Furaha Dominic: Hakuna tofauti ya Uongozi kati ya Hayati Magufuli na Rais Samia

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,975
Furaha Dominic ambaye ni mtoto wa dada wa hayati Magufuli amesema haoni tofauti yoyote kati ya utawala wa mjomba wake na Rais wa sasa mh Samia.

Dominic ambaye aligombea ubunge Kawe amesema hajawahi kumuona mtu mwongo hapa duniani kama askofu Gwajima.

Kipindi kiko mubashara Star tv, karibu

Updates;
 
Gwajima na wasukuma wenzake wamefitinika. Mama amejua sana ku divide and rule Sukuma gang
 
Je, anamaanisha kupotea kwa 1.5 kuko pale pale?
Jamaa ana moyo wa chuma kabisa badala ya kutoa ombi wanyamwezi wamsamehe mjomba wake kwa lawama wanazomtupia hapa duniani yeye anasaka uteuzi wa bure!
 
Magufuli amefanya mambo makubwa sana nchi hii.

Ni kikundi cha wahuni tu kilichokua hakimpendi ndio kinapiga kelele kwamba Magufuli hakufanya kitu ama sijui alikua dikteta na mambo kama hayo.

Magufuli aliteua mawaziri 2 kutoka Geita, Kalemani na Biteko watu wakasema amejaza ndugu zake wote baraza la mawaziri.

Leo Samia amejaza mawaziri 5 kutoka Pwani mkoa masikini Tanzania nzima sisikii kelele, kujaza mawaziri 3 kutoka Tanga sisikii, kufukuza wakristo karibu wote baraza la Mawaziri na kuteua ndugu zake waislamu huwei kusikia malalamiko.

Magufuli endelea kupumzika kwa amani mzee wetu.
 
Furaha Dominic ambaye ni mtoto wa dada wa hayati Magufuli amesema haoni tofauti yoyote kati ya utawala wa mjomba wake na Rais wa sasa mh Samia.

Dominic ambaye aligombea ubunge Kawe amesema hajawahi kumuona mtu mwongo hapa duniani kama askofu Gwajima.

Kipindi kiko mubashara Star tv, karibu

Updates;
Ohoo... Dogo anaharibu
 
😂😂😂
 
Mwambie uongo wa Gwajima unazidi wa mjombabwake!?
 
Dogo kafunguka, kama tumemsikiliza bila ushabiki, Wala chuki, Kuna mambo kayasema yanafikirisha sana. Chawa wa Magufuli walivuka viwango mpaka wakawa kupe. Dogo amekiri kuwa watu waliumia katika utawala wa mjomba wake.
 
Back
Top Bottom