Huko siku za nyuma, halikuwa jambo la kawaida mtu kubambikiwa kesi, tena kesi kubwa ambazo hazina dhamana, kesi za ugaidi, uhujumu uchumi, utakatishaji fedha haramu na ufanyaji biashara ya madawa ya kulevya.
Siku hizi, kesi hizo zimekuwa za kawaida sana, na zaidi wanaokamatwa kwa tuhuma za makosa hayo, na kisha kusoteshwa mahabusu za polisi kwa muda mrefu, ni wanasiasa wa vyama vya upinzani hasa wanaowakosoa watawala.
Kikwete, utawala wake, ilimbabikia kesi ya ugaidi Mh. Rwakatare aliyekuwa mbunge wa jimbo la Bukoba mjini. Huku Mwigulu akijiapiza kuwa ana ushahidi ambao yupo tayari kuutoa hata mbinguni, mahakama ilimwachia huru Rwakatare. Na hivyo kudhihirisha kuwa polisi walimbambikia kesi ya ugaidi ili kumkomoa.
Wakati wa Kikwete huyo huyo, mashekhe wa uamsho kule Zanzibar walikuwa wamechachamaa kutaka Zanzibar iwe huru zaidi katika
mambo yake, na mahubiri yao kwa namna fulani yaliamsha chuki ya Wazanzibari dhidi ya watanganyika waliokuwà wakiishi kule. Kikwete, utawala wake ukawabambikia kesi.za ugaidi.
Samia alipouchukua Urais, aliwakuta watuhimiwa 4 (mashekhe) waliobambikiwa ugaidi, nao wakiwa wamebambikiwa na utawala wa Kikwete. Akawatoa. Akaanza na wa kwake. Kwa ufupi, ukitazama ubambikiaji wa kesi za ugaidi kwa watawala hawa watatu:
Kikwete katika miaka 10, aliowabambikia ugaidi 4.
Magufuli katika miaka 5, aliowabambikia ugaidi 0 ila maelezo ua wabunge kama Zito na yule wa Kilwa, ni kwamba walimalizwa kwa mtutu wa bunduki ni zaidi ya 80.
Samia, chini ya mwaka mmoja, amewabambikia ugaidi 3 ( Mbowe, na wenzake 3), wamaliomalizwa kwa mtutu ni 1 (Lijenje).
Mpaka hapo, tukifanya comparative analysis kwa kuangalia muda ambao Rais amekaa madarakani, katika kubambikia watu kesi za ugaidi:
1) Samia
2) Kikwete
3) Magufuli
Katika kuwamaliza kwa mtutu, watu wanaoonewa kwa kubambikiwa tuhuma za ugaidi:
1) Magufuli
2) Samia
3) Kikwete
Overal Performance katika kubambikia na kuua kwa basis ya ugaidi kwa kuangalia muda ambao myawala ameishi madarakani:
1) Samia
2) Magufuli
3) Kikwete
Kipindi cha utawala wa Mwalimu Nyerere, Mwinyi na Mkapa, hakuna aliyewahi kubambikiwa kesi ya ugaidi. Chini ya itawala wa Kikwete, Rwakatare alikuwa wa kwanza kubambikiwa kesi ya ugaidi. Kwenye hili, utawala wa Kikwete ni muasisi.