Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Bado nashikilia nadharia kuwa ni bora zaidi, hasa kwa nchi isiyo na uwezo mkubwa, kuvifanyia marekebisho vipee vibovu vya Katika (Constitutional ammendment) badala ya kuandika upya Katiba nzima...
0 Reactions
0 Replies
500 Views
Viongozi wanapo kuwa WANYENYEKEVU na WATENDA HAKI ndani ya Nchi hakika taifa hubarikiwa kwa kila "sector" Ni mda mwafakaTaifa letu linapaswa sasa kuliunganisha kuwa taifa lenye watu wanao pendana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za asubuhi wana JamiiForums Kwa maslahi ya taifa naona tujadili hili swala. Naona halizungumzwi mahali popote ukiachilia matatizo mengi tuliyonayo kama taifa kwa sasa. Kumezuka tatizo la...
1 Reactions
45 Replies
3K Views
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania kubadilika kwa kutambua kwamba Ajira ndiyo nguzo ya Maisha hasa ukiwa sekta binafsi hata Serikalini huku akiongoza "sekta binafsi ukizubaa nafasi yako...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Tangu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda 'kumponda' mtanzania Pierre Gumbo almaarufu kama Konki Liquid Fire, mengi yametokea. Wengi wamekosoa na kukemea kitendo cha Makonda kumwita Pierre...
84 Reactions
149 Replies
16K Views
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayemaliza muda wake, Job Ndugai amechukua fomu kwa ajili ya kutetea nafasi hiyo kwa kipindi cha pili. Ndugai ambaye amekuwa katika nafasi hiyo...
3 Reactions
57 Replies
7K Views
Wakuu tunaomba radhi sana kwa habari zetu za Mahakamani kuwa nyingi labda kwa kiasi cha kufunika UAPISHO WA MAWAZIRI , hata hivyo kuzikalia habari kama hizi ni kutowatendea haki , kuna msemo wa...
10 Reactions
33 Replies
3K Views
Mheshimiwa Ndugai ameaga rasmi Leo kwenye Ibada ya asubuhi katika Kanisa la Anglikana la Mtakatifu Mikaeli, Kongwa mjini. Alitoa kauli hiyo mbele ya Madhabahu ya Kanisa baada ya kuombwa na...
8 Reactions
49 Replies
7K Views
Rais wa JMT mh Samia Suluhu Hassan anawaapisha mawaziri muda huu. Wanaoapishwa leo Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma ni pamoja na Mawaziri na Naibu Mawaziri wapya, Makatibu na Naibu Makatibu Wakuu...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Inaelezwa Tanzania ina jumla ya vyama vya siasa takriban 19, lakini inajulikana vingi vya hivi ni pro-CCM havifanyi shuguli zozote za siasa, yaani vipo vipo tu vikivizia matukio ya kitaifa...
1 Reactions
1 Replies
761 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepokea kwa masikitiko na majonzi makubwa taarifa ya vifo vya watu kumi na nne (14), baada ya gari ya waandishi wa habari iliyokuwa katika msafara wa...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
1- Spika wa kwanza wa Bunge la Tanzania huru, Adam Sapi Mkwawa, aliyeongoza kwa takribani miongo mitatu - alikuwa na sifa kubwa mbili; kwanza alikuwa Chifu mwenye heshima kubwa kutoka katika...
4 Reactions
15 Replies
3K Views
Kesi ya Matumizi mabaya ya Madaraka,kula njama na kujipatia fedha kwa njia ya manufaa kiasi cha shilingi Bilioni 5.3 inayowakabili watu saba wakiwemo vigogo wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jana Mama Samia amesikika akisema mara baada ya kuapishwa kule bungeni kuna wabunge walikuwa wakisema serikali yake ni serikali ya mpito. Mama Samia anasema aliingia kusoma katiba ili aone...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hii ni kero namba moja ya muungano ya muda wote!! Kwa bahati mbaya haijaorozeshwa wala hakuna mpango wa kuiorodhesha miongoni mwa kero za muungano. Juzi juzi tumefanya sherehe ya kumbukizi la...
10 Reactions
26 Replies
2K Views
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Mhifadhi William Simon Mwakilema kuwa Kamishna wa Uhifadhi wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) Kabla ya uteuzi, Mwakilema alikuwa Naibu Kamishna wa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
"Hakuna siku Mtanzania mmojammoja atagongewa hodi mlangoni kwamba tunakudai Shillingi hizi kwasababu Nchi yako ilikopa, haipo Nchi hiyo, hivi ni vitu vya Kitaasisi na vinaangaliwa kutoka kwenye...
16 Reactions
158 Replies
8K Views
SPIKA NDUGAI: KUTOKANA NA MAZOEA YA WAGOGO KUDHARAULIKA NDIO KINACHOSABABISHA MIMI KUSHAMBULIWA MITANDAONI "Mengi mnayoyasikia wakati mwingine sio kweli kihivyo, nchi yetu ina upotoshaji mkubwa...
8 Reactions
146 Replies
11K Views
Naona wapiganaji maarufu huwa wanajikita katika mambo ya CCM, mpaka wafuasi tunapata khofu juu yao,inakuwaje hawa viongozi tunaowategemea wanaingilia mambo ya Chama Cha Mashetani (CCM), mpaka...
2 Reactions
3 Replies
739 Views
Baada ya kujiuzulu kwa aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, wiki iliyopita - akiweka historia ya kuwa wa kwanza kujiuzulu nafasi hiyo, kipyenga kimepulizwa kuashiria kuanza kwa...
1 Reactions
3 Replies
910 Views
Back
Top Bottom