Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Naweza kuamini kuwa sasa umeshaanza kunogewa na vyeo. Ulianza kuwa Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba. Ukafuata kuwa kiongozi wa Kamati ya Bunge Maalum la Katiba. Kama hiyo haitoshi, ukateuliwa kuwa...
8 Reactions
187 Replies
33K Views
Si kwa ubaya hivi mama yupo humu ndani? Nawaza kwa sauti na kama yupo kwa mikeka yake hatuoni humu ndani? Humu wapo Watu wameanza kuunga mkono juhudi zake licha ya kuunga kwani hawaoni/Hatuoni...
7 Reactions
55 Replies
3K Views
Mzee Magufuli alilisisitiza kabisa kuwa ata uwe nani kama umehodhi ardhi na uiendelezi ataichukua na kuwapa wengine! Pale Bagamoyo alimpa Bakharesa shamba la ekari 1000 akampa Bakharesa ajenge...
5 Reactions
32 Replies
4K Views
Ukiangalia kwenye wizara ya nishati kampa januari aliyekua anamsengenya na kumwita jpm mshamba. Katibu wake mkuu ni mramba aliyetumbuliwa tanesco kwa kutaka kupandisha bei ya umeme wakati lengo la...
13 Reactions
94 Replies
6K Views
Naam, Nchi yetu kwa sasa inazidi kuharibu dhana nzima ya uongozi sababu ya uwepo wa Nadharia ya Gain acceptance yaani kuhitaji kukubalika. Pia Nadharia ya Referrent Power yaani kuiga nguvu ya...
0 Reactions
1 Replies
927 Views
Leo katika hotuba yake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samiah Suluhu Hassan amesema ya kwamba atampa kazi Mh Lukuvi ikulu asaidiane naye wakielekea kustaafu na pia kumpatia kazi nje ya...
8 Reactions
28 Replies
3K Views
Kada wa Chama cha Mapinduzi, ndugu Paul Makonda ameteuliwa kuwa Waziri Mkuu katika Chuo cha Ushirika na Rais wa Chuo ndugu Godfrey Washoto lakini katika hali isiyojulikana Bunge limekataa...
60 Reactions
322 Replies
58K Views
Rais wa Zanzibar Dr Mwinyi leo amekizindua rasmi Kikosi Kazi cha Wadau wa Vyama vya siasa kinachokwenda kuratibu namna ya kupata Katiba mpya, Tume Huru ya uchaguzi na kuruhusiwa kwa mikutano ya...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Mhe JPM aliwekeza kwenye ufugaji wa ng'ombe nakuanzisha Ranchi yake iliyokuwa inasimamiwa Kwa kiasi kikubwa na Dola, Sasa hivi naambiwa walinzi wa umma waliokuwa wanalinda rasilimali hizi...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Katiba yetu kwenye ibara ya nne ipo wazi kwa kugawa madaraka kwenye mihimili mitatu. Na hii yote ni kuhakikisha kuwa mtu mmoja kuwa kiongozi wa mhimili mmoja na kisha kuwa na madaraka ya kuamua...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Wizara ya Katiba na sheria ni msimamizi wa majadiliano ,mikataba na maduala yote yanayohusu sheria. Kabudi alipokuwa Waziri alikuwa mshauri Mkuu wa mambo haya. Kutumbuliwa kwake means ameshindwa...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Naibu Spika Jobu Ndugai amedai kuwa watanzania inabidi wasilaumu sana wabunge kuongezewa posho, Ndugai kasema kuwa kuna muhimili mitatu ya nchi ambayo niBUNGE, SERIKALI NAMAHAKAMA, Ndugai kasema...
7 Reactions
110 Replies
15K Views
Rais Samia leo amesema amewaondoa kwenye baraza la mawaziri Lukuvi na Kabudi ili wabakie ikulu kuwasimamia (kuwachapa viboko!) mawaziri wengine wote. Pia Rais Samia amesema nafasi za Kabudi na...
10 Reactions
63 Replies
5K Views
KARIBU WAZIRI NAPE, ASANTE DK. KIJAJI Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limepokea kwa matumaini uteuzi wa Mhe. Nape Nnauye kuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari. TEF pia...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimefuatilia sehemu Mbalimbali yanapopatikana madini ya historia ya Mhe. RAIS, sijapata sehemu amewahi kugombea akapigiwa kura na kushinda. Naomba anayejua kama amewahi kushinda Uchaguzi...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Jaji Mkuu wa Kenya amemtaka Mhe. Rais wa Kenya kuheshimu sheria na kite majaji sita wanaohitajika kikatiba. Aidha amesisitiza kuteuliwa kwa majaji wawili walimpinga wakati wa BBI. Hii ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hizo pesa ambazo atakuwa analipwa Ndugai Kama spika mstaafu kuanzia mwezi huu 2022 mpaka 2025 ni nyingi sana,nashauri Spika Ndugai arudi ofisini halafu hizo pesa zifanye kazi nyingine,homa yenu ya...
1 Reactions
11 Replies
795 Views
Twende kwenye hoja Kwa speech ya leo ya rais Samia ni dhahiri shahiri kuwa nafasi ya Lukuvi inayotarajiwa kutajwa hivi karibuni ni ile ya kusimamia Wizara zote yaani kiranja wa mawaziri wote na...
1 Reactions
7 Replies
944 Views
1- Spika wa kwanza wa Bunge la Tanzania huru, Adam Sapi Mkwawa, aliyeongoza kwa takribani miongo mitatu - alikuwa na sifa kubwa mbili; kwanza alikuwa Chifu mwenye heshima kubwa kutoka katika...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Nilitegemea kwa vile amefanya mabadiriko ya Baraza la Mawaziri, Basi katika kuwataja Mawaziri wote aanze na Waziri Mkuu ambaye ni Mkuu wao. Au "protocol haiko hivyo? All in all nadhani yeye Ni...
0 Reactions
4 Replies
974 Views
Back
Top Bottom