Furaha Dominic ambaye ni mtoto wa dada wa hayati Magufuli amesema haoni tofauti yoyote kati ya utawala wa mjomba wake na Rais wa sasa mh Samia.
Dominic ambaye aligombea ubunge Kawe amesema...
Wakati Katiba Mpya inaandikwa kama ningelikuwepo kwenye mazingira hayo, ningependekeza kuwepo na Mihimili minne katika Tz kwa jinsi mambo yanavyoenda tangu baada ya awamu ya kwanza ya uongozi wa...
Rais alisema kuwa mawaziri atakaowaacha kwenye uteuzi ni wale wenye tamaa ya urais 2025. Baada ya kauli ile watu walitega masiko kuona ni akina nani wataachwa.
Walioachwa pamoja na Ndugai ni...
Ukitizama kwa jicho la ndani zaidi, Lukuvi na Palamagamba, kwa watanzania makini, na wazalendo wa kweli, bila ushabiki wa milengo ya kisiasa, watu hawa ni makini na weledi katika utendaji wa kazi...
Wakati wa hayati JPM tuliambiwa mradi utakamilika Nov 2019. Hapo tukapata uhakika wa kutembea na train Dar Moro kwa nusu saa.
Baadae mambo yakabuma tukaambiwa mwaka 2020 mapema tu mradi...
Mimi nahitaji upinzani makini kwa maendeleo ya taifa letu.
Chadema mkipata Dkt. Slaa mtapata chombo chenye nguvu na uwezo wa kisiasa na kitawanyanyua kisiasa maana anajua mbinu zote za medani...
Prof. Adolf Mkenda Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia amewataka Wafanyakazi wote kufanya kazi kwa ujasiri bila Uoga, Kwa utii Uaminifu na Uadilifu, Wasifanye kazi kwa nidhamu ya Uoga...
Kwa maoni yangu kwa kauli ya jana ya Naibu Speaker Dr Tulia Ackson, ni kweli kama atachaguliwa kuwa speaker wa bunge bunge litakufa na kubaki kuwa kitengo cha ikulu.
Kwanza, anadai Rais ana nguvu...
Anayefikiri CCM ina wenyewe anapoteza Muda na huenda haijui CCM.
Kama CCM ina wenyewe basi familia ya Nyerere ndio wenye chama....
Ila ikiwa mwanzilishi wa hili Taifa familia yake haipo popote...
Miaka zaidi ya 10 iliyopita Serikali ya Jamhuri ilikuwa inapambana kuboresha mazingira ya kufanya biashara nchini. Report ya world bank wakati ule ili rank Tanzania 121 kwa mazingira magumu zaidi...
Wiki iliyopita, waandishi wetu DEUS BUGAYWA NA JOHN DANIEL, walifanya mahojiano maalumu na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson, ambaye, pamoja na mambo...
Mchakato wa kumtafuta kada Wa CCM atayehodhi na kuilinda CCM pale jikoni bungeni yamefikia patamu yaani 3 BORA ambayo imemuleta Dr Tulia Ackson Mwansasu ambaye ni Naibu mwanasheria Mkuu...
Habarini ndugu,jamaa,waheshmiwa na wanajf wenzangu.kheri ya mwaka mpya 2022.
Kumekua na sakata kubwa la mvutano wa mkuu wa serikali na wa aliyekua spika wa bunge la jamhuri ya muungano wa...
Haya yote yanayotokea na kushangiliwa hayana lolote katika ustawi wa Taifa hili.
Tunakwenda kuangamia. Jana/Juzi kitendo cha kumkemea Ndugai hadharani akajiuzulu, maana yake Bunge limesalimu...
Mnamo tarehe 22 ya Mwezi huu wa Tano, Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete alimwapisha mpinzani wake wa karibu katika mchakato wa kupata mgombea wa...
Hata wa upinzani nao walikuwa hali moja sawa na waliokuwa Serikalini, wengine walikimbia nchi.
Ni lini CCM watakiri kuwa Marehemu Magufuli aligeuka na kuwa Dicteta kiasi ya wengine wakiwa nje ya...
Kama Rais Samia kile alichokisema kuhusu Lukuvi (kuwa amemtoa kwenye uwaziri na sasa anamleta ikulu kuja kumsaidia kuwasimamia mawaziri, na atampa kazi maalum ambayo watanzania tusubiri kuja...
Hawa jamaa ni wanafiki kupita maelezo , kwanza walikua upinzani wakaamia CCM muda mfupi wakapata teuzi huku wafia chama wakiachwa.Hawa jamaa walibebwa na Hayati JPM.Binafsi umenifurahisha sana kwa...
Raisi Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko katika baraza lake la mawaziri ambalo ni lilelile alolirithi kutoka kwa mtangulizi wake hayati Magufuli.
Ni mabadiliko ambayo yanaonyesha kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.