Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 39,791
- 71,196
Kwako Spika wa Bunge Tulia Ackson, umewahi kumsikia IGP Sirro akitoa ushauri kwa Watanzania kuwa ni vema ku Tii sheria bila shurti?
Basi ushauri ule ni kwa watanzania wote ukiwepo wewe. Sasa kwa nini utake ushurutishwe suala la Halima Mdee na wenzake kuondoka bungeni wakati muhimili wa sheria umesha tafsiri kuwa hawastahili kuwa ndani ya jengo letu tukufu?
Unaujua utukufu wa jengo hilo ambalo hata Rais kuingia humo lazima kibali kitolewe?
Tafadhali onyesha mfano wa kutii sheria bila shurti kwa kutekeleza amri ya mahakama na muheshimu Rais ambaye ni mwenyekiti wako wa chama na ametamka kutaka maridhiano.
Kaka yako Ndugai alionyesha kumdharau yaliyompata unayajua basi nawe endelea. Lakini pia nasi wananchi tutakushukia kama mwewe.
Tunakupa mpaka saa 7 mchana uwe ume tii sheria bila shurti.