CHADEMA: Tunamtaka Spika Tulia aheshimu Katiba ya JMT kwa kuwaondoa bungeni Wabunge 19 wasio na chama

Kama mimi ningekuwa msemaje wa Chadema au mwana kamati ningesema waacheni wafu wazikane. Kama serikali waliwakingia kifua wakati huo sasa hivi kuna haja gani??

Kukuuuu
 
Chadema imemtaka Spika Tulia kuwaondoa bungeni Wabunge 19 wasiokuwa na chama cha Siasa

Hayo yamesemwa na Bi Simba Makao makuu ya Chadema Ufipa st leo

Source ITV habari
Hawezi kuheshimu labda mumloge ama yapelekeni mabaya yake kwa Mwenyezi Mungu na kilio cha wengi kwa Mungu ni........

Alafu Chama changu kibadilike, hao wanaoshabikia rangi Nyekundu hawana ubinadamu wala utu, tusiwape nafasi kwenye chama.
 
Sitaki kuamini kama huu ni uchungu wa kodi tu, maana kama ni swala la kupotea kwa fedha kunatokea katika nyanja nyingine nyingi tu lakini hampigi kelele kwa kwakua mmechagua kumuimba vizuri mama yenu awamu hii.

Kuwatimua tayari mmeshafanikiwa sasa spika kuendelea kuwabeba watu ambao hawawahusu inakuwaje mwiba mchungu kwenu?

Kinachowauma kama mtaamua kukaa kimya ni ile kuonekana maboya kwa hao wanawake (kwamba wamekula mishahara miaka yote mitano) na si vinginevyo, ama niwe muwazi MNAWAONEA WIVU KIMASILAHI.

NB: Hili swala la kudai kuwa mnauchungu na hela ambazo taifa linapoteza kuwalipa ni unafiki tu😂.
 
Amekataa. Mtamfanya kitu gani?

Nchi imefika wanaotakiwa kuheshimu na kuzitunza sheria zilizopo ndio wanaozivujna!
 
Sitaki kuamini kama huu ni uchungu wa kodi tu, maana kama ni swala la kupotea kwa fedha kunatokea katika nyanja nyingine nyingi tu lakini hampigi kelele kwa kwakua mmechagua kumuimba vizuri mama yenu awamu hii.

Kuwatimua tayari mmeshafanikiwa sasa spika kuendelea kuwabeba watu ambao hawawahusu inakuwaje mwiba mchungu kwenu?

Kinachowauma kama mtaamua kukaa kimya ni ile kuonekana maboya kwa hao wanawake (kwamba wamekula mishahara miaka yote mitano) na si vinginevyo, ama niwe muwazi MNAWAONEA WIVU KIMASILAHI.

NB: Hili swala la kudai kuwa mnauchungu na hela ambazo taifa linapoteza kuwalipa ni unafiki tu😂.
apa ndipo uelewa wako ulipokomea juu ya swala hilo?

Hujui kabisa kwamba hao watu wapo bungeni kwa jina la CHADEMA; hii wewe huoni maana yake?
 
Kumbe bado ni wanachama wenu?
Nimeandika wapi kuonyesha kuwa ni wanachama wetu; na wewe kama siyo akili ya mtindio umenihusisha vipi na uanachama wa CHADEMA.
Achana na hiyo akili ya kipumbavu; huwa sina subira na watu wa aina yako.
 
Ushauri wangu kwa CHADEMA Wana mambo mengi ya kufanya kwa taifa ni bora wakomae na hizo na kuachana na ngonjera zao za kila siku wabunge 19. Kwa kifupi zinaboa
 
Chadema imemtaka Spika Tulia kuwaondoa bungeni Wabunge 19 wasiokuwa na chama cha Siasa

Hayo yamesemwa na Bi Simba Makao makuu ya Chadema Ufipa st leo

Source ITV habari

Hii kimsingi sio kauli ya CHADEMA pekee bali ni kauli ya Watanzania wote kwamba mbunge yoyote ni lazima awe na chama cha siasa vinginevyo lazima avuliwe ubunge wake, sasa hili jambo huyo Spika hajui, haoni au amekuwa vipi??--- au tuseme hajui sheria pamoja na Phd yake ya sheria!! au ndio zile phd za "jalalani"??!--- Being a speaker, She disgraced herself in this regard and it tarnishes her history and legacy.

Pathetic.
 
Nimeandika wapi kuonyesha kuwa ni wanachama wetu; na wewe kama siyo akili ya mtindio umenihusisha vipi na uanachama wa CHADEMA.
Achana na hiyo akili ya kipumbavu; huwa sina subira na watu wa aina yako.
Sasa kinachokufanya upanick na kunitusi ikiwa sijafanya hivyo kwako ni nini?
Hakuna shida nyingine inayokusumbua wewe zaidi ya umasikini&ufukara, masikini utamjua tu hata kwenye maandishi yake maana hutafuta pa kumalizia stress zake.

Huo muda wa kulumbana sina.
 
Mbunge wa kuchaguliwa(kama ni halali)ni mmoja na wa viti maalum 19 nchi ya hovyo sana hii!
 
Sasa kinachokufanya upanick na kunitusi ikiwa sijafanya hivyo kwako ni nini?
Hakuna shida nyingine inayokusumbua wewe zaidi ya umasikini&ufukara, masikini utamjua tu hata kwenye maandishi yake maana hutafuta pa kumalizia stress zake.

Huo muda wa kulumbana sina.
EeenHeee.
Kwa hiyo hapa unapigania "utajiri" unaoutafuta kwa kuwaumiza waTanzania wenzako?
Acha niwe maskini kama ni umaskini, lakini siyo kuwa na akili za kipumbavu kama zako.
 
Nimeshasema sina mjadala na wewe.
 
Back
Top Bottom