Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

UVCCM_ TAIFA JUNI 27, 2022 ZOEZI LA UCHUKUAJI WA FOMU: Umoja wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa unawatangazia Vijana wote kuwa fomu za kugombea nafasi mbalimbali ndani ya Jumuiya...
1 Reactions
1 Replies
657 Views
Leo tarehe 23/01 /2022 Mzee Salim Ahmed Salim anatajwa kutimiza miaka 80 tangu kuzaliwa kwake, hii ni baraka kubwa kwake na kwa familia yake. Sisi wengine tunamtakia heri ya siku hii mzee wetu...
16 Reactions
61 Replies
6K Views
Kulikuwa na uwongo mwingi wakati wa awamu ya 5 kuhusiana na Sekta ya Madini. Kulikuwa na uwongo mwingi juu ya kuongezeka kwa mapato kwenye sekta ya madini eti kutokana na juhudi za marehemu...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Nani asiyejua kuwa hatuna Bunge lenye wabunge wanaowawakilisha wananchi? Nani asiyejua kuwa 75% ya wanaoitwa wabunge, hawakuchaguliwa na wajumbe wala wananchi wapiga kura? Nani asiyejua kuwa ni...
1 Reactions
3 Replies
552 Views
Ni kama ndoto ila ndo yanatokea kweli! Ndani ya miezi miwili mastaa wa mpira duniani wanaotambulika na kufahamika duniani kote wanamiminika Tanzania kwa fujo sana! Mastaa hawa wanapiga picha...
11 Reactions
138 Replies
7K Views
Rais Samia amesema pamoja na kupewa ushauri na mama Anna Mkapa kuingia kwenye siasa, sababu iliyomfanya kuwania nafasi kwenye baraza la wawakilishi Zanzibar ambapo ndio safari yake ya kisiasa...
2 Reactions
0 Replies
894 Views
Akijibu swali bungeni leo mheshiwa naibu waziri wa fedha amesema nchi yetu haijawahi kushuka toka uchumi wa kati chini tangu tulipiongia. Kilichotokea ni kushuka kwa ukuaji wa pato la taifa toka...
1 Reactions
0 Replies
614 Views
Hiyo picha ni Loliondo Waziri Mkuu akisikiliza wimbo wa hamasa ukiimbwa na vijana wa JKT. Hoja hapa ni huo umati wa vijana wa Vyombo vya Dola ambao wamepelekwa huko eti kwa kisingizio cha uwekaji...
7 Reactions
73 Replies
5K Views
Leo natumia haki yangu ya kikatiba kutoa maoni kuhusu ishu ya wabunge 19 wa viti maalum kutoka CHADEMA ambao walifutwa uanachama hivi karibuni. Na haya maoni ninayoyatoa nikiwa nimejiridhisha...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Mimi Kama mtumishi wa serikali nimekuwa nikiwaletea mwendelezo wa madudu ya Katibu tawala wetu mkoa wa Arusha, Athumani Kihamia ikiwa ni sehemu ya nne ya kuujulisha umma ubabe wa kiongozi huyo...
5 Reactions
14 Replies
2K Views
Hili suala huwa linashangaza sana maana ni jambo ambalo linashanhaza sana. Mikataba tata inasainiwa. Ufisadi unafanyika na mali za umma zinakwapuliwa lakini watu wanachukulia easy tu...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Hatima ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanaokabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi inatarajiwa kujulikana leo Juni 10, 2022. Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha iliyokuwa...
11 Reactions
218 Replies
17K Views
Katika Nchi ambayo Viongozi wanajipimia kama hii Tanzania ya Sasa tunahitaji vitu vitatu :- 1. Katiba Mpya ,tunahitaji katiba inayong'ata ili viongozi na wananchi waheshimu madaraka. 2. Chama...
11 Reactions
98 Replies
7K Views
Walikuwepo miaka yote, walieneza Dini ya Uislamu na utamaduni wao ndicho pekee walichoacha, lakini kwa nini hawakuwahi kuunda National Park ?
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Cheki mchakato kama wa wabunge kumi na tisa wa CDM. Nikupotezeana tu muda. Mwananchi anafaidika nini? Leo nchi kama US wanahangaika na habari za bunduki lakini hawawezi kufanya kitu sababu ya...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
CHADEMA imemtaka Spika Tulia kuwaondoa bungeni Wabunge 19 wasiokuwa na chama cha Siasa Hayo yamesemwa na Bi Simba Makao makuu ya Chadema Ufipa st leo Chanzo: ITV habari
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Serikali kutopeleka fedha ya elimu bure kwa shule za sekondari na msingi kwa mwezi May 2022 kumesababisha usumbufu mkubwa kwa taasisi hizo kwani wameshindwa kununua vifaa vya shule, kukarabati...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Akishiriki Tamasha la Utamaduni lililofanyika leo Januari 22, 2022 Mkoani Kilimanjaro Rais Salia Suluhu Hassan ameeleza, "Kumekuwa na maneno mengi ndani ya Tanzania kuhusu Serikali na Uchifu...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
https://www.ippmedia.com/en/news/pm-shifting-msomera-won%E2%80%99t-hinder-any-activities Bila kuwa na utaratibu hivi sehemu za Handeni mpaka morogoro ambazo ni nzuri sana kwa kilimo zitabaki...
0 Reactions
3 Replies
618 Views
Back
Top Bottom