Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Anaanza kwa kukaribishwa na "Hangaya" kwa sauti nyororo ya Kizanzibari... Lakini all in all, nasema..; Huyu jamaa ni mtukutu sana. Anapiga nyundo sadistically kiasi cha kukera sana...! Lakini...
26 Reactions
82 Replies
5K Views
Zanzibar imeungana na nani ? Na chini ya mfumo gani? Na Laila Abdulla, Katika makala iliopita, nilizusha swali : Zanzibar imeungana na nani ?.Jibu wazi ni kuwa , Zanzibar haikuungana na...
1 Reactions
47 Replies
6K Views
Wanabodi, Loe nchi yetu tumeadhimisha miaka 60 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar, na kuwa nchi moja ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Muungano wetu ni muungano adimu na muungano adhimu...
27 Reactions
106 Replies
5K Views
  • Redirect
Waziri wa Ulinzi wa Mali, Sadio Camara, ameripotiwa kuuawa kufuatia mashambulizi ya pamoja yaliyolenga kambi na maeneo ya kijeshi katika nchi Nyumba yake iliyopo katika mji wa kijeshi wa Kati...
0 Reactions
Replies
Views
Wanabodi, Sisi wengine wenu humu, japo tuna vyama toka ndani ya mioyo yetu, CCM kimeoza kwa rushwa na ufisadi, from top to bottom, left, right and center hadi kwenye shina lake!, huku hakuna...
29 Reactions
57 Replies
11K Views
http://www.youtube.com/watch?v=x8AOlS67rYQ
4 Reactions
113 Replies
15K Views
Mwaka 1964 nchi ya Tanganyika iliungana na nchi ya Zanzibar na kuzaa nchi ya Tanzania. Nilitarajia muungano ule ungezifuta nchi zote mbili yaani nchi ya Zanzibar na nchi ya Tanganyika ili kuwe na...
16 Reactions
95 Replies
6K Views
Wanabodi, Makala yangu ya leo kwenye gazeti la Mwananchi. https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/siasa/katiba-ya-zanzibar-inavyokinzana-na-ya-jamhuri-ya-muungano-wa-tanzania-4853314 Kuna msemo wa...
22 Reactions
100 Replies
5K Views
Wanabodi, Ili kuyachambua kwa kina yaliyojiri Zanzibar objectively, naombeni sana tutumie "nguvu za hoja" na sio " hoja za nguvu". Nilitamani topic hii ningeianzisha kule jukwaa la "great...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wanabodi, Kufuatia chokochoko ya kuuchokoa Muungano ilioanzishwa na kikundi cha Uamsho huko Zanzibar, na kuungwa mkono na Wazanzibari wasioutakia mema huu Muungano wetu adhimu, zimeanza kutolewa...
10 Reactions
143 Replies
22K Views
Wanabodi, Wakati tukiendelea na mjadala wa serikali 3 kuelekea kwenye katiba mpya, uoga mkuu kuhusu uwepo wa serikali 3, ni tishio la serikali tatu kuudhoofisha muungano hatimaye kurisk...
9 Reactions
51 Replies
7K Views
Wanabodi, Wakati mchakato wa Bunge la Katiba unaendelea, kumezidi kuibuka mijadala mikali, kuhusu serikali 3 zilizopendekezwa na Tume ya Warioba au kushikilia serikali mbili ambayo ndio sera ya...
7 Reactions
69 Replies
10K Views
Wanabodi, Wakati tunaelekea kusherehekea miaka 51 ya Muungano wetu adhimu, kuna taarifa za kushitusha kutoka Zanzibar!. TAARIFA MUHIMU: Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Mkoa wa...
2 Reactions
66 Replies
12K Views
Nawapongeza watanzania kwa kuikataa report feki ya tume ya Samuya.Nimeona mapokeo katika mitandao mbalimbali,ukiacha maraboti wengi wamekataa. Tumeonesha kwamba taifa haiwezi kuponeshwa kwa...
14 Reactions
28 Replies
535 Views
Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amemwombea msamaha aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, akiwataka wananchi wa Hai kumsamehe huku...
3 Reactions
78 Replies
2K Views
Na Mwandishi maalum Kauli ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kuhusu kuundwa kwa Tume ya Uchunguzi itakayochunguza kwa kina yale yaliyobainishwa kwenye ripoti ya...
0 Reactions
6 Replies
188 Views
Wakuu Kwa mara ya kwanza Tanzania inaendan kushuhudia Tukio kubwa na zitoooo na ambalo halikuwahi kutokea !!. Walikua wanasema, óhooo Watanzania ni waoga, ohoooo watanzania ni lojolojo. Nipende...
37 Reactions
79 Replies
3K Views
1. Mwenye kujua maslahi ya Wakurugenzi TANESCO atujuze. Naweza kulamba uteuzi hapo TANESCO muda wowote, insha'Allah. 2. Nipo Mlingotini ubani kama wote. Safari hii MD lazima nichukue mwenyewe...
10 Reactions
50 Replies
4K Views
Watoto wanaoishi katika mazingira magumu, bodaboda etc walipewa fedha kati ya TZS 10,000-50,000 katika kipindi cha kuanzia Tarehe 12-28 Oktoba na mafunzo kwa ahadi ya Ajira na vipato zaidi #NeverAgain
0 Reactions
7 Replies
137 Views
Back
Top Bottom