Waziri Aweso:suala la kukatika hovyo kwa maji Dar hasa úbungo (w) utakuja kunikumbuka

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,664
Fanya ziara ya kimkakati Dar es salaam na viunga vyake fika kimara , kibamba , mbezi Louis, makabe , goba, malamba mawili , tegeta a na maeneo jirani ujionee hizi katakata za maji usiku Kuna maji asubuhi hakuna , mchana Kuna maji jioni hakuna jtatu Kuna maji jnne hakuna .

Kiufupi uje utuleze kuwa Dar es salaam Kuna mgao wa maji au sio hiyo Moja pia maji yakija yanakuja machafu yananuka samaki sijui ni wale wa pale ruvu tabu kweli kweli inamaana hakuna madawa ya kusafisha.

Chukua hatua kijana hawa kina Prof mkumbo na Mtemvu hakuna kitu fanya ziara ya kuaminika fanya reshuffling ya watendaji hapa Dar es salaam hasa manager wa kibamba na kimara wapeleke namtumbo huko .

Nimekuinbox lakini ujumbe huu bado ni wako , tumechoka

USSR
 
Back
Top Bottom