Lituye
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 1,863
- 5,694
Wadau hebu tujaribu kuvuta taswira ya uchaguzi ujao Wa mwaka 2020 kati ya makada hawa wawili ndani ya CCM.
Najaribu tuu kujiuliza je? JPM atampitisha Mh. Nape kugombea kupitia jimbo la Mtama Kama Nape atagombea?
Na Kama Nape atapitishwa kugombea je, atasimama kidete kumnadi JPM kuwa ni kiongoz safi anafaa kuchaguliwa tena? Na JPM je atamnadi vizur Mh.Nape kuwa anafaa?
Kwa hali ninavyo ona ktk darubini, huenda mmoja wao jina likakatwa. Hii inatoka na mitazamo yao hulka zao na nini wanacho amini kutofautiana Sana.