha miaka yote mitano mikopo hakuiona mle kwenye bajeti?

Nape Ni Zigo Bungeni hasomi bajeti for five solid years na posho anachukua this is unfair

Hatuwatendei haki wananchi
 
Bajeti Waziri wa Fedha hubeba kila kitu na kuwa itakuwa financed vipi

Nimegundua Kuna Shida Mfano Nape anasema ohhh si mlisema Serikali mambo yote mnafanya kwa hell za ndani?

Hivi kipindi Cha bajeti Waziri wa Fedha aliposoma alikuwa kala au? Sababu financing ya bajeti huonesha wazi kila kitu

Spika, Nape anapokea posho bure mikopo mnaidhinisha mkipitisha bajeti kuwa sehemu ya financing halafu baadaye mlaleta miyowe eti ohh Bunge hakikupitisha, stupid you

Kwa hiyo miaka yote mitano alikuwa anabweka tu ndiyoooo bajeti ipite wakati hajui hata kilichomo? Kuwa Kuna mikopo mle!
Hatutaki wapiga mayowe, kama wewe, tinataka hesabuuuu🏋️.
 
Back
Top Bottom