Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katika hali ya kawaida ungetegemea serikali iwe mfano wa kuigwa kwa kufuata na kutekeleza katiba na sheria. Lakini toka awamu ya tano imeingia na hii iliyopo ya kurithi tunashuhudia uvunjaji na...
5 Reactions
3 Replies
749 Views
Nchi ngumu sana, Mbunge wa Kigoma mjini amesema Viwango vya Ushuru wa forodha kwa Tanzania bara viko juu sana ukilinganisha na nchi Jirani. Mfano Kontena la Vitenge bars linalipiwa tsh 384...
8 Reactions
48 Replies
5K Views
Kauli zilizotolewa ni hizi , lakini Yaliyojiri baadaye ndio kama Mnavyosikia . Viongozi tunapaswa kuwa na Akiba ya maneno .
3 Reactions
7 Replies
820 Views
Hivi majuzi wakati waziri wa fedha akiwasilisha bajeti kuu ya serikali bungeni alisema elimu ya kidato Cha tano na sita nayo itakuwa bila ada. Jambo hili ni jema na la kupongezwa lakini kuna kitu...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Chadema kama chama kikuu cha upinzani hamna sababu za kuendelea kufatilia wabunge wa viti maalumu ambao tayari mmeshawafukuza kwa fitina zenu wenyewe tunajuwa nyie hampambani kwa ajiri ya...
0 Reactions
17 Replies
953 Views
Halima na wenzake wapewe muda kama ni rufaa au ku-file upya vyote vifanyike. Wakati huo waendelee kuwakilisha wanaChadema bungeni. Lakini Mbowe anawatawala kidikteta kwa katiba mbovu na...
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Najua utekelezaji wa mradi huu umeshuka Sana kwa Sasa! Hadi mwaka huu tungekuwa kwenye hatua za Mwisho za utekelezaji wa mradi huu! Lakini hakuna cha maana Hadi Sasa! Mkumbuke ni fedha za kodi za...
7 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu Baada ya uchaguzi mbovu wa 2020,kulijitokeza dosari kubwa Sana ya uundaji wa serikali KWA mihimili mitatu hasa wa Bunge ambao ulikosa UHALALI wa kisheria KWA kukosa wapinzani wakutosha...
14 Reactions
83 Replies
5K Views
Mjadala ni moto sana naona makamanda wa Chadema ni kama wamezaliwa upya wanatema madini kweli kweli Makada wa CCM siwaoni hapa so mjadala imekuwa wa upande mmoja Pingapinga FC Karibuni ITV wakuu...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Spika Tulia amesema Neno " dhulma" lililotumiwa na Waziri Mabula wakati akmpa taarifa mh Kunambi halikuwa sahihi na siyo lugha ya Kibunge hivyo lighter kwenye hansard Spika Tulia alikuwa akijibu...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwako wakili mbobevu Kibatala wafungulie kesi 1: Uhujumu uchumi kwa kulipwa wakati syo wabunge halali 2: Kesi ya kugushi nyaraka za CHADEMA Naomba wahi mapema mahakamani, na katika hilo mhusishe...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Awamu ya 5 iliwapa nafas za uongozi vijana wengi Sana. Lkn wakawa chanzo cha mateso na vilio kwa taifa. Mifano tunayo. Kwa kuwataja wachache tu: Makonda, Sabaya, Heri James, Ali Hapi, Mnyeti...
7 Reactions
37 Replies
2K Views
Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekubaliana na umuhimu wa kupatikana katiba mpya kwa kuzingatia mazingira ya sasa hivyo kimeishauri Serikali kuona namna bora ya kufufua...
17 Reactions
138 Replies
9K Views
Hivi ndivyo ilivyokuwa baada ya Polisi wenye mitutu kufika kwenye ofisi za Chadema Mkoani humo na kuzuia Kongamano kubwa la Katiba mpya lililokuwa na wazungumzaji kadhaa, akiwemo Baba Askofu...
6 Reactions
41 Replies
4K Views
Ni wana ccm wachache sana ambao ni wasoma nyakati na wenye busara au wenye utashi wa kisiasa kama Mama Samia Suluhu Hasaan au Jakaya Kikwete Kundi kubwa la wana ccm ni fuata upepo hawajui...
1 Reactions
3 Replies
801 Views
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemuachia kwa dhamana Askofu Emmaus Mwamakula wa kanisa la Uamsho la Moravian baada ya kufanya upekuzi nyumbani kwake. Taarifa za kushikiliwa...
5 Reactions
118 Replies
13K Views
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Sheikh Ponda alimtuma Katibu Muhtasi wake kupeleka barua nyumbani kwa Askofu Mwamakula , siku ambayo Baba Askofu aliitisha mkutano na waandishi wa habari wa nje na...
17 Reactions
52 Replies
8K Views
Baadhi ya watu wanashangaa Askofu Mwamakula kuwatetea CHADEMA! Wapo wanaoshauri Askofu awe anafanya mara moja moja lakini sio kila mara. Wakati wa janga la UKIMWI, tulizika ndugu zetu wengi...
7 Reactions
6 Replies
2K Views
Baada ya Freeman Mbowe kuachiwa Huru kutoka kwenye kesi ya uongo ya Ugaidi , aliyobambikiziwa kwa sababu ya harakati zake za kudai KATIBA MPYA na TUME HURU YA UCHAGUZI , Na sasa tena baada ya...
20 Reactions
42 Replies
3K Views
Nasema hivi! Haiwezekani kuwa matatizo ya Tanesco yalikuwa sugu kiasi hiki Ni mwaka sasa na miezi tangu tuambiwe Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) linaundwa upya na mitambo yake kufanyiwa...
2 Reactions
7 Replies
997 Views
Back
Top Bottom