Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanabodi, Kuna hatari kubwa kwa Bunge Maalum La Katiba, kupelekewa "The Act of Union" na kudanganywa eti hizo ndizo "The Articles of Union!", wakati kiuhalisia, hivyo ni vitu viwili tofauti...
24 Reactions
88 Replies
11K Views
Bahati mbaya tume haikutupa majibu ya nani alisimamia zoezi Zima la kuwafyatulia risasi za moto na kuwauwa wandamanaji wasokuwa na silaha. Mimi katika family yangu Kuna kijana wa miaka 20...
18 Reactions
69 Replies
1K Views
Ameandika Ansbert Ngurumo kwenye Mtandao wa X Mwandishi wa habari ALOYCE NYANDA anashikiliwa katika Kituo cha Polisi Bugarama (Kata ya Bugarama kijijini Ilogi) Geita. Walimkata jana huko Kakola...
8 Reactions
73 Replies
2K Views
Deodatus Balile, Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) akizungumza na waandishi wa habari Aprili 23, 2026 baada ya Tume ya Kuchunguza Matukio yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi...
3 Reactions
14 Replies
393 Views
Wanabodi, Hiki ni kisa cha kufikirika tuu lakini ni kisa cha kweli na ni cha ajabu kweli, ila ndio ukweli wenyewe kwa kitakachotokea kwenye ndoa ya wawili hawa!. Kwa hapa Tanzania, kwa kawaida...
4 Reactions
40 Replies
9K Views
Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi,TAAMULI HURU: 4R zitumike kuponya makovu ya Mapinduzi ya Zanzibar Jumapili ya Tarehe 12 January 2025, imedondokea siku ile ile ya Mapinduzi...
2 Reactions
17 Replies
869 Views
Wanabodi, Makala yangu kwenye Nipashe ya Jumaoili ya Leo。 Leo Tarehe 12 January 2025, imedondokea siku ile ile ya Januari 12, 1964, ilikuwa ni siku ya Jumapili. Leo Tanzania inaadhimisha miaka 61...
8 Reactions
53 Replies
2K Views
Wanabodi, Kwanza nijiunge na Watanzania wenzangu, kumpongeza Rais wa JMT, Rais Samia Suluhu Hassan, na Rais wa Zanzibar, Dr, Husein Mwinyi, kwa Zanzibar kutimiza miaka 60 ya Mapinduzi ya...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Serikali 3 ni bora sana kwa sababu zifuatazo: (i) Ni muarobaini wa malalamiko ya kuonewa au kumezwa; (ii) Ni balance nzuri ya uwiano serikalini - 50 kwa 50 katika uwakilishi na gharama; (iii)...
3 Reactions
63 Replies
5K Views
(A)NOVEMBA 5 Wazanzibari wataadhimisha kutimu miaka miwili tangu iundwe Serikali ya Umoja wa Kitaifa. Kabla ya hapo Wazanzibari walikuwa wamegawanyika vibaya sana. (1) Kwa hakika, mzozano huo...
5 Reactions
36 Replies
3K Views
Wanabodi, Kama kawa, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa. Leo niko Mbeya, hiki kibaridi cha Mbeya, kwa sisi tulio zoea mablangeti yale, hata ujifunike vipi, na...
16 Reactions
62 Replies
4K Views
Wapendwa JF, mtandao uletao mabadiliko nchini, Kwa miaka mingi watanzania tumekuwa tukijadili mengi juu lakini hatukupata fursa pana ya kujadili Mkataba wa Muungano yaani Articles of Union...
22 Reactions
143 Replies
25K Views
SEHEMU YA KWANZA: UTANGULIZI · Mchakato wa katiba umetawaliwa na uvunjaji wa sheria na kanuni, udanganyifu, uchakachuaji, vitisho na mabavu. · Katiba inayopendekezwa imepuuza...
18 Reactions
46 Replies
8K Views
Mwanaharakati na Mwanasiasa Cyprian Majura Musiba, ametangaza rasmi kurejea katika Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuanzia Januari Mosi, 2026, akisema amefanya uamuzi huo kwa hiari yake bila...
1 Reactions
0 Replies
161 Views
My Take: Madai ya muda mrefu kuwa muungano haukuridhiwa na Wazanzibari hayana msingi. Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni halali kwani vyombo halali viliridhia pande zote za Muungano. Uhalali...
18 Reactions
95 Replies
11K Views
Leo ni maadhimisho ya miaka 51 toka zanzibar na tanganyika waungane Tv nyingi zipo live tufuatilie na tuweke updates zote hapa ============= Leo tarehe 26 Aprili 2015 ni miaka 51 tangu mataifa...
3 Reactions
169 Replies
20K Views
Kama alivyojidai mwenyewe kuwa Tume ya Jaji Chande ni yake yeye Rais Samia na kwamba watu hawana haki ya kuihoji,sasa ni wakati muafaka wa kuruhusu kualika Tume Huru za Kimataifa kuja kufanya...
22 Reactions
23 Replies
538 Views
Wanabodi, Tanzania ni Jamhuri ya Muungano wa nchi mbili mbili, iliyokuwa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar, na Jamhuri ya Tanganyika, zikaungana ile Aprili 26, 1964, zikaunda Jamhuri ya Muungano wa...
6 Reactions
133 Replies
19K Views
Anaanza kwa kukaribishwa na "Hangaya" kwa sauti nyororo ya Kizanzibari... Lakini all in all, nasema..; Huyu jamaa ni mtukutu sana. Anapiga nyundo sadistically kiasi cha kukera sana...! Lakini...
26 Reactions
82 Replies
5K Views
Back
Top Bottom