Uvaaji huu wa maafisa wa Chadema bungeni utafelisha barua

njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
4,084
8,663
Hapa kwa wataalamu wa sheria na haswa ukichukulia speaker ni gwiji lililobobea kisheria haya mavazi ni kigezo tosha cha kuikataa barua hiyo (nakala ya hukumu) hivyo kuwapa muda wazalendo na mashujaa 19 yaani Covid-19 kupambania haki yao kama Watanzania ya kuwa na ajira,they have got families to feed not a village to impress.
FWAZ-aGXoAASVUx.jpg

Maafisa wa CHADEMA Kushoto Aaron Mashuve na Kulia Evance Luvinga Wakiwa Nje ya viunga vya Bunge, Dodoma wakiwa wametoka kuwasilisha hukumu ya Mahakama kwa Spika Tulia Ackson
 
Hapa kwa wataalamu wa sheria na haswa ukichukulia speaker ni gwiji lililobobea kisheria haya mavazi ni kigezo tosha cha kuikataa barua hiyo (nakala ya hukumu) hivyo kuwapa muda wazalendo na mashujaa 19 yaani covid 19 kupambania haki yao kama watanzania ya kuwa na ajira,they have got families to feed not a village to impress

View attachment 2270535
How old are you?
 
Punguza utoto dogo.
 
Hapa kwa wataalamu wa sheria na haswa ukichukulia speaker ni gwiji lililobobea kisheria haya mavazi ni kigezo tosha cha kuikataa barua hiyo (nakala ya hukumu) hivyo kuwapa muda wazalendo na mashujaa 19 yaani Covid-19 kupambania haki yao kama Watanzania ya kuwa na ajira,they have got families to feed not a village to impress.
View attachment 2270544
Maafisa wa CHADEMA Kushoto Aaron Mashuve na Kulia Evance Luvinga Wakiwa Nje ya viunga vya Bunge, Dodoma wakiwa wametoka kuwasilisha hukumu ya Mahakama kwa Spika Tulia Ackson
Kwani wamekuambia wanataka kukuoa?
 
Jinga sana
 
Ainisha hiyo sheria husika.
sheria kwa nchi hii nani kakuambia ni lazima? neno la Rais ni sheria tosha hata neno la spika au busara zake ni sheria inategemea siku hiyo ameamkaje na ndiyo maana hadi sasa kila mtu kaufyata hakuna wa kumtikisa,spika akiamua kwamba nguo za maafisa wa chadema hazikuwa na viwango vya jengo lile tukufu basi imeisha hiyo
 
Umehama kutoka CDM ilipaswa kupeleka NEC,Sasa umehamia kwenye mavazi!
Unajidhalilisha humu jukwaani!
 
Nina wasiwasi mleta mada km hajalewa Basi kavuta wida, yy akiiangalia hiyo picha anaona km wako uchi, halafu eti anajiita genious
 
sheria kwa nchi hii nani kakuambia ni lazima? neno la Rais ni sheria tosha hata neno la spika au busara zake ni sheria inategemea siku hiyo ameamkaje na ndiyo maana hadi sasa kila mtu kaufyata hakuna wa kumtikisa,spika akiamua kwamba nguo za maafisa wa chadema hazikuwa na viwango vya jengo lile tukufu basi imeisha hiyo
Fanya mpango ule chakula cha mchana.
 
Back
Top Bottom