Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nchi hii ukiona media au watu maarufu (wanasiasa, wasomi, wanazuoni, n.k) wanaongelea jambo fulani kwa uhuru, jambo ambalo mwanzoni walikuwa hawezi kuliongelea au kuliuunga mkono, ujue teyari...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Kisiwa Cha pemba ni fursa kubwa Kwa utalii japo Kwa Sasa maeneo mengi yamehodhiwa na wazawa na wameshindwa kuyaendeleza. Nadhani katika kukuza pato la Taifa upo umuhimu wa kujenga maghorofa kama...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa kilichoongozwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Jumatano 22 Juni 2022 Makao Makuu ya CCM katika...
4 Reactions
86 Replies
8K Views
Kazi ya Uwaziri Mkuu ni kazi ya heshima sana na kuna wakati anakuwa Muongeaji Mkuu wa Serikali. Kuna matukio makubwa matatu ambayo yameonyesha wazi kwamba Waziri Mkuu huyu ni mwongo na mnafiki 1...
23 Reactions
93 Replies
6K Views
TAARIFA ZINAZOENDELEA KATIKA MITANDAO YA KIJAMII KUHUSU KAULI YA WAZIRI MKUU KUHUSU LOLIONDO ZAKUPUUZWA Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mongella amesema tuendelee kuwapuuza wale wote wanaopotosha...
1 Reactions
42 Replies
4K Views
Shilingi Bilioni 4.4 zimetolewa na Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya miradi ya ujenzi Lugalo, pia zaidi ya Bilioni 4.8 kwa utekelezaji wa miradi ya afya kwenye Idara nyingine za Ulinzi na...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
UVCCM_ TAIFA BURUNDI ZIARA YA KATIBU MKUU CCM NCHINI BURUNDI. Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu. DANIEL CHONGOLO akiwa Ziarani Nchini Burundi. Lengo mahususi la Ziara hii ni...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Mpingo ndio unafaa kwa kuchonga kinyago. Hivyo hivyo,tukitaka kujenga Taifa lazima kwanza tuwe na watu wanaoridhia kuwa Taifa moja. Vinginevyo, mahusiano katika Taifa yanakuwa kama ndoa ya...
1 Reactions
4 Replies
833 Views
Acheni kupumbazwa nakauli za CCM kuwa Tanzania ni maskini lipo kundi dogo ndani ya CCM linaitafuna hii nchi kwa kupeana vyeo mbalimbali katika maeneo mbalimbali. Nchi yetu siyo maskini bali...
20 Reactions
66 Replies
3K Views
Sasa ni dhahiri kwamba Watanzania wanataka Katiba Mpya na wala hakuna tena wa kuzuia , Umati uliohudhuria Kongamano linaloendelea Moshi Mjini muda huu ni balaa kubwa , kwa kusema ukweli kongamano...
11 Reactions
29 Replies
2K Views
Wakili Edson Kilatu anayesimamia suala la Halima Mdee na wabunge wenzake 18 amenukuliwa akisema: “Baada ya kesi ya wateja wangu Halima Mdee na wenzake kutupwa, tulirudi kufanya marekebisho...
7 Reactions
49 Replies
5K Views
Duniani mahala popote pale chama kilicho hai huwa na nguvu ya umma.Maana uhai wa chama ni wananchi kuwa na hicho chama ndani ya mioyo yao. Sio kwa kupiga picha na kupost kwenye mitandao ya...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Julius K. Nyerere was awarded by 21 Universities, the following Honorary Doctorate Degrees: University of Edinburgh, (U.K.); University of Duquesne, Pittsburoh Pennsylvania (U.S.A.) Cairo...
12 Reactions
32 Replies
3K Views
SALUM Mwalimu anatuambia wamepeleka barua kwa Spika kumweleza hukumu ya mahakama iliowapiga chini kina Mdee na kwa sasa awatoe bungeni. Wamechemka tena. Anaemtangazia Spika, na anaeitangazia...
4 Reactions
78 Replies
6K Views
Moja ya kipimo Cha wazi Cha kukubalika Kwa kiongozi Kwa Karne hii Duniani ni pamoja na idadi ya watu wanaofuatilia hotuba na Taarifa zake kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii. Njia hii...
15 Reactions
70 Replies
6K Views
Mwenyekiti wa CCM-Tanzania ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg Samia Suluhu Hassan amefunga leo rasmi mafunzo ya kuwajengea uwezo makatibu wa CCM ngazi ya Wilaya na Mkoa...
9 Reactions
33 Replies
3K Views
kwa sasa nimeona Wamasai wengi wakihamishwa na Costa kupelekwa huko Handeni na ng'ombe zao kuhamishwa kwa malori, ikielezwa kuwa wanahama kwa hiyari Najua kuna amboa wanaweza kuweka msimamo...
11 Reactions
33 Replies
3K Views
Wabunge wa Viti Maalum, Salome Makamba na Grace Tendega wapo Bungeni, leo Alhamis Juni 23, 2022 na wameuliza maswali ya nyongeza baada ya kupewa fursa hiyo na Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson...
14 Reactions
92 Replies
10K Views
Baraza la Madiwani wa Jiji la DSM wamesema mawakala wa kutoza Ushuru wametafuna Jumla ya tsh bilioni 10 walizokusanya Hata hivyo Mkuu wa Mkoa mh Makalla amewapa siku 60 wawe wamezirejesha...
3 Reactions
38 Replies
3K Views
Rais Samia amefanya uteuzi wa viongizi mbalimbali. Pia, soma: Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA...
12 Reactions
158 Replies
28K Views
Back
Top Bottom