Mapungufu katika Ukusanyaji wa Mapato Serikali kuu

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,100
2,000
Katika ukusanyaji wa mapato ya Serikali Kuu, CAG alibaini;

a) Kupotea kwa kodi ya Tsh. Bilioni 12.14 ya Mafuta lita milioni 16.55 yaliyoingizwa Nchini kama Mafuta ambayo yalikuwa yanakwenda Nchi jirani lakini hayakutoka nje ya Nchi
-
b) Kutokusanywa kwa kodi ya ongezeko la thamani (VAT) ya Tsh. bilioni 8.90 kutokana na Wafanyabiashara kushusha thamani ya Mauzo katika ripoti zao za Mwezi

c) Upotevu wa makusanyo yenye thamani ya Tsh. bilioni 1.24 yaliyokusanywa nje ya Mfumo wa malipo ya Serikali GePG na ambayo hayakupelekwa Benki.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom