Mahakama itoe semina maalumu kwa waandishi wa habari namna ya kuripoti habari za kimahakama maana wanapotosha na kuzua taharuki katika jamii

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
34,669
40,917
Ukisoma vichwa vya habari vya magazeti mengi basi unapata picha kwamba Mdee na wenzake wameshashindwa kesi jambo ambalo kitaalam sio sahihi.

Sasa wakionekana huko Bungeni wananchi wataanza kuiona serikali kama inafanya ndivyo sivyo.

Jambo hili ni hatari kwani upotoshaji ukizidi unageuka kuwa ukweli.

Ni muda muafaka sasa Mahakama kuu ikakaa na waandishi wa Habari na wahariri na kuwapa semina namna ya kuandika habari za kimahakama ili kuepukana na upotoshwaji kama unavyofanyika sasa.
 
b1a203c2f5ca781d1162d77a9734b64a.png
 
Mimi nilidhani uzi wako umelenga kutoa elimu hiyo kumbe inaonekana hata wewe hujui. Kama unategemea mahakama kutoa elimu hiyo usiyoijua, umejuaje kuwa waandishi wanapotosha umma?
 
  1. Judgment
  2. High court tanzania
  3. 2022
  4. Halima James Mdee & Others vs Board of Trustee of Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) & Others (Misc. Cause 16 of 2022) [2022] TZHC 10206 (22 June 2022);

Court name

Haya JamiiForums tunaonesha mfano kwa kuleta hukumu ya Mahakama Kuu kanda ya Dar es Salaam nakala yake ya kurasa 33 (thelathini na tatu) iliyotolewa Jaji J Mgeta na kutiwa saini na mhuri.

Court name
High Court of Tanzania
Registry
High Court Dar es Salaam Main Registry
Case number
Misc. Cause 16 of 2022

Halima James Mdee & Others vs Board of Trustee of Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) & Others (Misc. Cause 16 of 2022) [2022] TZHC 10206 (22 June 2022);​

Media neutral citation
[2022] TZHC 10206

RULING

13 & 22 June 2022

MGETTA, J:

On 12th May, 2022, this application for leave to apply for judicial review was brought by way of chamber summons supported by affidavits and accompanied with applicants' joint statement. The application is brought against the Board of Trustees of Chama cha Demokrasia na Maendeleo (hereinafter referred interchangeably by its acronym as CHADEMA and or as the 1st respondent);

the National Election Commission (hereinafter referred interchangeably by its acronym as NEC and or as the
2nd respondent); and,

the Attorney General (the 3rd respondent).

If leave is granted, the applicants intend to apply for prerogative orders of Certiorari and Mandamus against the whole process and decision passed on 11th May, 2022 by 1st respondent's General Council for allegedly expelling them from membership of CHADEMA.In reply, CHADEMA appeared through its advocates equipped with a set of seven preliminary objections challenging the application that was brought by the applicants. Thus, in this ruling, I have endeavored to determine them. For the sake of clarity, I would like to reproduce the seven preliminary objections as hereunder ...... ....... .... READ MORE : Source : Halima James Mdee & Others vs Board of Trustee of Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) & Others (Misc. Cause 16 of 2022) [2022] TZHC 10206 (22 June 2022); | Tanzlii
 
Misc. Cause 16 of 2022) [2022] TZHC 10206 (22 June 2022);

Mwanasheria msomi Edmund Ngemela katika mahojiano na mwandishi msomi wa Global TV Online kwa pamoja wanaipitia hukumu na kujaribu kwa lugha rahisi kupata maana hukumu ya hii pia kipi kitafuata

Source : Global TV online

More info :
  1. Judgment
  2. High court tanzania
  3. 2022
  4. Halima James Mdee & Others vs Board of Trustee of Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) & Others (Misc. Cause 16 of 2022) [2022] TZHC 10206 (22 June 2022); source : Halima James Mdee & Others vs Board of Trustee of Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) & Others (Misc. Cause 16 of 2022) [2022] TZHC 10206 (22 June 2022); | Tanzlii
 
Ukisoma vichwa vya habari vya magazeti mengi basi unapata picha kwamba Mdee na wenzake wameshashindwa kesi jambo ambalo kitaalam sio sahihi.

Sasa wakionekana huko Bungeni wananchi wataanza kuiona serikali kama inafanya ndivyo sivyo.

Jambo hili ni hatari kwani upotoshaji ukizidi unageuka kuwa ukweli.

Ni muda muafaka sasa Mahakama kuu ikakaa na waandishi wa Habari na wahariri na kuwapa semina namna ya kuandika habari za kimahakama ili kuepukana na upotoshwaji kama unavyofanyika sasa.

Acha utapeli kasome rulling uone ukweli wa Mambo. Unafungua judicial review kwa private body ulisikia wapi?. Unashtaki board of trustees baadala ya registered trustiees?.
 
Naunga mkono hoja, ila vitu vingine ni sisi waandishi wenyewe, Wahariri na newsroom zetu tuu kutokuwa makini, court reporting is a specialised training, tatizo la media yetu hatuna specialization kila mwandishi anaripoti kila kitu, thanks God, mimi ni miongoni mwa tuliona ombwe hili and very soon tutalipunguza kwa utoaji elimu kwa umma kuhusu issues mbalimbali za Kisheria.
P
 
Naunga mkono hoja, ila vitu vingine ni sisi waandishi wenyewe, Wahariri na newsroom zetu tuu kutokuwa makini, court reporting is a specialised training, tatizo la media yetu hatuna specialization kila mwandishi anaripoti kila kitu,

Naunga mkono hoja, JamiiForums inajaribu kuleta taarifa hizi kama zilivyo " from the horse's mouth" hususan kesi hii misc. namba 16 / 2022 ya Halima J. Mdee na wenzie 19 kwa kutupia hukumu kamili kama ilivyo .

  1. Halima James Mdee & Others vs Board of Trustee of Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) & Others (Misc. Cause 16 of 2022) [2022] TZHC 10206 (22 June 2022);

Source : Halima James Mdee & Others vs Board of Trustee of Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) & Others (Misc. Cause 16 of 2022) [2022] TZHC 10206 (22 June 2022); | Tanzlii
 
Acha utapeli kasome rulling uone ukweli wa Mambo. Unafungua judicial review kwa private body ulisikia wapi?. Unashtaki board of trustees baadala ya registered trustiees?.
Hapa najiuliza Kuwa inakuaje wanasheria wanakuwa hawajasoma Katiba za taasisi husika hadi wanakosea wamshtaki nani??
 
Hapa nachozungumza ni reporting ya court decisions.

Waandishi hawafahamu namna ya kuripoti taarifa za kimahakama wanaishia kupotosha tu.
 
Acha utapeli kasome rulling uone ukweli wa Mambo. Unafungua judicial review kwa private body ulisikia wapi?. Unashtaki board of trustees baadala ya registered trustiees?.
Shida ni kuwa umekalia siasa tu kila kitu.

Hoja yangu ni ya kitaalamu.

Nazungumzia kuhusiana na uwasilishwaji wa taarifa za kimahakama kwa usahihi.

Sasa hapo wewe ndio unageuka tapenga .
 
Back
Top Bottom