Nasema hivi kutoka na hii kesi ya Halima Mdee na wenzake 18, majuzi hapa Bwana Mnyika na Mamluki wa CHADEMA pale Mahakamani walipiga kelele wakidhani kwamba uamuzi wa Mahakama ulitosha kuwatoa...
Hakuna mtanzania mpenda haki anayetamani kuona katiba hiihii tuliyonayo inakutwa na kutumiwa na kiongozi anaefanana hata kwa nusu tu na yule kiongozi wa awamu ya tano (RIP).
Awamu ile ni sawa na...
Upigaji wa kura kwa bajeti ya 2022/2023 unaendelea Bungeni ambapo wabunge wote wa CCM wamepiga kura ya ndio huku wa CHADEMA na ACT wakisema hawana maamuzi
Najiuliza ni kwanini hawaoneshi shukrani...
Nimeupenda utaratibu wa Chadema wa sass ambapo barua zinasambazwa na mabosi wenyewe siyo matarishi.
Benjamin Netanyahu kibarua kimeota nyasi
Mungu ni mwema wakati wote
Nimesoma katika moja ya mapendekezo ya Waziri wa Fedha Dr. Mwigulu Nchemba ni kwamba wateule wa Rais waliotenguliwa wasilipwe mishahara ya vyeo walivyokuwa navyo awali yaani warudishwe kwenye...
Wamasai waliohamia Handeni Tanga wameishukuru sana Serikali kwani sasa wanaiona future ya maisha yao
Wamemwambia Waziri Mkuu mh Majaliwa kwamba Ngorongoro malisho ya Mifugo yao yalikuwa mbali...
Ajira yenyewe ngumu jamani halafu mnataka hizi ajira 19 mzikatili kweli? hapo kuna watu kama 200 wanafaidika na uwepo wa covid 19
Nasema hivi ile ahadi ya Ndugai ya kuwalinda hawa wanamapinduzi...
Hii ndio Taarifa mpya ambayo imetufikia hivi punde kutoka huko Mahakamani Moshi Mkoani Kilimanjaro , ambapo leo Mtuhumiwa wa unyang'anyi wa kutumia silaha za moto Ole Sabaya amefikishwa Mahakamani...
Fanya ziara ya kimkakati Dar es salaam na viunga vyake fika kimara , kibamba , mbezi Louis, makabe , goba, malamba mawili , tegeta a na maeneo jirani ujionee hizi katakata za maji usiku Kuna maji...
Soma Hotuba yote ya hali ya uchumi wa Taifa kwa mwaka 2018 na mpango wa maendeleo wa Taifa wa mwaka 2019/20.
Thursday June 13 2019
Soma hotuba yote ya Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango...
Riba ya Mabenki kukopesha wateja wao sio suala la kisiasa, Huwezi ukasema kuanzia Leo Mabenki ya biashara riba ya kukopesha iwe asilimia kumi 10%
Mabenki kukopesha Raia au wateja wake...
CCM hata kama mnataka kuiba kura term ijayo kama kawaida yenu, jitaidi muwe mmeweka na watu competent katika kutetea maslahi ya nchi kwa ujumla, sio mnatuwekea watu kama kina Babu Tale, et al...
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge na Uratibu Bwa. Kaspar Mmuya amepongeza maendeleo ya ujenzi wa
ofisi za msajili wa vyama vya siasa
nchini zinazojengwa eneo la...
WAZIRI UMMY MWALIMU, USIPOTOSHWE NA WAFAMASIA KUHUSU ADDO, MTAANGAMIZA AFYA ZA WATANZANIA.
Na Prof Patrick Koboko(MD,MMED,PhD)
Salaam Mhe Waziri!
Kwanza kabisa nikupe pole na hongera nyingi...
Kwako Spika wa Bunge Tulia Ackson, umewahi kumsikia IGP Sirro akitoa ushauri kwa Watanzania kuwa ni vema ku Tii sheria bila shurti?
Basi ushauri ule ni kwa watanzania wote ukiwepo wewe. Sasa kwa...
Hapa kwa wataalamu wa sheria na haswa ukichukulia speaker ni gwiji lililobobea kisheria haya mavazi ni kigezo tosha cha kuikataa barua hiyo (nakala ya hukumu) hivyo kuwapa muda wazalendo na...
Ukisoma vichwa vya habari vya magazeti mengi basi unapata picha kwamba Mdee na wenzake wameshashindwa kesi jambo ambalo kitaalam sio sahihi.
Sasa wakionekana huko Bungeni wananchi wataanza kuiona...
Baada ya kusikiliza hii sasa Pitia hizi nondo kwa makini,Viva Tanzania,
POINT TO NOTE,
1. Hawa watu wanawatoto wanaowategemea sijui hao watoto wanahali gani hata leo!!?
2. Hawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.