Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kesho Kutwa, Nawewe utatueleza tu. Na hapa niwahakikishie, Wale wooooote mlohusika Kushabikia , na Matendo ya Kichawa kuanzia Wasanii mpaka Viongozi wa Ngazi zote . Hatutakua na nafasi ya...
2 Reactions
5 Replies
246 Views
Abdul ? Kijana ambaye kichwani ni mweupeeee peee pee ! Ndio ambaye ameruhusiwa Kua na mkono wa Kiutendaji Ndani ya TISS ? Yaan Abdul huyu Kichwa maji ndio naye ameruhusiwa kuwachomekea Washikaji...
24 Reactions
55 Replies
3K Views
RIPOTI YA JAJI OTHMAN CHANDE NA DAMU YA TAIFA JE, UKWELI UNAFICHWA? Ninaona kuna juhudi za kuuficha ukweli, jambo linaloibua mashaka kwamba huenda lengo ni kulinda maslahi ya watu wachache...
3 Reactions
5 Replies
257 Views
Hi Zeee ni Moja ya Zee lenye ROHO mbaya mnoo. Mh Polepole aliwahi tuelezea, Namna GANI Lilivyomtukana Nyerere, na namna GANI Magufuli alivyoliweka pembeni. Ni zee korofi, lenye UCHU, Zee ambalo...
1 Reactions
8 Replies
335 Views
Aisee ninauhakika kuwa ata CCM na majeshi Yao Kuna funzo kubwa walilipata kuhusu binadamu. Kabla ya MO29 watanzania walihamasishana mitandaoni kukiwasha ila watawala waliwachukulia poa. Kwa nchi...
9 Reactions
21 Replies
433 Views
Mnaendelea kuchora mabango ya kuandamana, mnaposti kwenye mitandao ya kijamii, mnapanga kukusanyika na kuingia barabarani kwa matumaini ya kusikika. Lakini jiulizeni kwa kina je, mmejiandaa...
3 Reactions
24 Replies
454 Views
Hili ninalisema Kila siku, Ujinga huenda Sambamba na Roho mbaya!. Hata Makazini mwenu majionea, Wafanyakazi wajinga Huwa wanakawaida ya Kujipendekeza, Uchawi , Kufitinisha ,Majungu n.k. Na Kwa...
19 Reactions
17 Replies
540 Views
Akiwasilisha Makadirio ya mapato na Matumizi ya Wizara kwa mwaka 2026/2027 Bungeni Dododma leo Aprili 22, 2026, Waziri wa Nishati nchini, Deogratius John Ndejembi amesema; "Nchi yetu pia...
0 Reactions
5 Replies
205 Views
LENGO hapa ni wote tuone Kwa namna gani Safari za Elimu zinaathiri utendaji kazi wa vyombo hivi, na hii itatupa Mwanga kwenye Katiba Mpya, Watu wa aina gani waongoze Vyombo vyetu vya Usalama...
4 Reactions
8 Replies
503 Views
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesitisha mpango wake wa kuuza akiba ya dhahabu kufuatia kushuka kwa bei katika soko la dunia, hatua inayoashiria mabadiliko ya tahadhari katika mkakati wake wakati...
3 Reactions
45 Replies
1K Views
Wanabodi Jana nilimsikia Waziri wa Kilimo。Mhe。 Hussen Bashe akitangaza vita vya kibiashara ya vyakula kati ya Tanzania,Malawi na Afrika Kusini, Bashe wakati akitangaza vita hiyo,sauti yake...
24 Reactions
44 Replies
3K Views
Tuna Jeshi la Polisi ambalo Matumizi ya Akili yalishaachwa huko nyuma . Inawezekana pia ikawa ni sababu ya Kutokua na Akili yaan IQ kiduchu . Hawa watu ulitaka kujua Uwezo wao wa Akili ,pitia...
3 Reactions
3 Replies
270 Views
Kwamba Jeshi la Polisi, linagawa Magari Kila Mkoa Hayazidi kumi, alafu Et wanayapa Promooo kwelikweli wakiamini wanawatisha Wananchi wasiandamane Oktoba 29 !!.
0 Reactions
5 Replies
252 Views
Yaan Njia mlioichagua ndio njia yenu, na sisi tutakwenda hivohivo na nyinyi. Ukweli ni kwamba ni Ama Tuwafikishe katika Sheria au Mtuue wote mtumalize !!. Na sio upuuzi na upumbavu wenu ulokoswa...
7 Reactions
15 Replies
476 Views
We are Coming !!... wee siulisaliti Polepole , mtoto wako alokuamini sana !!. Sasa , Polepole ataishi, ila wewe Utaulipia Usaliti huo. Unataka kujifanya wee ni Msuluhishi mzuri eehh kuzidi...
6 Reactions
7 Replies
321 Views
Huoo upuuzi mnaouita Maridhiano, mbaya zaidi mnaulazimisha Matakwa yenu ndio yafuatwe, IMEKULA KWENU. Hamuwezi kututeka Hamuwezi kutuaa Hamuwezi Kudhalilisha Kanisa Katoliki Hamuwezi Funga...
0 Reactions
3 Replies
133 Views
Oyaaaaa kasimamisha Bunge Kwa kazi gani Sasa wakati walouliwa ni Watu wa Nje ?? Na video ni AI??. MIILI YA WAPENDWA WETU WALOULIWA IMETEKETEZWA !!.
3 Reactions
4 Replies
170 Views
Ndivo vyombo vya habari Vitakavyoripoti !! Huyu Maza na watoto wake, Elimu zao ni za hapa na pale, ni za kuunga unga sana , Ugonvi wao na Elimu unaanza Wakifika Kidato Cha Nne. Dec 9 ni...
5 Reactions
9 Replies
481 Views
Back
Top Bottom