Dodoma: Waziri Aweso azindua miradi ya maji

Mtumishiwetu

Senior Member
Jul 13, 2022
187
332
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso ameweka jiwe la msingi katika mradi wa maji katika Kata ya Dabalo Wilayani Chamwino Mkoa wa Dodoma ambapo ametoa pongezi nyingi Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) na kwa kampuni ya PLASCO inayotengenenza matanki makubwa ya plastiki yaliyotumiwa katika mradi huo ikiwa ni kwa mara ya kwanza inatumika katika miradi ya maji nchini.

Waziri Aweso ameahidi kuwa Serikali itaendelea kutumia teknolojia hiyo badala ya ile ya kujenga kwani inatumia muda mfupi wa wiki mbili tu kuyaweka katika chanzo cha maji na yanadumu kwa muda mrefu wa zaidi ya miaka 70.

Mradi huo unaogharimu zaidi ya shilingi milioni 907 unatekelezwa na RUWASA chini ya Ofisi ya Meneja wa Mkoa wa Dodoma na Wilaya ya Chamwino kwa fedha za Mfuko wa Taifa wa Maji ambapo mkandarasi anayeujenga ni Medes Company Limited na unatarajiwa kuhudumia wakazi 8,134 utakapomilika Julai 30, 2022.

Katiba mpya itasimamia aina ya teknolojia tunayoitaka kwenye KILA sekta na sio kwenye maji pekee na kutegemea utashi wa mtu pekee kama ilivyo Sasa!!

"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!!
 
Bwana weee Katiba Katiba yani tusimpongeze Waziri Aweso kwa ubunifu wake utakaosaidia wananchi tusubirie hadi Katiba mpya ambayo hatujui itakamilika lini
 
Katiba mpya itasimamia sekta ZOTE VIZURI Sana wala hakutakuwa na haja ya kutegemea utashi wa mtu kiasi KWAMBA hata wewe utaweza kusimamia malengo ya kitaifa BILA kuumiza kichwa kama ilivyo Sasa!

Pia itatuepusha na sifa za kijinga kama hizi JAMVINI KWA sababu ya kukosa sera NZURI za kitaifa za sekta mbalimbali katiba itabeba sekta zote zitajiongoza na Taifa litasifiwa na sio Mtu mmoja mmoja Kama ilivyo Sasa!

"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!
 
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso ameweka jiwe la msingi katika mradi wa maji katika Kata ya Dabalo Wilayani Chamwino Mkoa wa Dodoma ambapo ametoa pongezi nyingi Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) na kwa kampuni ya PLASCO inayotengenenza matanki makubwa ya plastiki yaliyotumiwa katika mradi huo ikiwa ni kwa mara ya kwanza inatumika katika miradi ya maji nchini huku Waziri Aweso akiahidi kuwa Serikali itaendelea kutumia teknolojia hiyo badala ya ya ile ya kujenga kwani inatumia muda mfupi wa wiki mbili tu kuyaweka katika chanzo cha maji na yanadumu kwa muda mrefu wa zaidi ya miaka 70.

Mradi huo unaogharimu zaidi ya shilingi milioni 907 unatekelezwa na RUWASA chini ya Ofisi ya Meneja wa Mkoa wa Dodoma na Wilaya ya Chamwino kwa fedha za Mfuko wa Taifa wa Maji ambapo mkandarasi anayeujenga ni Medes Company Limited na unatarajiwa kuhudumia wakazi 8,134 utakapomilika Julai 30, 2022.

Kabuni waziri?
 
Ukiona mtu aliteuliwa na Magufuli ujue ana akili balaa na ukiona mtu alitumbuliwa na Magufuli ujue ni kilaza balaa
 
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso ameweka jiwe la msingi katika mradi wa maji katika Kata ya Dabalo Wilayani Chamwino Mkoa wa Dodoma ambapo ametoa pongezi nyingi Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) na kwa kampuni ya PLASCO inayotengenenza matanki makubwa ya plastiki yaliyotumiwa katika mradi huo ikiwa ni kwa mara ya kwanza inatumika katika miradi ya maji nchini huku Waziri Aweso akiahidi kuwa Serikali itaendelea kutumia teknolojia hiyo badala ya ya ile ya kujenga kwani inatumia muda mfupi wa wiki mbili tu kuyaweka katika chanzo cha maji na yanadumu kwa muda mrefu wa zaidi ya miaka 70.

Mradi huo unaogharimu zaidi ya shilingi milioni 907 unatekelezwa na RUWASA chini ya Ofisi ya Meneja wa Mkoa wa Dodoma na Wilaya ya Chamwino kwa fedha za Mfuko wa Taifa wa Maji ambapo mkandarasi anayeujenga ni Medes Company Limited na unatarajiwa kuhudumia wakazi 8,134 utakapomilika Julai 30, 2022.

Hizo Bomba zipo kitambo tuu ila Wizara ya Maji ndio walikuwa wanajivuta kutumia..

Tunazitumia kama piped culverts na zinatumika kama septic tanks..

Kwa kuongezea tuu , kampuni inayozalisha hizo Bomba ni kampuni ya Kitanzania tena ya Wazawa.
 
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso ameweka jiwe la msingi katika mradi wa maji katika Kata ya Dabalo Wilayani Chamwino Mkoa wa Dodoma ambapo ametoa pongezi nyingi Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) na kwa kampuni ya PLASCO inayotengenenza matanki makubwa ya plastiki yaliyotumiwa katika mradi huo ikiwa ni kwa mara ya kwanza
Hapa mbunifu ni PLASCO au Aweso!!

Uchawa unashika kasi sana hivi sasa
 
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso ameweka jiwe la msingi katika mradi wa maji katika Kata ya Dabalo Wilayani Chamwino Mkoa wa Dodoma ambapo ametoa pongezi nyingi Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) na kwa kampuni ya PLASCO inayotengenenza matanki makubwa ya plastiki yaliyotumiwa katika mradi huo ikiwa ni kwa mara ya kwanza inatumika katika miradi ya maji nchini huku Waziri Aweso akiahidi kuwa Serikali itaendelea kutumia teknolojia hiyo badala ya ya ile ya kujenga kwani inatumia muda mfupi wa wiki mbili tu kuyaweka katika chanzo cha maji na yanadumu kwa muda mrefu wa zaidi ya miaka 70.

Mradi huo unaogharimu zaidi ya shilingi milioni 907 unatekelezwa na RUWASA chini ya Ofisi ya Meneja wa Mkoa wa Dodoma na Wilaya ya Chamwino kwa fedha za Mfuko wa Taifa wa Maji ambapo mkandarasi anayeujenga ni Medes Company Limited na unatarajiwa kuhudumia wakazi 8,134 utakapomilika Julai 30, 2022.

Hayo matenki yamebuniwa na PLASCO na siyo Aweso!

Acha kipotosha!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom