Kwanini kwenye television hatuonyeshwi Jaji au Hakimu wakati wa kesi kama wafanyavyo Kenya!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,957
141,948
Kwa mfano katika kesi ya ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe kila siku tunaonyeshwa Mbowe na watuhumiwa wenzake wakisalimiana na Wakili Kibatala kisha tunaonyeshwa karandinga la magereza mwisho utasikia " mimi ni Godfrey Monyo wa ITV "

Kwanini Jaji au Hakimu huwa hawaonyeshwi kama wafanyavyo Kenya ambao kimsingi kila kitu kinakuwa wazi?

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
 
Kamuulize chakubanga
 
Kenya iko mbele kwenye demokrasia. Moja ya elements zinazounda democracy inaitwa "Transparency". Hapa Tanzania demokrasia haijakua kama ilivyo Kenya ndio maana hakuna Transparency kwenye shughuli za mihimili ya dora ikiwemo mahakama.
Kwa kiasi nimekuelewa bwashee!
 
Kwa mfano katika kesi ya ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe kila siku tunaonyeshwa Mbowe na watuhumiwa wenzake wakisalimiana na Wakili Kibatala kisha tunaonyeshwa karandinga la magereza mwisho utasikia " mimi ni Godfrey Monyo wa ITV "

Kwanini Jaji au Hakimu huwa hawaonyeshwi kama wafanyavyo Kenya ambao kimsingi kila kitu kinakuwa wazi?

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Si ukuhamie Kenya.
 
Ni hatari kuonyesha Magaidi walipo,mabeberu wanaweza wavamia nakuwapeleka Guatanamo
 
Wewe uliyeopo korido za Lumumba ndio ulipaswa kufahamu.
 
Kwa mfano katika kesi ya ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe kila siku tunaonyeshwa Mbowe na watuhumiwa wenzake wakisalimiana na Wakili Kibatala kisha tunaonyeshwa karandinga la magereza mwisho utasikia " mimi ni Godfrey Monyo wa ITV "

Kwanini Jaji au Hakimu huwa hawaonyeshwi kama wafanyavyo Kenya ambao kimsingi kila kitu kinakuwa wazi?

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Hiyo session ya bunge tu pekee hawaonyeshi ndio wakuonyeshe session ya Mahakama?

Wao wanataka kuonyesha machinga, Rais akipanda ndege, RC akimfukuza mtu kazi, wakisaidia masikini au wanapofungua shule au daraja, haya mengine sio priority ya serikali na imeshazoeleka kwa watanzania ndio maana utaona hawaongelei masuala kama haya wao wanakuambia shule , hospital, daraja, barabara kwisha ukishawapa hayo we utawatawala miaka hata mia kama alivyowaweza Magufuli
 
Hii nchi bdo ipo gizan bwashee
Kwa mfano katika kesi ya ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe kila siku tunaonyeshwa Mbowe na watuhumiwa wenzake wakisalimiana na Wakili Kibatala kisha tunaonyeshwa karandinga la magereza mwisho utasikia " mimi ni Godfrey Monyo wa ITV "

Kwanini Jaji au Hakimu huwa hawaonyeshwi kama wafanyavyo Kenya ambao kimsingi kila kitu kinakuwa wazi?

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
 
Kama huruhusiwi tu kupiga picha kambi ya jeshi,utaruhusiwa kweli kumpiga picha jaji akiwa mahakamani?
 
Nafikiria itv wana ripoti vile serikali wanataka. Maana ata kutoa ripoti ya maswali ya mawakili upande wa pili wanatoa kwa uchache.

Utasikia alipo wapekua maungoni kuanzia chini hadi juu akawakuta na bunduki na kete, mimi ni godifrey munyo
 
Kwa mfano katika kesi ya ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe kila siku tunaonyeshwa Mbowe na watuhumiwa wenzake wakisalimiana na Wakili Kibatala kisha tunaonyeshwa karandinga la magereza mwisho utasikia " mimi ni Godfrey Monyo wa ITV "

Kwanini Jaji au Hakimu huwa hawaonyeshwi kama wafanyavyo Kenya ambao kimsingi kila kitu kinakuwa wazi?

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Kesi za kubambikiwa zinaratibiwa na mwenyekiti wenu. Huyohuyo ndio anateua majaji, wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama nk. Haki itatoka wapi? Ndio maana mnaona aibu kurusha hewani
 
Kwa mfano katika kesi ya ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe kila siku tunaonyeshwa Mbowe na watuhumiwa wenzake wakisalimiana na Wakili Kibatala kisha tunaonyeshwa karandinga la magereza mwisho utasikia " mimi ni Godfrey Monyo wa ITV "

Kwanini Jaji au Hakimu huwa hawaonyeshwi kama wafanyavyo Kenya ambao kimsingi kila kitu kinakuwa wazi?

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Halafu karandinga linaoneshwa likiwa speed 200 kuingia mahakamani vumbi kibao ,gari bado halijasimama watu washaruka mitaa 100 nje na silaha kibao ...

hujakaa sawa hawaonyeshi chchte zaidi ya wakili na ndinga hizo na story kibao za kilichotokea....

Na cha kushangaza ITV pekee ndo wanao toa ripoti ya kilichojiri mahakamani vyombo vingine viko buzy na kuripoti mamb ya ovyo cjui vituko mtandaoni

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Hahahaaaa..........!
 
Back
Top Bottom