Wengi tunasikia nakuona mengi katika giza na nuru lakini ni nani ajuaye nyakati Taifa linapita. Wengi hatujuwi ila wakati ni darasa. Huenda kukawa na nyakati ngumu katika Utawala wa sasa na hii...
Huo ndio ukweli.
Mfumo wa Siasa wa Tanzania hauna mgombea binafsi kama ilivyo Kenya na kwingineko duniani so ili uwe na bunge ni lazima kwanza uwe na vyama vya siasa.
Uhuru wa bunge uko wapi...
Mimi mtanisamehe maana bado ni muumini wa Baba wa Taifa Hayati Mwl. Jk Nyerere.
Nakumbuka enzi za uhai wake aliwahi kutaja mambo manne muhimu ambayo yeye binafsi aliamini tulitakiwa (na mimi bado...
Kwa CCM inatimiza yale yalioandikwa kwenye ilani na kuahidiwa basi sisi wananchi wa Chato tunaomba tujengewe chuo kikuu kiweze kusomesha vijana wetu na nje ya mkoa na nchi jirani.
Kwa hayo yote...
Ukifuatilia kesi inavyoendelea yapo Mambo makuu matatu unayabaini kuhusu shahidi wa Jamhuri SP Jumanne. Kwanza, swali kwamba anatoka kabila gani na kujibu kwamba ni Msukuma Lina maswali mengi hasa...
Katika kuuaga mwili wa Balozi John Kijazi Karemjee, Rais Magufuli amesoma hadharani ujumbe mfupi wa simu aliyotumiwa na Waziri Mpango akimjulisha Rais juu ya Afya yake.
Nukuu
''Mheshimiwa Rais...
Wapendwa watanzania wenzangu, nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ( salamu maalum aliyoiasisi Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan na ambayo kiitikio ni "Kazi iendelee").
Mimi...
THE TRUTH ABOUT ZANZIBAR REVOLUTION
JOHN OKELLO HAKUTAKA Z;BAR IUNGANE NA TANGANYIKA MZEE KARUME ALIKUWA AKIMUOGOPA OKELLO NDIO AKAMFUKUZA Z;BAR
MOST Tanganyikans especially of the present...
Duniani kote kuna hii dhana ya mihimili ya mahakama, bunge na serikali kutokuingiliana (separation of powers) na kugawana madaraka bila kuathili mawasiliano kwa maana ya coordination baina yao...
Tulimsikiliza Rais Samia Suluhu Hassan, wakati alipotuahidi kuwa atafanya mabadiliko ya Baraza la mawaziri na kusema wazi kuwa amegundua kuwa kuna baadhi ya mawaziri wameaanza kampeni kuwa ajili...
HISTORIA YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR KUTOKA 1963 - 1964?
Mnamo mwaka 1934 kilianzishwa chama cha AA “African Association, hichi kilifanya kazi ya kupinga ubaguzi dhidi ya watu wa Zanzibar na...
Tumeshuhudia migogoro isiyoisha ya ardhi na migogoro inayohusiana na kulipwa fidia ilikupisha uwekezaji.
Nina habari niliyopenyezewa kuhusu mgogogoro wa chini kwa chini kuhusu ardhi ya...
Pole na majukumu mheshimiwa Rais na pole pia kwa msiba wa kuondokewa na watanzania wenzetu 14 huko mkoa wa SIMIYU. Mheshimiwa Rais naandika ombi hili nikiwa na masikitiko ya kuwapoteza hao ndugu...
Bado nashikilia nadharia kuwa ni bora zaidi, hasa kwa nchi isiyo na uwezo mkubwa, kuvifanyia marekebisho vipee vibovu vya Katika (Constitutional ammendment) badala ya kuandika upya Katiba nzima...
Viongozi wanapo kuwa WANYENYEKEVU na WATENDA HAKI ndani ya Nchi hakika taifa hubarikiwa kwa kila "sector"
Ni mda mwafakaTaifa letu linapaswa sasa kuliunganisha kuwa taifa lenye watu wanao pendana...
Habari za asubuhi wana JamiiForums
Kwa maslahi ya taifa naona tujadili hili swala. Naona halizungumzwi mahali popote ukiachilia matatizo mengi tuliyonayo kama taifa kwa sasa.
Kumezuka tatizo la...
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania kubadilika kwa kutambua kwamba Ajira ndiyo nguzo ya Maisha hasa ukiwa sekta binafsi hata Serikalini huku akiongoza "sekta binafsi ukizubaa nafasi yako...
Tangu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda 'kumponda' mtanzania Pierre Gumbo almaarufu kama Konki Liquid Fire, mengi yametokea. Wengi wamekosoa na kukemea kitendo cha Makonda kumwita Pierre...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.