Mbunge wa viti maalumu CHADEMA Halima Mdee amemuhoji AG ni Kwanini Mawakili wa selikali wana uwezo mdogo wa kuhoji athari tarajiwa wakati serikali inaingia mikataba mbalimbali.
Halima Mdee ametoa...
RAIS amateua mwenyekiti wa BOARD ya NBAA (T) NI karibia miezi 2 sasa. ILA MWIGULU hajateua Wajumbe mpaka sasa
swali wake mwingulu
ni dharau kwa mamlaka za uteuzi au anasubiria mpaka...
Yawezekana kuwafukuza Halima Mdee na wenzake ni mpango wa Chadema kutaka kuidhalilisha Serikali, Bunge, Tume ya Taifa ya uchaguzi na baadhi ya mamlaka mahakamani
Lengo la Chadema watatuingiza...
Niwasalimu kwa jina la JMT..
Kuna dalili na kelele za watu hususani wapinzani uchwara kutaka Serikali ya Mseto kwa visingizio vya eti kuponya Nchi na kuleta maridhiano..
Binafsi siungi mkono kwa...
Nimeipenda hii ya kuviweka kisheria Viwango vya kodi za Mabasi na Malori
Hongera sana Dkt. Mwigullu Nchemba
Sasa weka utaratibu tuwe tunalipa kwa Mtandao wa simu hakuna haja ya kwenda TRA...
Hivi hawa wabunge waliofukuzwa na CHADEMA wakifukuzwa bungeni na kuingia wengine 19 ,Taifa kama Taifa tunafaikaje ?
Hivi Nguvu na akili tunazopeleka huko kwa hawa wabunge hatuwezi tumia kujadili...
Huu ni kama mchezo wa kutegeana na tulipofika ni Spika Tulia ndiye anapaswa kufanya maamuzi
1. Halima Mdee na wenzake walifungua kesi kupinga wao kuvuliwa uanachama
2. Jaji katupilia mbali ile...
Rais Samia amesema Mama Mkapa ndiye aliyemshawishi na kumtoa moyo aingie kwenye Siasa na alimtabiria mazuri mengi
Rais Samia alikuwa aliongea kwenye sherehe za miaka 25 ya mfuko wa Fursa Sawa...
Ni mara yangu ya kwanza kwenye hili jukwaa la siasa, sikutegemea kama ipo siku ntaingia huku, ila inabidi ukweli usemwe!
Naona suala zima la madhambi yanayofanywa na viongozi walioteuliwa na...
Ndugu zangu wakati tukiianza jumatatu njema kabisa kwa kuchapa kazi mahala popote tulipo napnenda kudokeza hili swala.
Kumezuka mlipuko, naweza kusema mlipuko wa habari na vichwa vya habari za...
Ubaya hauna kwao. Ubaya hauna macho. CCM Ina unasaba na ubaya. Kila mtu/kikundi ama chama wataonja ubaya wa CCM kwa wakati wake.
Mifno ya vyama na watu waliyoonja ubaya wa CCM.
-Ndugai, Membe...
Habari JF,
Hivi kama watu, hasa vijana hampigi kura nini mnategemea? Katika Uchaguzi mkuu wa 2020 watanzania waliojiandikisha kupiga Kura ni milioni 29.8 , lakini ambao hawakupiga kura ni milioni...
Wanabodi Salaam.
Kwa haya yanayoendelea kutokea nchini kwetu hivi sasa, ni dhahiri CCM na taasisi zake wamechoka kuiongoza hii nchi, taifa letu limekuwa la hovyo kabisa.
Ajabu sana, siku hizi...
Rais Samia Suluhu Hassan akishiriki kwenye Sherehe ya Miaka 25 tangu kuanzishwa kwa Mfuko wa Fursa sawa kwa wote (Silver Jubilee of Equal Opportunities for All Trust Fund - EOTF ) katika Ukumbi wa...
SIRI IMEFICHUKA! Kumbe vile vibanda vya wajasiriamali (Wamachinga) katika Soko Kuu la Chifu Kingalu vilivyojengwa na Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Albert Msando kwa kushirikiana na benki fulani...
Ndugu za wanaJamiiForums, nimepata taarifa leo hii kwamba kumbe CWT ambacho kimekuwa chama cha walimu kwa muda mrefu sasa kimepata chama mwenza ambacho ni chama cha CHAKUHAWATA. Taarifa hii...
Mbunge wa CHADEMAmh Halima Mdee amekitaka serikali kuondoa Vat kwenye huduma za ndege za utalii ili kuvutia watalii
Halima Mdee ambaye muda wote alikuwa alisha giliwa na Bunge zima amesema Rais...
KATIBU MKUU WA CCM ATOA MAAGIZO WAKATI HUU CHAGUZI NDANI YA CHAMA ZIKIENDELEA.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amewaagiza Makatibu wa Wilaya maeneo yaliyobainika...
UVCCM_ TAIFA
JUNI 27, 2022
ZOEZI LA UCHUKUAJI WA FOMU:
Umoja wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa unawatangazia Vijana wote kuwa fomu za kugombea nafasi mbalimbali ndani ya Jumuiya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.