Wabunge vichwa maji CCM

Wabunge vichwa maji CCM

maslulkat

Senior Member
Joined
Feb 17, 2013
Posts
135
Reaction score
108
CCM hata kama mnataka kuiba kura term ijayo kama kawaida yenu, jitaidi muwe mmeweka na watu competent katika kutetea maslahi ya nchi kwa ujumla, sio mnatuwekea watu kama kina Babu Tale, et al.

Au huyo anayemsema mayele kutetema na wengine wengi tu.
 
Sampuli ya yule anayesema fedha za kwenye simu za marehemu zikajenge zahanati
 
Back
Top Bottom