Elitwege
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 5,154
- 10,809
Kangi Lugola akiwa waziri wa mambo ya ndani alitumbuliwa na hayati rais Magufuli kwa kosa la kuingilia kazi ya waziri wa fedha Dk Mpango kwenda kukopa nje.
Kwenye serikali ya awamu ya tano aliyekuwa anaruhusiwa kukopa kwa niaba ya nchi ni waziri wa fedha tu.
Kwa hiyo huo uongo wa kina Nape hauna mashiko na uzuri Dk Mpango bado yupo