Naibu waziri: Nchi yetu haijawahi kushuka uchumi wa kati chini ila uchumi wa wananchi ndio umeshuka

The Phylosopher

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
1,503
2,046
Akijibu swali bungeni leo mheshiwa naibu waziri wa fedha amesema nchi yetu haijawahi kushuka toka uchumi wa kati chini tangu tulipiongia. Kilichotokea ni kushuka kwa ukuaji wa pato la taifa toka 7% hadi 4%.

Ila mimi niliwahi kumsikia kiongozi mmoja akisema tulifika uchumi wa kati ila wenye husuda wametushusha.
Sijui alimaanisha nini?
 
Back
Top Bottom