Tunasubiria Embe Chini ya Mchongoma

Hamatan

JF-Expert Member
Nov 10, 2020
3,183
7,645
Nani asiyejua kuwa hatuna Bunge lenye wabunge wanaowawakilisha wananchi?

Nani asiyejua kuwa 75% ya wanaoitwa wabunge, hawakuchaguliwa na wajumbe wala wananchi wapiga kura?

Nani asiyejua kuwa ni katika hao wateule waovu kwenye ubunge, miongoni mwao alipatikana spika na naibu spika?

Nani asiyejua kuwa aliyekuwa naibu spika ndiye spika wa sasa?

Kwa hiyo, nani asiyejua kuwa spika ni zao la uovu?

Hivi kweli tunaamini mtu ambaye ni mwovu awe na nguvu ya kuchukua hatua dhidi ya waovu wenzake? Yeye mwenyewe hakuchaguliwa na wana-Mbeya, Covid 19 hawakuteuliwa na cha chao, mwovu ambaye hakuchaguliwa na wana-Mbeya, anayejua kuwa ndiyo kipindi chake cha mwisho cha ubunge na uspika, atapata wapi ujasiri wa kuchukua hatua dhidi ya waovu wenzake?
 
Wana Tulia Trust Wanachekaaa Huku Wanarejesha Marejesho Kwa Wakati

Ha Ha Ha Ha
 
Back
Top Bottom