Rais Samia amefanya uteuzi wa viongizi mbalimbali.
Pia, soma: Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA...
Na Dkt. Hamisi Kigwangalla.
Kimsingi kiini cha mgogoro huu ni mabadiliko ya falsafa na hatimaye Sheria za uhifadhi. Ni mabadiliko ya ufahamu na umuhimu wa uhifadhi kadri muda unavyopita. Ni...
Kuna mgomo na mpasuko ndani ya ccm, labda hawakubaliana na aina ya viongozi waliopo kwenye chama au wengi wamefunikwa na mapinduzi yakiutawala yaliyofanywa na mama awamu ya sita.
Hakuna...
Katibu mkuu wa CCM Taifa fika Jimbo la Hai huko Kilimanjaro ukakutane na kituko cha mwaka 2022.
Siku ya Mwisho ya wajumbe walioomba kugombea nafasi za ccm kata ilikuwa Tare 20.6.2022 saa 10.
Cha...
Hatua ya wabunge 19 kuendelea kuhudhuria vikao vya Bunge licha ya maombi yao kupinga kufukuzwa uanachama na CHADEMA kutupiliwa mbali na Mahakama ni aibu na fedheha kwa Bunge.
Prof. Safari anasema...
Mjumbe wa Kamati kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),Godbles Lema,ameanza kuwa na wasiwasi juu ya uaminifu wa Mwenyekiti wake wa Taifa Freeman Mbowe na Chama Cha Mapinduzi(CCM),kuwa...
Mnaburuzwa hovyo. Mnapelekwa hovyo. Mnapayuka hovyo.
Mbona mnashindwa kutambua kuwa hiki chama ni mali ya mtu binafsi.
Ninyi ni kama wasindikizaji tu na hamna lolote.
Family business at hand...
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba leo ameongelea deni la Taifa. Amesema deni la Taifa sio kama fedha ya kwenye ATM ambayo unaingiza kadi na kutoa.
Mwigulu anasema anayekopa sio Rais bali Serikali...
Tunaweza kuona kama huyu spika ana kiburi lakini ukweli nikuwa moja ya mzigo mzito unaomtoa jasho ni huu msala aliotelekezewa kutoka kwa mrithi wake.
Anapitia wakati mgumu sana huku akijua fika...
Dhima kuu ya bajeti ya mwaka 2022/23 ni “Kuongeza Kasi ya Kufufua Uchumi na Kuimarisha Sekta za Uzalishaji kwa ajili ya Kuboresha Maisha.”
Kufanikisha dhima hiyo, Mhe. Rais Samia Suluhu anaweka...
Bunge la Bajeti mwaka huu limetuonyesha uwezo wa kiakili wa Wabunge takribani wote
Swali ninalojiuliza ni Je Wagombea Ubunge wa CCM huteuliwa na Kamati kuu ya CCM au NGUVU ya Mwenyekiti ndio huamua?
Nimemsikia mheshimiwa kishimba akitema nondo za uhakika, mh Kishimba mbunge wa kahama amehoji iweje namibia iongoze Africa kwa ku export mkaa wakati 85% ya nchi yake ni jangwa, wakati sie 85% ya...
Eneo la kilomita 1500 ni muhimu sana kwa ikolojia ya Hifadhi ya Serengeti na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro. Eneo hilo ni mazalia ya wanyamapori, vyanzo vya maji kwa ajili ya ikolojia ya...
Kongamano linaanza saa 3:00 asubuhi hii.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ni Mshiriki Maalum kwenye Kongamano hilo. Watoa Mada ni Wanazuoni wabobezi katika...
Mambo mengi mnafanya kwa mihemuko bila kujua backstage ishu ziko vipi.
Ndio maana mwamba analamba asali huku mkibaki mnapiga miayo.
Sasa mlidhani mtawakomoa?
Subirini mpaka mtapokuwa na akili...
Je, IGP Siro kutamka na kusisitiza neno haki linaendana na Namna Jeshi lake linavyotenda kazi?
Naamini anajua na anatambua wazi ni jinsi gani Jeshi lake lilivyo mstari wa Mbele kutoishi neno...
Wana jf, great thinker, tafadhali naomba kufahamisha kinagaubaga pasipo kupepesa macho wala hisia; kuhusiana na mafanikio yatokanayo na michezo ya kubahatisha.
Binafsi nimeona tu kupitia filamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.