Askofu Dkt. Alex Malasusa alimpenda sana Rais Magufuli

Corticopontine

JF-Expert Member
Sep 20, 2019
664
1,272
Malasusa: Magufuli alikuwa kiongozi, si mwanasiasa

Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani, wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dkt. Alex Malasusa amesema kuwa uongozi wa Hayati Dkt. John Magufuli ulikuwa wa pekee kwani ulikuwa tofauti na viongozi wengi wa Afrika.

Akihubiri katika Ibada ya Ijumaa Kuu ambayo imefanyika kitaifa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (CCT UDSM Chaplaincy), Dkt. Malasusa amesema kuwa Dkt. Magufuli hakuwa mwanasiasa, bali alikuwa kiongozi ambaye alitenda mambo, siyo tu kuishia kuongea.

"Uongozi wa Magufuli ulikuwa wa pekee, nasi kama Watanzania tuna cha kujifunza," amesema Malasusa katika mahubiri yake.

Amesema kuwa rafiki yake amewahi kumwambia kuwa "Afrika ina wanasiasa wengi sana, lakini kwa bahati mbaya ina viongozi wachache sana. John Pombe Magufuli wa Tanzania alikuwa kiongozi na ndiyo maana Watanzania waliomboleza."

Ameeleza kuwa Dkt. Magufuli alikuwa fahari ya Waafrika na kwamba kwa muda mfupi ameweza kufanya kitu ambacho labda kisingefanyika au ingechukua muda mrefupi kufanyika.

"Hatuhitaji siasa tu, lakini tuhahitaji uongozi," ameeleza Malasusa huku akiongeza kuwa maneno yamekuwa mengi huku utendaji kazi ukiwa hafifu sana.
 
Alikutamkia hivyo, au umechagua tu kumsemea? Maana hata kwenye maelezo yako hapo juu, sijaona sehemu aliposema "alimpenda sana......"!!!
 
Malasusa: Magufuli alikuwa kiongozi, si mwanasiasa

Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani, wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dkt. Alex Malasusa amesema kuwa uongozi wa Hayati Dkt. John Magufuli ulikuwa wa pekee kwani ulikuwa tofauti na viongozi wengi wa Afrika.

Akihubiri katika Ibada ya Ijumaa Kuu ambayo imefanyika kitaifa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (CCT UDSM Chaplaincy), Dkt. Malasusa amesema kuwa Dkt. Magufuli hakuwa mwanasiasa, bali alikuwa kiongozi ambaye alitenda mambo, siyo tu kuishia kuongea.

"Uongozi wa Magufuli ulikuwa wa pekee, nasi kama Watanzania tuna cha kujifunza," amesema Malasusa katika mahubiri yake.

Amesema kuwa rafiki yake amewahi kumwambia kuwa "Afrika ina wanasiasa wengi sana, lakini kwa bahati mbaya ina viongozi wachache sana. John Pombe Magufuli wa Tanzania alikuwa kiongozi na ndiyo maana Watanzania waliomboleza."

Ameeleza kuwa Dkt. Magufuli alikuwa fahari ya Waafrika na kwamba kwa muda mfupi ameweza kufanya kitu ambacho labda kisingefanyika au ingechukua muda mrefupi kufanyika.

"Hatuhitaji siasa tu, lakini tuhahitaji uongozi," ameeleza Malasusa huku akiongeza kuwa maneno yamekuwa mengi huku utendaji kazi ukiwa hafifu sana.
KIONGOZI hawi Katili kama Magufuli Magufuli hakuwa Kiongozi wala mwanasiasa

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Malasusa: Magufuli alikuwa kiongozi, si mwanasiasa

Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani, wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dkt. Alex Malasusa amesema kuwa uongozi wa Hayati Dkt. John Magufuli ulikuwa wa pekee kwani ulikuwa tofauti na viongozi wengi wa Afrika.

Akihubiri katika Ibada ya Ijumaa Kuu ambayo imefanyika kitaifa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (CCT UDSM Chaplaincy), Dkt. Malasusa amesema kuwa Dkt. Magufuli hakuwa mwanasiasa, bali alikuwa kiongozi ambaye alitenda mambo, siyo tu kuishia kuongea.

"Uongozi wa Magufuli ulikuwa wa pekee, nasi kama Watanzania tuna cha kujifunza," amesema Malasusa katika mahubiri yake.

Amesema kuwa rafiki yake amewahi kumwambia kuwa "Afrika ina wanasiasa wengi sana, lakini kwa bahati mbaya ina viongozi wachache sana. John Pombe Magufuli wa Tanzania alikuwa kiongozi na ndiyo maana Watanzania waliomboleza."

Ameeleza kuwa Dkt. Magufuli alikuwa fahari ya Waafrika na kwamba kwa muda mfupi ameweza kufanya kitu ambacho labda kisingefanyika au ingechukua muda mrefupi kufanyika.

"Hatuhitaji siasa tu, lakini tuhahitaji uongozi," ameeleza Malasusa huku akiongeza kuwa maneno yamekuwa mengi huku utendaji kazi ukiwa hafifu sana.
Malasusa yupo nyuma ya viongozi wa siasa strategically.
 
Hiyo ni Mitazamo tu...!

Nasikia Kuna Askofu mmoja Katelekeza Mchepuko na Mtoto Huko Kijenge Arusha...!
Mwenye hii taarifa atuweke Sawa.
 
Malasusa: Magufuli alikuwa kiongozi, si mwanasiasa

Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani, wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dkt. Alex Malasusa amesema kuwa uongozi wa Hayati Dkt. John Magufuli ulikuwa wa pekee kwani ulikuwa tofauti na viongozi wengi wa Afrika.

Akihubiri katika Ibada ya Ijumaa Kuu ambayo imefanyika kitaifa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (CCT UDSM Chaplaincy), Dkt. Malasusa amesema kuwa Dkt. Magufuli hakuwa mwanasiasa, bali alikuwa kiongozi ambaye alitenda mambo, siyo tu kuishia kuongea.

"Uongozi wa Magufuli ulikuwa wa pekee, nasi kama Watanzania tuna cha kujifunza," amesema Malasusa katika mahubiri yake.

Amesema kuwa rafiki yake amewahi kumwambia kuwa "Afrika ina wanasiasa wengi sana, lakini kwa bahati mbaya ina viongozi wachache sana. John Pombe Magufuli wa Tanzania alikuwa kiongozi na ndiyo maana Watanzania waliomboleza."

Ameeleza kuwa Dkt. Magufuli alikuwa fahari ya Waafrika na kwamba kwa muda mfupi ameweza kufanya kitu ambacho labda kisingefanyika au ingechukua muda mrefupi kufanyika.

"Hatuhitaji siasa tu, lakini tuhahitaji uongozi," ameeleza Malasusa huku akiongeza kuwa maneno yamekuwa mengi huku utendaji kazi ukiwa hafifu sana.
Kama haya ndiyo mahubiri ya Ijumaa Kuu basi Dayosisi hiyo haina kiongozi wa kiroho; inaongozwa na mataga!
 
Back
Top Bottom