PostGE2025 Nani alitoa amri ya “shoot and kill”?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Kindus

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2014
Posts
3,978
Reaction score
2,897
Bahati mbaya tume haikutupa majibu ya nani alisimamia zoezi Zima la kuwafyatulia risasi za moto na kuwauwa wandamanaji wasokuwa na silaha.

Mimi katika family yangu Kuna kijana wa miaka 20 alipigwa risasi ya mbavu na kuwawa maeneo ya mbauda pale sina uhakika kama tume ya chande ilimuhesabu ktk wale 518 kama sikosei

Tunataka kusahau yalopita na kuganga yajayo
Tunataka kuingia kwenye maridhiano tukiwa tunajua nani aliamrisha watoto wetu wafyatuliwe risas za kichwa.
 
Kuna bodaboda kaagizwa chips amerudi wakati anatoa hizo chips waka shoot hapo hapo getini,hivi unajua kuna machungu hayaponi haraka, wewe unatafuta maridhiano? serious uko sawa,nikumuachia Mungu mambo yanaumiza sana hisia , watanzania tulipitia pagumu,sioni tija ya kupandisha hizi nyuzi za matukio zina kwangua nafsi tulianza kupona ila mnatonesha tena
 
Bakht mbaya tume haikutupa majibu ya nani alisimamia zoezi Zima la kuwafyatulia risasi za moto na kuwauwa wandamanaji wasokuwa na silaha.

Mimi katika family yangu Kuna kijana wa miaka 20 alipigwa risasi ya mbavu na kuwawa maeneo ya mbauda pale sina uhakika kama tume ya chande ilimuhesabu ktk wale 518 kama sikosei

Tunataka kusahau yalopita na kuganga yajayo
Tunataka kuingia kwenye maridhiano tukiwa tunajua nani aliamrisha watoto wetu wafyatuliwe risas za kichwa.
Samuya na Kikwekwe bila shaka.
 
Kuna mtu kila akipanda jukwaani lazima amalizie na kibwagizo cha mimi ndie amiri jeshi mkuu wa majeshi yote nawahakikishieni kuwa hakutakuwa na nywinywi wala nywinywinywi, hiyo ilikuwa ni amri kwa majeshi yote kuwapiga na kuwaua wate watakaompinga na kweli walitekeleza amri hiyo kwa wivu mkubwa sana kumridhisha CIC.
 
Sio poa
 
Anajulikana wazi
IMG-20260415-WA0001.jpg
 
Mtoto wa dada yangu alikuwa dereva wa bodaboda yake niliyomnunulia ikawa inampatia riziki yake ya kila siku.

Alipigwa risasi mgongoni akiwa anarudi kituoni baada ya kumtelemsha mteja wake. Bodaboda ile mpaka leo imekaa bure tu, hakuna anayetaka kuigusa!
 
Wezi na waharibifu wa mali waliojificha kwenye jina la waandamanaji walistahili kifo unaenda kuchoma mali za umma mali za watu hadi vituo vya polisi alafu uchekewe? Dawa ni kuchapwa risasi tu hakuna kucheka na nyumbu wahalifu.

Lile lilikua ni funzo zuri sana ndo maana hadi leo hamna nyumbu anaejaribu kuingia barabarani kujaribu kuleta machafuko, amani ya nchi hii italindwa kwa gharama yoyote.
 
JWTZ hawakupaswa kukaa kimya hadi leo. Tuna jeshi takataka kabisa.
Majeshi yetu yanafunzwa kutisha na kupigana na raia. Na wanalishwa itikadi ya kuogopa watawala na kutete maslah yao. Mfanyakaz ya vyombo vya ulinzi na usalama ukikutana nae katika nyumba ya kiongozi hata kumaza mate mpaka aambiwe ndo ameze
 
Back
Top Bottom