Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tunaomba Jumuiya ya Kimataifa itusaide kumwajibsha Makonda. Ushahidi upo tele na USA alishaweka bayana wapi pa kuanzia. Tunataka awajibishwe
26 Reactions
133 Replies
10K Views
Waziri wa fedha Dr Mwigullu Nchemba ameagiza kufanyika ukaguzi wa matumizi ya fedha za Corona takribani tsh 1.4 trillioni nchini kote fedha zilikofika. Fedha hizo ni mkopo nafuu kutoka IMF...
2 Reactions
49 Replies
3K Views
Wakati wameshindwa kutuajiri, bado hata tulipojiajiri wanafuata na kutuwekea vikwazo vya kutosha, walaaniwe kwa matozo, makodi ya kila aina, walaaniwe Wakati vijana tunaona fursa nje ya nchi wao...
20 Reactions
41 Replies
3K Views
Wote tuliokulia miaka ya 60, 70, 80 tunajua vyema, wakati huo Tanzania ilikuwa 'jogoo' katika ulinge wa Kimataifa. Hivi kwamba, katika mahafali ya Kimataifa Tanzania ikimwunga mkono mtu, nchi...
0 Reactions
1 Replies
723 Views
Kwa maono yangu juu ya uongozi wa raisi wa Zanzibar wa sasa ni wazi kwamba Zanzibar itapaa kiuchumi na kuwa sehemu ya kutembelewa zaidi kuliko bara. Mipango na mikakati ya raisi wa Zanzibar...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Pia, soma https://www.jamiiforums.com/threads/tanzania-kuuza-umeme-nje-ya-nchi-kuanzia-mwakani.488637/...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu ameshauriwa kama mtu mzima aombe msamaha kwa watanzania kwani mtu mzima akivuliwa nguo huchutama na siyo kukimbia uchi. Ni miaka sita sasa tangu Tundu...
7 Reactions
60 Replies
6K Views
Uzi huu utakuwa maalumu kwa kupeana taarifa za miradi mbalimbali inayosuasua au iliyokwama kumalizika ujenzi wake ili kusaidia kuiamsha serikali iweze kutupia jicho kwenye hiyo miradi iweze kuisha...
5 Reactions
45 Replies
4K Views
Ifuatayo ni miradi mikubwa iliyojengwa na wakoloni:- 1. Ujenzi wa Bandari ya DSM 2. Ujenzi wa Bandari ya Tanga 3. Ujenzi wa Bandari ya Mtwara 4. Ujenzi wa uwanja wa ndege wa DSM 5. Ujenzi wa...
27 Reactions
87 Replies
11K Views
Kuna watu humu naonaga wanaumia kuhusu urithi (legacy) ya Magufuli mpaka wanajenga hoja eti inalazimishwa kwa nguvu. Mi nawaambiaaga ni watu wenye akili kubwa tu tunaoelewa urithi wa Magufuli...
9 Reactions
30 Replies
3K Views
Hao vijana watano ndio walipelekwa maeneo yenye upinzani wa kweli na kazi walifanya kwa kweli. Huyu Lengai ndio alipendwa zaidi kwanza ndio mdogo miongoni mwa hao big 5 lakini pia alikuwa ni DC...
2 Reactions
67 Replies
5K Views
Leo Paul Makonda ameporomosha maneno mazito kwa wanaowatetea wanaopata mimba mashuleni kwa kusema kuwa akili zao zinawatosha kuvaa nguo tu. Pamoja na hayo pia amesema watu hao ni wajinga na...
10 Reactions
127 Replies
13K Views
Je ndio ameamua kuwa kimya ili Mbowe akifungwa aje Kama Mwenyekiti mpya wa chama?!!. Je ameamua kufuata mkondo wa Swahiba wake Zitto Zuberi Kabwe aliyekaribia kumsajili ACT-Wazalendo kuwa...
8 Reactions
100 Replies
9K Views
CCM wameshamaliza kila kitu na nchi inazidi kupaa katika ramani ya Dunia kwani chini ya CCM sasa Tanzania inavuma kama upepo wa kusi. Enyi msiosikia ambao mnatamani kukamata Uongozi wa Nchi hii...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Akizungumza kwenye kipindi cha Dakika 45 ITV, makamu wa kwanza wa Rais na waziri mkuu mstaafu Jaji Warioba amesema taifa limeanza kurudi kwenye matabaka ya Waheshimiwa na Makabwela. Amesema...
6 Reactions
55 Replies
4K Views
Rais Samia amesema Dunia kwa sasa inakabiliwa na tatizo jipya la Usalama (Ugaidi). Ameeleza hayo katika Ufunguzi wa Kikao cha Mkuu wa Majeshi kinachofanyika Ngome ya Lugalo Ameeleza, "Kwa hulka...
8 Reactions
81 Replies
9K Views
Polisi huvalishwa na sisi wananchi, wanaishi kwenye nyumba zinazogharamiwa na sisi wananchi, wanasafirishwa kwa magari yanayogharamiwa na sisi wananchi. Hata buti na soksi zao ni sisi wananchi...
10 Reactions
19 Replies
1K Views
ALIYOSEMA WAZIRI WA MADINI MHE. DOTO BITEKO KUHUSU MAFANIKIO YA MIAKA 60 YA UHURU WA TANZANIA BARA LEO NOVEMBA 5,2021 JIJINI DODOMA #Mwaka 2009 Serikali ilitunga upya Sera ya Taifa ya Madini na...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Ni mshangao mkubwa TZ baada ya miaka 60 tunakopa tena kwa riba fedha za kujenga madarasa ya shule Za sekondari.? Kama Taifa tujiulize tumekosea wapi au tumelogwa na nani? Nilitarajia mikopo...
9 Reactions
28 Replies
2K Views
Katika binadamu aliowaumba hapa duniani watanzania aliwapa sifa na vipawa tofauti kama ifuatavyo Wakati MUNGU amewaumba wanadamu kusahau lakini wamepewa uwezo wa kukumbuka lakini Watanzania...
0 Reactions
0 Replies
656 Views
Back
Top Bottom