Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hapo utaambiwa bajeti iliyotengwa kwa hafla hii ilikuwa milioni 900 [emoji1] Mbona hatusikii hafla za kumkosoa au kuikosoa serikali? Au Tanzania sasa imeshaingia G8 shida zimekwisha [emoji3]...
6 Reactions
43 Replies
2K Views
Ningependa tu kufahamu kama kuna mwenye kuelewa, ni Rais yupi alianzisha huu mtindo wa kumlipa Mbunge kwa kuja kwenye kikao cha Bunge laki 3/siku sijui wanapata. Je, ni tangia Nyerere, Mwinyi...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika, amewaeleza wanachama wa Chadema huko Geita, Kwamba iwapo itafika 2024 na 2025 bila Kuwepo Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi, SI TU KWAMBA CHADEMA...
10 Reactions
80 Replies
5K Views
Naona mnabwabwaja maneno hovyo kama vile mmekula chakula na kuvimbiwa. Mnabeua hovyo hovyo tu. Mnataka iweje? Rais aamuru Halima na wenzake wasiwe wabunge bila mahakama kufanya maamuzi? Kisa tu...
-1 Reactions
8 Replies
971 Views
Kimsingi vyama vya siasa vilishatengeneza Katiba Pendekezwa ambayo inasubiri kupigwa kura Sisi Wananchi Katiba yetu ni ile ya Warioba kwa maana ile Rasimu tuipigie kura biashara iishe hatuhitaji...
4 Reactions
41 Replies
2K Views
Baada ya wabunge wa viti maalum wa Chadema kuangushwa mahakamani siku ya leo na kujipanga kukata rufaa kupinga hukumu hiyo, je Spika Tulia ataendelea kuwatambua kama wabunge kwa kigezo kuwa...
16 Reactions
74 Replies
7K Views
Ndege ndogo ya kutumika kunyunyizia pesticides kwenye taasisi ya serikali ya kilimo anga imeuzwa kwa tshs laki tano kwa madai kuwa hakukuwa na vipuri. Wafanyakazi wasio na mkataba wa kudumu nao...
13 Reactions
179 Replies
32K Views
Hope mko poa Ni ukweli husiopingika serikali ya SSH Ina hali mbaya Sana kifedha. Ntatoa mifano miwili, toka JPM afariki dunia, ujenzi wa barabara nyingi umesimama, hakuna hekaheka za ujenzi wa...
12 Reactions
40 Replies
3K Views
Mnajipa moyo kama watoto. Mnataka kusema akina Halima walifoji barua ya kujiteua? 🤓🤓🤓 👇
3 Reactions
87 Replies
5K Views
Yafuatayo ni mabaya yenu ambayo mmeitumbukiza NCHI kwenye Giza Nene 1. Mikataba mibovu kuanzia Mali asili mfano madini na vitalu vya uwindaji bila kusahau gesi ya mtwara 2. Wizi wa Mali za umma...
0 Reactions
0 Replies
410 Views
Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee ameshauri Serikali kupunguza kodi katika ndege zinazotumika kwa utalii Nchini akisema inatakiwa kushuka na ikiwezekena ifike hatua kumiliki ndege binafsi liwe...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Kamisa wa sensa nchini, Anne Makinda amesema Sensa ya Watu na Makazi itakayofanyika Agosti, mwaka huu, itakapokamilika itaisaidia serikali na kumpa Rais Samia Suluhu Hassan picha halisi ya nchi...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Heshima sana wanajamvi, Ikiwa Mdee na genge lake waligushi nyaraka na hatimaye wakafanikiwa kuwa wabunge !. Ni kwanini mpaka leo chadema hawajawafunguliwa Mdee na wenzake kesi ya kugushi ...
10 Reactions
143 Replies
7K Views
Kama katiba ingelikuwa nzuri. Wa-Loliondo wasingeondoka kwenye ardhi ya mababu zao. Zuio la kimahakama lingewekwa na rais angeburuzwa mahakamani. Lakn katiba yetu inamlinda rais kuhojiwa na...
2 Reactions
34 Replies
2K Views
Hongera sana Rais wangu mahiri Samia Suluhu Hassan Huu ndo mwendo wa kwenda nao hawa wapuuzi wote wa Kenya. Lazima sasa wajue waliokuwa wanamuona kama The Sleeping Giant, ameamka rasmi Sasa...
16 Reactions
121 Replies
8K Views
RC MAKALLA: BANK YA AFRICA KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KUJENGA MASOKO YA KISASA YA MACHINGA. - Ni sehemu ya kuunga mkono juhudi za Rais Samia kuboresha mazingira ya Machinga. - Awaelekeza Wakuu wa...
0 Reactions
0 Replies
525 Views
Hapo vip!! Mimi huwa siasa na wanasiasa naona ndio chanzo cha umaskini katika jamii na sio suluhiyo la matatizo katika jamiii..hususana siasa za Afrika na wanasiasa wa Afrika. Kwa utafiti wangu...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Mifisadi ya ndani ya nchi na nje ya nchi walikuwa wakipeleka mifugo yao ngorongoro halafu wanatumia wenyeji maskini kuwa wafanye kazi ya kuwachungia na kutunza ng'ombe zao kwa mishahara kiduchu...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Inawezekana Rais kumchagua CDF mwanamke? Nani anafaa? Wapo wanawake gani kule ambao sasa hivi wana cheo? Ngome inaweza kumruhusu Rais amchague CDF mwanamke?
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa njiani kutoka Mwanza kwenda mkoani Mara, leo Ijumaa ametangaza kutengua uteuzi wa wakurugenzi wanne wa Halmashauri ya Buchosha, Iringa, Mbeya na Singida...
5 Reactions
139 Replies
17K Views
Back
Top Bottom