Amani ya bwana iwe nanyi.
Mimi kama mfanyabiashara wa kimachinga tangu awamu ya mzee Mkapa, naomba nichukue nafasi hii kuipongeza sana serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais Magufuli...
Jukumu la elimu bora ni la Mzazi mwenyewe kuchagua aina ya elimu. kuendeleza elimu hii ya kikoloni ya kusoma kumaliza miaka au kubadilika kuwekeza kwenye elimu ya utambuzi na uvumbuzi yenye...
Kwenye nchi za watu waliostaarabika, ukiwa kiongozi, maana yake unatakiwa uwe mfano wa kufuata na kutii sheria.
Kwa Tanzania, ukiwa kiongozi maana yake umepewa ruhusa ya kuvunja sheria.
Nadhani...
Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru amesema kuwa katika uchaguzi mkuu wa Octoba 2020 CCM itatumia mbinu, mikakati na ubunifu ule ule uliotumika kupata ushindi wa kishindo kwenye uchaguzi wa serikali za...
Rais wa JMT mh Samia Suluhu Hassan amesema wakati Mapinduzu matukufu ya Zanzibar yanafanyika 1964 alikuwa na umri wa miaka 4 na hakufikiria kama leo atakuwa Rais wa JMT.
Rais Samia amesema hayo...
Hivi ni kweli badiliko hili la Mawaziri lililenga kuondoa wanaojipanga kwa urais 2025?
Unawaonyesha Watanzania ya kwamba Kitila Mkumbo na Waitara ndio waliokuwa wanautaka urais?
Ukweli ni kwamba...
Kampeni za kuwania kiti cha spika wa bunge la Tanganyika zimepamba moto. Kuna nyuso kongwe chakavu zinatajwatajwa na kujitokeza sana hasa huko vijiweni na mitandaoni baada ya spika mtangulizi...
Benki ya dunia imeitahadharisha Serikali ya Tanzania juu ya ukubwa wa deni lake lililofikia trillion 47+ kwa rekodi mpaka mwezi Mei mwaka huu.
Imetaja japo deni bado ni himilivu lakini Tanzania...
Nashangaa watu wanavyomsifu Pole pole but me sion kazi waliyofanya kwenye chama chetu hiki ye na mwemzake
Nape na Kinana waliipambania CCM 2015 kabla ya uchaguzi walizunguka nchi nzima...
KATIKA MAISHA YAKO YA SIASA EPUKA MAMBO HAYA;
Kwa Mkono wa Robert Heriel.
Endapo utapenda uongozi na utawala, mpaka ikakubidi kujiingiza kwenye mapito ya kisiasa, basi nakusihi Epuka mambo haya...
KUNA RESEARCH IMEHUSISHA VYAMA VINAVYOTAWALA DUNIANI NA KUVI-RANK,
KUHUSU VYAMA TAWALA
Katika vyama hivyo CCM ya tanzania imehusishwa pia katika reseach, maeneo ya research yamehusisha yafuatayo...
Katiba ya Tanzania Ibara ya 84(1)(2) inatamka kuwa Spika wa Bunge anaweza kuwa mtu yoyote ambaye ana sifa za kuwa mbunge(sio lazima awe mbunge). Watu wenye madaraka kama mawaziri, Naibu Waziri na...
Wanajamvi, Hii nchi yetu mambo yake ni kama tamthiliya!
Baada ya kufuatilia kuhusu maisha ya Ruge kutokana na tetesi kuhusiana na kifo chake, pamoja na wale wanaosemekana kuwa “maadui zake”...
WALIOSHINDWA KUMSHAURI VIZURI HAYATTI MAGUFULI WAONDOLEWE KWENYE UONGOZI
Na, Robert Heriel.
Katika makala yangu niliyoandika mwaka juzi, niliyoipa kichwa kisemacho "Njama za Ikulu, hata Rais...
Baada ya waziri wa habari kudai wanasubiri ripoti ya uchunguzi wa uvamizi wa kituo cha runinga cha clouds dhidi ya aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa dar es salaam bw. Paul Makonda imenikumbusha...
Natanguliza ombi la msamaha kama ilitokea nimemsikia vibaya Mhe. Waziri mkuu wakati akitoa salamu za serikali wakati wa uapisho wa viongozi, ikulu Dodoma leo.
Mhe. Waziri Mkuu amesema leo ni siku...
Rais Samia anatumia mbinu za Kikwete kuangamiza vipaji vya watu katika uongozi
Kikwete alipoona Mwandosya ni President material alichofanya ni kusingizia eti kumpa kazi maalumu Ikulu akamzika...
Furaha Dominic ambaye ni mtoto wa dada wa hayati Magufuli amesema haoni tofauti yoyote kati ya utawala wa mjomba wake na Rais wa sasa mh Samia.
Dominic ambaye aligombea ubunge Kawe amesema...
Wakati Katiba Mpya inaandikwa kama ningelikuwepo kwenye mazingira hayo, ningependekeza kuwepo na Mihimili minne katika Tz kwa jinsi mambo yanavyoenda tangu baada ya awamu ya kwanza ya uongozi wa...
Rais alisema kuwa mawaziri atakaowaacha kwenye uteuzi ni wale wenye tamaa ya urais 2025. Baada ya kauli ile watu walitega masiko kuona ni akina nani wataachwa.
Walioachwa pamoja na Ndugai ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.