Maji Marefu: Nape Akisema juu ya Mambo ya ajabu juu ya JPM nami nasema alivyopenya kwa bao la Mkono

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,885
Hii inaitwa Mwaga ugali sie twamaga Mboga: hii ni dhahiri CCM ilipita kwa bao la mkono ndio maana mtawala mkuu hajiamini kabisa.

Kawa Nape akisema ya ndani ni wazi yanayosemwa yanaukweli mkubwa sana bila shaka nae Nape atapotea kama wengine.
FB_IMG_1491823896116.jpg
 
Hii inaitwa Mwaga ugali sie twamaga Mboga: hii ni dhahili CCM ilipita kwa bao la mkono ndio maana mtawala mkuu hajiamini kabisa.

Kawa Nape akisema ya ndani ni wazi yanayosemwa yanaukweli mkubwa sana bila shaka nae Nape atapotea kama wengine.View attachment 493694
Tumemsamehe Nnape kama Nnape, magufail tutamuadhibu.
(adhabu yenyewe ni kila akihutubia tunamkodolea mimacho na akijichekesha tunamcheka kwa nguvu)
 
Mh Rais, Usimjibu Nape hata neno moja wala usimkamate kwa yote atakayosema. utakuwa umemkomeshaje
 
Alikuwa wapi kusema siku zote? Aache wivu wa kike. Kama alikuwa na nia njema alisubiri nini? Waganga wa kienyeji sijui akili zao zinaishi kwenye kibuyu milai?!
 
Hii inaitwa Mwaga ugali sie twamaga Mboga: hii ni dhahiri CCM ilipita kwa bao la mkono ndio maana mtawala mkuu hajiamini kabisa.

Kawa Nape akisema ya ndani ni wazi yanayosemwa yanaukweli mkubwa sana bila shaka nae Nape atapotea kama wengine.View attachment 493694
Kisha sema na jinsi ccm ilivyofanikiwa kuunyang'anya ushindi wa urais wa Lowassa kupitia mwenyekiti wa tume ya uchaguzi.
 
Sioni la ajabu hapo.Hiyo ipo kila chama, unaweza ukashindwa kura za maoni lakini ukawa potential kwenye,lazima kamati kuu ikupitishe wewe.
 
Mhe. Magufuli endelea kujipanga kuwanyoosha wote wanaobwabwaja ovyo kwenye chama chako.

Kuna vijana na wananchi wengi wanakufaa kuwatumikia wananchi, hawa mazoea ya kula vya ovyo kuhujumu nchi na madili yao enzi hizo akili zao zimekuwa za udaku tu siku hizi.

Endelea kuwanyoosha baba hadi mambo yao nyuma ya pazia ya maslahi yao binafsi, wagombane huko huko na sio kutumia serikali au chama kuleta madudu na majanga ya ajabu sana na sie wananchi tuyasikie.
 
Back
Top Bottom