EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,713
- 35,525
Nimesoma katika moja ya mapendekezo ya Waziri wa Fedha Dr. Mwigulu Nchemba ni kwamba wateule wa Rais waliotenguliwa wasilipwe mishahara ya vyeo walivyokuwa navyo awali yaani warudishwe kwenye mishahara ya vyeo vyao vya miundo kabla ya kuteuliwa.
Hoja yake ni kupunguza wagebill ila najiuliza sana swali hili, ina maana kweli Waziri wa fedha na wataalamu wake hawajaona makundi haya yanayolipwa 80% ya waliowaachia vyeo baada ya kustaafu???
Rais
Waziri Mkuu
Makamu wa Rais
Spika
CDF
IGP
Mkuu wa Magereza
Majaji
Katibu Mkuu kiongozi
Na wengineo
Haya makundi yanakula fedha bila kufanya kazi na wanabaki na walinzi wanaolipwa na Serikali na Magari ya Serikali na mafuta ya Serikali.
Mwigulu wakati unahitimisha Bajeti yako njoo unijibu maswali yangu.