Baada ya Uharibifu kwenye Sekta ya Madini, Marekebisho yanakuja

Hamatan

JF-Expert Member
Nov 10, 2020
3,183
7,645
Kulikuwa na uwongo mwingi wakati wa awamu ya 5 kuhusiana na Sekta ya Madini.

Kulikuwa na uwongo mwingi juu ya kuongezeka kwa mapato kwenye sekta ya madini eti kutokana na juhudi za marehemu.

Tanzania imeshuka kwenye uzalishaji madini ya dhahabu kutoka nafasi ya 3 Afrika mpaka ya 6. Mapato yaliyoongezeka kwenye mauzo ya dhahabu yalitokana na ongezeko kubwa la bei ya dhahabu kwenye sekta ya madini, na siyo kile kinachoelezwa eti ni kutokana na juhudi za marehemu.

Marehemu aliiharibu sekta ya madini mpaka kuifanya Tanzania kuwa nchi mbaya ya kwanza Duniani katika uwekezaji kwenye sekta ya madini. Wawekezaji karibia wote waliondoka au kufunga shughuli zao Tanzania. Barrick walibakia kwa kubembelezwa sana na kwa kupewa upendeleo mwingi.

Leo Serikali inahaha kuwarudisha wawekezaji kwenye sekta ya madini:

Tanzania plans to introduce tax intensives to attract investment in mining

WORLD

Saturday, 30 Apr 2022

12:25 AM MYT

DAR ES SALAAM, April 29 (Xinhua) -- Tanzania plans to introduce tax incentives to attract more investment in the mining sector, Minerals Minister Doto Biteko said on Friday.

Measures to introduce tax incentives will be introduced against the backdrop of rising demand for rare minerals in the technology industry, the minister told lawmakers in the capital, Dodoma, when he tabled his ministry's budget proposals for the 2022/2023 financial year, which begins on July 1.

Biteko said development in technology has led to increased demand for various minerals, including graphite, cobalt and nickel.

In 2021, the mining sector contributed to 45.9 percent of Tanzania's total export value, the minister said.
 
Tumeshachoshwa na maneno yenu! Fanyeni mtakavyo ikiwezekana wapeni % zote ao wawekezaji ili rasimali za inchi ziwe zao mpewe % yenu! Alafu mwisho wa siku mje mseme bila misaada hatuwezi kuendelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata 'wao' walichoshwa sana na maneno yenu kipindi kile. Tofauti ni kwamba sasa hivi mnaruhusiwa kuwaambia mmechoka ila wao kipindi kile waliposema wamechoka maneno yenu ya uongo mliwatia kwenye viroba na AK 47 ziliwahusu

Tumia akili kidogo alafu tafakari Biteko huyu huyu jinsi alivyojimwambafai kipindi kile kwa lugha za kejeli kwa wawekezaji wa madini (pengine kwa kutaka kumfurahisha mtu) ndio leo anazungumzia tax incentives ili kubembeleza wawekezaji ukipata jibu hamisha mahaba yapeleke kwenye uhalisia
 
Umeeleza kweli, Ila rekebisha makampuni yote makubwa ya dhahabu yalibaki na bado yapo mfano tu Ni GGM wa geita, Shanta wa chunya. Hivyo sio kweli kuwa walibaki barrick peke yao, na hayo makampuni mengine wala hayakuguswa kabisa
 
Mafisadi mmepata biti la kwenda nalo sasa.

Mmepata chaka jipya la kujifichamo ili mtafune na kupora madini ya nchi pamoja na mabasha zenu mabeberu.

Msidhani tumelala. Tunawacheki tu na drama zenu kwa mbali.

Ongeza propaganda. Tia mchuzi na mahanjumati.
 
Tanzania ilikuwa nafasi ya 4 kwenye uzalishaji dhahabu Africa na haijawahi kushuka.
South Africa ilikua namba 1 ndio imeshuka kwa Sasa namba 1 ni ghana
 
Kama wale waliweza kufanya na ikapita iweje leo tuwaaamini hawa kwamba ndio hawadanganyi ? Ukizingatia watu ni walewale tu sio kwamba wamekuja wapya

Hii tabia ya hawa watawala wachache ku-insult intelligence ya kadamnasi kuna siku wao au vizazi vyao itawatokea puani...
 
Hata 'wao' walichoshwa sana na maneno yenu kipindi kile. Tofauti ni kwamba sasa hivi mnaruhusiwa kuwaambia mmechoka ila wao kipindi kile waliposema wamechoka maneno yenu ya uongo mliwatia kwenye viroba na AK 47 ziliwahusu

Tumia akili kidogo alafu tafakari Biteko huyu huyu jinsi alivyojimwambafai kipindi kile kwa lugha za kejeli kwa wawekezaji wa madini (pengine kwa kutaka kumfurahisha mtu) ndio leo anazungumzia tax incentives ili kubembeleza wawekezaji ukipata jibu hamisha mahaba yapeleke kwenye uhalisia
Uhalisia tumepita kwenye vipindi vyote kwani ukiweka kabla ya kubadilishwa hiyo sheria na baada ya kubadilishwa hiyo sheria wapi tulinufaika kama nchi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mafisadi yanarudi kwa kasi
Ufisadi ulikuwepo sana TU hasa enzi ya babu Yako mwongo na ameharibu mengi TU,ila hutaweza kuelewa Kwa kuwa alikudanganya na uka mwamini,hivyo mengine ni marekebisho TU ya Yale aliyohatibu babu Yako.
 
Umeeleza kweli, Ila rekebisha makampuni yote makubwa ya dhahabu yalibaki na bado yapo mfano tu Ni GGM wa geita, Shanta wa chunya. Hivyo sio kweli kuwa walibaki barrick peke yao, na hayo makampuni mengine wala hayakuguswa kabisa
Sijasema makampuni yote. Nimesema makampuni KARIBIA YOTE.

Makampuni ya uchimbaji na utafiti madini, kabla ya 2015, idadi yake ilikuwa zaidi ya 160. Lakini kuanzia 2017, makampuni mengi yalifunga na kuondoka. Baadhi yaliacha kufanya kazi.

Leo hii ni nadra sana kuona kampuni inafanya exploration drilling. Kama hakuna exploration, ujue kuwa hakuna sustainability ya mining industry.
 
Mafisadi mmepata biti la kwenda nalo sasa.

Mmepata chaka jipya la kujifichamo ili mtafune na kupora madini ya nchi pamoja na mabasha zenu mabeberu.

Msidhani tumelala. Tunawacheki tu na drama zenu kwa mbali.

Ongeza propaganda. Tia mchuzi na mahanjumati.
Kuna jukwaa la vioja na mipasho, ungeenda huko. Hapa ni kwaajili ya watu wanaoweza kuchangia hoja kwa kutoa hoja.

Hujiulizi ilikuwaje Biteko huyu huyu aliyekuwa kila mara akisifia mabadiliko makubwa mazuri ya wakati wa marehemu, leo anakuwa kinara wa kuondoa uharibifu wa wakati wa marehemu!!
 
Tanzania ilikuwa nafasi ya 4 kwenye uzalishaji dhahabu Africa na haijawahi kushuka.
South Africa ilikua namba 1 ndio imeshuka kwa Sasa namba 1 ni ghana
Usichanganye mambo. Tupo kwenye hii sekta, tukizunguka Dunia nzima.

Tanzania ilikuwa nafasi ya 3 baada ya SA na Ghana, kisha baadaye ilishuka mpaka nafasi ya 4, ya tatu ikichukuliwa na Mali. Sahizi ipo kwenye nafasi ya 6, chini ya Burkina Faso.

[https://www]

NS Energy is using cookies

We use them to give you the best experience. If you continue using our website, we'll assume that you are happy to receive all cookies on this website.

CONTINUELEARN MOREX

[https://www]

Home»Companies» News

Top five gold mining countries of Africa from Ghana to Burkina Faso

MININGOTHER COMMODITIESRARE EARTH METALS

By NS Energy Staff Writer 28 Aug 2020

Africa's gold mining industry — traditionally dominated by South Africa — has shifted focus with countries such as Ghana, Mali and Burkina Faso entering the fray

[https://www]

Gold bullion. Credit: Erik Stein/Pixabay

Africa’s gold mining industry — traditionally dominated by South Africa — has seen a shift in focus with countries such as Ghana, Suda, Mali, and Burkina Faso entering the fray.

Major companies such as Newmont Goldcorp, Kinross Gold, AngloGold Ashanti, Barrick Gold and Gold Fields are active in the region, alongside controversial artisanal miners, who are especially active in Ghana, Mali and Burkina Faso.

Top five gold mining countries of Africa

From Ghana to Burkina Faso we profile the leading gold producers across the African continent.

1. Ghana – 142.4 tonnes

One of the Dark Continent’s top gold mining countries, Ghana grabbed the top spot from South Africa after mining more than 142 metric tonnes of the precious metal in 2019.

While traditional companies and artisanal miners contributing to Ghana’s gold production, some of the largest include Kinross Gold (Chirano mine), Newmont Goldcorp (Akyem and Ahafo mines), AngloGold Ashanti (Obuasi and Iduapriem mines), Gold Fields (works the Tarkwa gold mine) and Asanko Gold (Asanko mine).

The minerals mined in Ghana account for 37% of the country’s total exports, with gold comprising 90% of total mineral exports. Miningglobal.com estimates Ghana’s gold reserves to be 1,000 metric tonnes.

2. South Africa – 118.2 tonnes

Declining gold ore grades in South Africa over the past eight decades have seen the country lose its African top spot to Ghana. In 2019, gold production fell to 118 metric tonnes from 137 metric tonnes in the previous year.

[https://www]Table Mountain, Cape Town, South Africa (Credit: Counselling/Pixabay)

The Witwatersrand Basin, an underground geological formation in South Africa, holds one of the largest gold placer deposits in the world. Top gold mines in the country include South Deep (the largest gold mine in the world in terms of reserves and currently owned by Harmony Gold), Mponeng (operated by AngloGold Ashanti and the deepest mine in the world) and Driefontein (owned by Sibanye-Stillwater). South Africa’s oldest mine, Kromdraai, is a currently a huge tourist attraction.

Despite diminishing gold reserves, South Africa is still estimated to possess 6,000 metric tonnes (second-largest in the world), according to 2018 MiningGlobal data.

3. Sudan – 76.6 tonnes

The north-east African country of Sudan comes third in this list with gold production of more than 76 metric tonnes in 2019. This was, however, a big drop from the 93 tonnes produced the previous year and the 107 tonnes in 2017. The Sudanese government, however, claims annual gold production in the range of 120-200 tonnes.

[https://www]Hassai open pit mine, in the Red Sea Hills desert of north-eastern Sudan, began operations in 1992 (Credit: La Mancha Resources)

For years one of Africa’s top gold producing countries, Sudanese gold is found in the Eriab region of the Nuba mountains, along the alluvial regions of the Nile River and quartz vein formations in Obaidiya, Blue Nile region and North Kurdufan.

Africa’s third-largest country by area, Sudan’s gold mines include Hassai gold mine (owned by Sudan’s Ariab Mining Company and Canada’s La Mancha Resources) and Block 14 open pit mine project (operated by Canada’s Orca Gold).

4. Mali – 71.1 tonnes

The north-west African country of Mali produced more than 71 metric tonnes of gold in 2019, a sizeable jump from the 61.2 tonnes in 2018 — placing it fourth in our list of the continent’s top gold producers. Mali’s gold mining operations not only involve large mining companies, but also artisanal miners, who have also produced a sizeable chunk of gold and made a significant contribution to the country’s economy.

[https://www]Gold mine tunnel (Credit: Dariusz Sankowski/Pixabay)

Its gold mines include Morila (managed by Government of Mali, AngloGold Ashanti and Barrick Gold), Sadiola (managed by Government of Mali, AngloGold Ashanti and LamGold), Loulo-Gounkoto (managed by Barrick Gold) and Yatela (managed by Government of Mali, AngloGold Ashanti and LamGold).

Mali is estimated to have 800 metric tonnes of gold reserves, according to Norwegian website Eiti.org.

5. Burkina Faso – 62 tonnes

Burkina Faso’s 62 metric tonnes of gold produced in 2019 places it in fifth position in our list. Said to have one of the most dynamic mining sectors in West Africa, Burkina Faso‘s other major resources are copper, zinc, limestone, manganese and phosphate.

The country’s gold mines include Kalsaka (operated by Banlaw Africa Limited), Youga (jointly operated by Government of Burkina Faso and Etruscan Resource), Karma (operated by Endeavour Mining), Mana (operated by Semafo), Yaramoko (operated by Roxgold), Taparko-Boroum (owned and operated by Société des Mines de Taparko SA), Essakane (operated by IAMGOLD), and Inata (jointly operated by the Government of Burkina Faso and Avocet).

Burkina Faso’s gold reserves are estimated to be about 154 metric tonnes, according to Eiti.org.
 
Kuna jukwaa la vioja na mipasho, ungeenda huko. Hapa ni kwaajili ya watu wanaoweza kuchangia hoja kwa kutoa hoja.

Hujiulizi ilikuwaje Biteko huyu huyu aliyekuwa kila mara akisifia mabadiliko makubwa mazuri ya wakati wa marehemu, leo anakuwa kinara wa kuondoa iharibifu wa wakati wa marehemu!!
Nakuona JIZI LA MADINI unajaribu kupiga mikwara mbuzi!

Mimi wala! Nakucheki tu.
 
Nakuona JIZI LA MADINI unajaribu kupiga mikwara mbuzi!

Mimi wala! Nakucheki tu.
Mikwara inapigwa na watu waliokosa ustaarabu. Wastaarabu tunabishana kwa hoja. Yale mambo ya mikwara na kutishana kama awamu ya 5, huwa yapo kwa watu primitive. Watu ambao hao utofauti wao na wanyama pori, ni mdogo sana.
 
Kulikuwa na uwongo mwingi wakati wa awamu ya 5 kuhusiana na Sekta ya Madini.

Kulikuwa na uwongo mwingi juu ya kuongezeka kwa mapato kwenye sekta ya madini eti kutokana na juhudi za marehemu.

Tanzania imeshuka kwenye uzalishaji madini ya dhahabu kutoka nafasi ya 3 Afrika mpaka ya 6. Mapato yaliyoongezeka kwenye mauzo ya dhahabu yalitokana na ongezeko kubwa la bei ya dhahabu kwenye sekta ya madini, na siyo kile kinachoelezwa eti ni kutokana na juhudi za marehemu.

Marehemu aliiharibu sekta ya madini mpaka kuifanya Tanzania kuwa nchi mbaya ya kwanza Duniani katika uwekezaji kwenye sekta ya madini. Wawekezaji karibia wote waliondoka au kufunga shughuli zao Tanzania. Barrick walibakia kwa kubembelezwa sana na kwa kupewa upendeleo mwingi.

Leo Serikali inahaha kuwarudisha wawekezaji kwenye sekta ya madini:

Tanzania plans to introduce tax intensives to attract investment in mining

WORLD

Saturday, 30 Apr 2022

12:25 AM MYT

DAR ES SALAAM, April 29 (Xinhua) -- Tanzania plans to introduce tax incentives to attract more investment in the mining sector, Minerals Minister Doto Biteko said on Friday.

Measures to introduce tax incentives will be introduced against the backdrop of rising demand for rare minerals in the technology industry, the minister told lawmakers in the capital, Dodoma, when he tabled his ministry's budget proposals for the 2022/2023 financial year, which begins on July 1.

Biteko said development in technology has led to increased demand for various minerals, including graphite, cobalt and nickel.

In 2021, the mining sector contributed to 45.9 percent of Tanzania's total export value, the minister said.
Tumekubaliana hivii, si lazima kumponda/kuiponda awamu ya tano ndio uwe mwizi, iba tuu
 
Tumekubaliana hivii, si lazima kumponda/kuiponda awamu ya tano ndio uwe mwizi, iba tuu
Sijawahi kuajiriwa na Serikali maisha yangu yote, na sitarajii kuja kuajiriwa huko kwa umri huu. Na wala sijawahi kuwa na kampuni nchini Tanzania. Sasa naiba kwa namna gani?
 
Mafisadi mmepata biti la kwenda nalo sasa.

Mmepata chaka jipya la kujifichamo ili mtafune na kupora madini ya nchi pamoja na mabasha zenu mabeberu.

Msidhani tumelala. Tunawacheki tu na drama zenu kwa mbali.

Ongeza propaganda. Tia mchuzi na mahanjumati.
Hata kuandika Kiswahili naona ni shida. Au na wewe ni mrundi?

Kujifichamo ndiyo nini?
 
Back
Top Bottom