Uchukuaji wa fomu za uchaguzi CCM

Uchukuaji wa fomu za uchaguzi CCM

Shabani Ajaha

Member
Joined
Aug 18, 2021
Posts
78
Reaction score
60
UVCCM_ TAIFA
JUNI 27, 2022

ZOEZI LA UCHUKUAJI WA FOMU:
Umoja wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa unawatangazia Vijana wote kuwa fomu za kugombea nafasi mbalimbali ndani ya Jumuiya ngazi ya Wilaya, Mkoa na Taifa zitaanza kutolewa kwanzia tarehe 02 Juni 2022 hadi tarehe 10 Julai 2022.

#AlipoMamaVijanaTupo
#ShirikiUchaguziKwaUadilifu
#2022JiandaeKuhesabiwa
#KaziIendelee

IMG-20220627-WA0091.jpg
 
Back
Top Bottom