Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Redirect
Kwa kuzingatia sheria na kanuni zinazotawala maandamano ya amani kimataifa, kikanda na kitaifa pamoja na ushahidi uliowasilishwa mbele ya Tume, ni maoni ya Tume kuwa kilichotokea wakati na baada...
0 Reactions
Replies
Views
Watanzania sijui mna shida gani , Kuna familia nyingi mno zimetendewa vibaya sana na watawala na vyombo vya usalama, waliowatendea unyama wanajulikana lakini hakuna anaelipa kisasi. Uonevu...
13 Reactions
43 Replies
819 Views
Wanabodi, Kupitia TBC, matangazo ya moja kwa moja, live Mubashara kutoke Tunguu Zanzibar: Nawaletea Kongamano la Vijana la kuadhimisha miaka 62 ya Muungano wa Tanzania lililoandaliwa na Umoja wa...
3 Reactions
26 Replies
498 Views
Watu wamwambia watateteaje uongo. Hawajui kilichomo kwenye ripoti watatetea vipi. Waziri wa Habari Makonda ajitafakari pamoja na kupewa B2 za content creators hajaisaidia serikali.
8 Reactions
28 Replies
623 Views
1. Wanachama wenzangu. Hii game tushashinda mezani. 2. Lililobaki, tupange Safu ya vyeo kuanzia PM, Mawaziri na vyeo vingine (Wakurugenzi, Makatibu Wakuu, RC, RAS, Wakurugenzi Halmashauri, DC...
8 Reactions
56 Replies
2K Views
Trump kakoswa koswa hii ni awamu ya pili, Je Rais WENU you salama kiasi Gani? Kama chande anasema vijana walikuwa na silaha je Rais WENU you salama kiasi Gani? Utawala ulio mwaga damu kuwa...
2 Reactions
4 Replies
199 Views
Miaka ya karibuni, hasa kuanzia mwaka 1979, baada ya Iran kuanza kutawaliwa na Ayatollah, ambaye alitangaza kuwa Taifa la Israel liangamzwe, na kuwa Serikali zote za nchi za kiarabu zinazoongozwa...
0 Reactions
0 Replies
134 Views
Wakuu naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha. Yafuatayo ni mambo nyeti ambayo tume ya uchunguzi wa mauaji ya MO29 imeyaepuka kwa sababu ambazo wanazijua wao wenyewe: 1...
34 Reactions
84 Replies
2K Views
Nimevumilia vya kutosha nikidhani kama kuna mtu anayekerwa na fumbuzi wa matatizo ya muungano yaliyotolea kwenye kikao cha pamoja kati ya Mh. Lowassa na Mh. Nahodha. Kitu kinachonitisha ni...
19 Reactions
5K Replies
614K Views
"...tume ilipata ushahidi usio na mashaka kwamba matukio ya oktoba 29, 2025 yalipangwa, yaliratibiwa, yalifadhiliwa na kutekelezwa na watu waliopata mafunzo...huku wakihakikisha vitendo vya ghasia...
9 Reactions
17 Replies
527 Views
Cha ajabu sijaona wasomi wengi kutoka Zanzibar wakizungumzia swala la muungano kwa umakini. Sababu ambazo nazisikia kwenye upande wa faida ni 1. Wataweka bandari huru: Hii ilishawahi kutokea...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Ndugu zangu Watanzania, Itoshe Kusema Ya Kuwa Rais wetu Mpendwa ameendelea kuonyesha Namna anavyothamini ,kujali, kuheshimu na kuwa na uchungu sana na Uhai na Maisha ya Mtanzania mmoja mmoja na...
2 Reactions
54 Replies
785 Views
Yaani wameshindwa kabisa kuficha udhaifu wao kiasi kwamba hata wale waliokuwa hawaamini kuwa hii kesi no ya mchongo, sasa watakuwa wameamini. Tundu Lissu anaingia katika kundi la watu maarufu wa...
8 Reactions
10 Replies
299 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, Akifanya Mahojiano na BBC Aprili 24, 2026
2 Reactions
16 Replies
567 Views
Wanabodi Mimi mwanabodi mwenzenu,pamoja na mambo mengine yote,mimi pia ni Mkristo Mkatoliki, ila Ukatoliki wangu, ni wale Wakatoliki tulioendelea endelea, kwa Lugha ya Baba wa Taifa, Mwalimu...
38 Reactions
167 Replies
7K Views
  • Featured
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Aprili 21, 2026, wakati akifungua Kongamano la Kitaifa la Mamalishe na Babalishe, Rais Samia wafanyabiashara wadogo wa chakula, maarufu kama Mamalishe na...
7 Reactions
70 Replies
3K Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Taifa). John Heche, ametoa kauli nzito leo Aprili 26, 2026, akidai kuwa ukombozi wa kweli wa maisha ya vijana nchini, ikiwemo uwezo wa kumiliki nyumba, magari na...
4 Reactions
8 Replies
225 Views
Hivi huyu Bibi kweli anaitakia Mema Tanzania? Ile ni meli ya kuzinduliwa na Rais? 🤣🤣🤣 Yaani Tanzania ndo tujivunie ile Meli? Hii awamu inatia aibu hadi wamekosa vya kuzindua White Elephant...
16 Reactions
48 Replies
2K Views
Sikilizenikwenu- Ningekuwa na akili timamu, ningewahurumia. Lakini bahati nzuri nimetoka nje ya mduara wa akili zenu ndogo, sasa naona kile ambacho mlikipuuza kwa miaka 60 mkisema “Amani! Utulivu...
2 Reactions
14 Replies
432 Views
Wanabodi Hili ni bandiko la kuhamasisha uzalendo miongoni mwetu sisi wana JF, pale inapotokea serikali yetu imeshindwa jambo fulani, kwa wale wenzetu wenye uwezo, jee tuwajibike kuisaidia serikali...
12 Reactions
170 Replies
20K Views
Back
Top Bottom