BILLIONI 20 UJENZI WA OFISI.

BILLIONI 20 UJENZI WA OFISI.

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,146
Reaction score
7,685
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge na Uratibu Bwa. Kaspar Mmuya amepongeza maendeleo ya ujenzi wa
ofisi za msajili wa vyama vya siasa
nchini zinazojengwa eneo la Kilimani
Jijini Dodoma zitakazogharimu zaidi ya
shilingi bilioni 20.

Naibu Katibu Mkuu huyo aliyasema hayo alipofanya ziara ya kutembelea na kukagua ujenzi huo unaofanywa na
kampuni kutoka China ya Group Six International Limited ukisimamiwa na
mshauri kutoka Chuo Kikuu cha Ardhi.
Alisema ujenzi unatarajiwa kukamilika
baada ya miezi 12 akisisitiza kuongezwa kwa rasilimali watu, muda wa kazi pamoja na vifaa ili kufanya kazi ndani ya muda uliopangwa.

MY TAKE:

Inakuaje Ofisi ya Msajiri wa Vyama inajengwa kwa Billioni 20? Huku Tanzania tuna Vyama Kama 9 tuu vya siasa. Tuna majengo mengi Dar Es Salaam yameachwa na Wizara mbalimbali hayatumiki.

Tanzania [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Noma sana !
 
Tumehamia Dodoma. Hilo jengo litapangishwa pia taasisi zingine
 
Huko kwenye ujenzi ndiyo kuna hela

%%% kwenda mbele

Ova
 
Back
Top Bottom