Je, CCM ina uthubutu wa kuunda 'task force' ya kuchunguza mali za wanachama wao Viongozi serikalini?

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,634
697,845
Kampeni za kuwania kiti cha spika wa bunge la Tanganyika zimepamba moto. Kuna nyuso kongwe chakavu zinatajwatajwa na kujitokeza sana hasa huko vijiweni na mitandaoni baada ya spika mtangulizi kujiuzulu nafasi hiyo mapema wiki iliyopita.

Hata waganga wa kienyeji wameanza kufaidika na hizi kampeni na kuna ramli chonganishi pia zinaendelea mitandoni pia chawa wa walengwa wameanza kuwapamba watu wao kwa rekodi kemkem na utendaji uliotukuka. Wanataja mazuri tu. Madhaifu, mabaya ukwasi wa kufuru na mabaya mengine yanafichwa

Kiri cha spika ni kiti cha ulaji hasa kwa hizi nchi za Kiafrika mbako siasa ina thamani na sauti kuliko taaluma. Kote mpaka kwenye viti vya uwaziri ni ufisadi na wizi mtupu.

Spika aliyejiuzulu anatajwa kuwa na ukwasi usiolingana na kipato chake wala nafasi yake kama spika miradi aliyonayo, uwekezaji aliofanya sehemu mbalimbali ni kama vile sio mtumishi wa uma bali mwekezaji mfanyabiashara mkubwa!

Hawa wanaotajwatajwa na kupigiwa jalamba na wapambe wao nao hawana nafuu hata kidogo ni mafisadi yaliyokubuhu yenye ukwasi wa ajabu na vitega uchumi vya kila aina. Ni wapigaji wenye rekodi mbaya lakini ni nani wa kuwanyooshea kidole?

Walau kungekuwa na task force ya kiuchunguzi yenye nguvu ikishirikiana na taasisi ya rushwa, ikaweka wazi ukwasi wa kila mtia nia ama mteuliwa wa nafasi yoyote ya kiuongizi pengine mambo yangekuwa tofauti kidoho na hizi nafasi zisingepiganiwa hivi.

Hapo kabla CCM ilijaribu kujivua gamba lakini matokeo yake wote tuliyaona. Je, CCM hii ya sasa kuelekea uchaguzi wa spika na uchaguzi mkuu 2025 ina guts zilezile za kuweza kujivua gamba tena!? Ama ndio ile ile kuendelea kupeana connections ili tulindiane maslahi yetu?
 
Nawe unachekesha toka lini kibaka akamkamata kibaka mwenzake.
Huwezi ukapata bikra ccm.
 
218C44AE-31AE-4B7B-8943-C2EC9AD38CCB.jpeg
 
We uoni teuzi ni wale wale au watoto zao au vinasaba vyao Ina maana tza nzima Hakuna wengine.
 
Instead waunde tume ya kuchunguza nani hajawahi kuiba apongezwe
Kampeni za kuwania kiti cha spika wa bunge la Tanganyika zimepamba moto. Kuna nyuso kongwe chakavu zinatajwatajwa na kujitokeza sana hasa huko vijiweni na mitandaoni baada ya spika mtangulizi kujiuzulu nafasi hiyo mapema wiki iliyopita.

Hata waganga wa kienyeji wameanza kufaidika na hizi kampeni na kuna ramli chonganishi pia zinaendelea mitandoni pia chawa wa walengwa wameanza kuwapamba watu wao kwa rekodi kemkem na utendaji uliotukuka. Wanataja mazuri tu. Madhaifu, mabaya ukwasi wa kufuru na mabaya mengine yanafichwa

Kiri cha spika ni kiti cha ulaji hasa kwa hizi nchi za Kiafrika mbako siasa ina thamani na sauti kuliko taaluma. Kote mpaka kwenye viti vya uwaziri ni ufisadi na wizi mtupu.

Spika aliyejiuzulu anatajwa kuwa na ukwasi usiolingana na kipato chake wala nafasi yake kama spika miradi aliyonayo, uwekezaji aliofanya sehemu mbalimbali ni kama vile sio mtumishi wa uma bali mwekezaji mfanyabiashara mkubwa!

Hawa wanaotajwatajwa na kupigiwa jalamba na wapambe wao nao hawana nafuu hata kidogo ni mafisadi yaliyokubuhu yenye ukwasi wa ajabu na vitega uchumi vya kila aina. Ni wapigaji wenye rekodi mbaya lakini ni nani wa kuwanyooshea kidole?

Walau kungekuwa na task force ya kiuchunguzi yenye nguvu ikishirikiana na taasisi ya rushwa, ikaweka wazi ukwasi wa kila mtia nia ama mteuliwa wa nafasi yoyote ya kiuongizi pengine mambo yangekuwa tofauti kidoho na hizi nafasi zisingepiganiwa hivi.

Hapo kabla CCM ilijaribu kujivua gamba lakini matokeo yake wote tuliyaona. Je, CCM hii ya sasa kuelekea uchaguzi wa spika na uchaguzi mkuu 2025 ina guts zilezile za kuweza kujivua gamba tena!? Ama ndio ile ile kuendelea kupeana connections ili tulindiane maslahi yetu?
 
Ni nchi pekee nimeona Mwizi anaiba baiskeli (kwa mfano)
Halafu anaiweka mahali inaibiwa anaanza kulia kilio haswa kuwa kaibiwa baiskeli

Ndio yanayotokea na kwetu mtu anajimilikisha ardhi ya serikali kama ni maeneo ya chama halafu usipotoa kodi anakuwa mkali kinoma utafikiri hela zinaenda serikalini
 
Kampeni za kuwania kiti cha spika wa bunge la Tanganyika zimepamba moto. Kuna nyuso kongwe chakavu zinatajwatajwa na kujitokeza sana hasa huko vijiweni na mitandaoni baada ya spika mtangulizi kujiuzulu nafasi hiyo mapema wiki iliyopita.

Hata waganga wa kienyeji wameanza kufaidika na hizi kampeni na kuna ramli chonganishi pia zinaendelea mitandoni pia chawa wa walengwa wameanza kuwapamba watu wao kwa rekodi kemkem na utendaji uliotukuka. Wanataja mazuri tu. Madhaifu, mabaya ukwasi wa kufuru na mabaya mengine yanafichwa

Kiri cha spika ni kiti cha ulaji hasa kwa hizi nchi za Kiafrika mbako siasa ina thamani na sauti kuliko taaluma. Kote mpaka kwenye viti vya uwaziri ni ufisadi na wizi mtupu.

Spika aliyejiuzulu anatajwa kuwa na ukwasi usiolingana na kipato chake wala nafasi yake kama spika miradi aliyonayo, uwekezaji aliofanya sehemu mbalimbali ni kama vile sio mtumishi wa uma bali mwekezaji mfanyabiashara mkubwa!

Hawa wanaotajwatajwa na kupigiwa jalamba na wapambe wao nao hawana nafuu hata kidogo ni mafisadi yaliyokubuhu yenye ukwasi wa ajabu na vitega uchumi vya kila aina. Ni wapigaji wenye rekodi mbaya lakini ni nani wa kuwanyooshea kidole?

Walau kungekuwa na task force ya kiuchunguzi yenye nguvu ikishirikiana na taasisi ya rushwa, ikaweka wazi ukwasi wa kila mtia nia ama mteuliwa wa nafasi yoyote ya kiuongizi pengine mambo yangekuwa tofauti kidoho na hizi nafasi zisingepiganiwa hivi.

Hapo kabla CCM ilijaribu kujivua gamba lakini matokeo yake wote tuliyaona. Je, CCM hii ya sasa kuelekea uchaguzi wa spika na uchaguzi mkuu 2025 ina guts zilezile za kuweza kujivua gamba tena!? Ama ndio ile ile kuendelea kupeana connections ili tulindiane maslahi yetu?
nanukuu; Walau kungekuwa na task force ya kiuchunguzi yenye nguvu ikishirikiana na taasisi ya rushwa.

Hiyo task force yenye nguvu, walioajiriwa humo wengi walifanyiwa connection au mchongo na ni watoto wa vigogo na wengine ni ndugu zao.

na taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa viongozi wake wakuu wamewekwa humo kwa kufahamiana na kujuana.

Kwahiyo hapo usitegemee lolote zaidi ya kulindana.
 
Thubutuuuuuuu! ccm wachunguzane? kweli? nakuapia akiwepo mwenye usafi wa 100% Wallah nitakuwa tayari kumsaka hadi kumpata 'dereva wa lori la masafa marefu mwenye mke mmoja!'
 
Back
Top Bottom