johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,725
- 141,591
Rais wa JMT mh Samia Suluhu Hassan amesema wakati Mapinduzu matukufu ya Zanzibar yanafanyika 1964 alikuwa na umri wa miaka 4 na hakufikiria kama leo atakuwa Rais wa JMT.
Rais Samia amesema hayo wakati akiwatakia Sikukuu njema ya miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar zitakazoadhimishwa kesho Tanzania nzima.
Rais Samia leo amefungua kiwanda cha kimataifa cha kuzalisha Vitenge, Khanga na Vikoi huko Unguja.
Source: ITV