Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni lini serikali itawaajiri watanzania waliosomea fani za mafuta na gesi wanaozea mtaani huku taifa likiwa na gesi asilia. Kuna wakati tunatakiwa kuieleza serikali ukweli katika baadhi ya mambo...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Katiba yetu inampa Rais mamlaka makubwa sana nchi hii. Rais ni kama Mungu kwa mujibu wa katiba yetu. Mawaziri wanatwezwa lkn hawana cha kufanya. Wakijuzulu "mungu" anaweza kutafsiri hatua hii...
20 Reactions
110 Replies
8K Views
Umezuka mtindo wa ajabu siku hizi ambapo katika kila jambo linalohusu fedha za taifa hili kusikia "tunamshukuru mheshimiwa Rais kwa kutupatia Tsh. bilioni kadhaa kwa kukamilisha hiki na kile"...
10 Reactions
33 Replies
2K Views
Salaam wakuu, Hivi majuzi kumetokea vurugu huko nchini Sri Lanka baada ya wananchi kutoka kila nyanja ya maisha kuingia ikulu ya Raisi na makazi ya Waziri Mkuu kuwataka kujiuzuru na hadi wakati...
21 Reactions
85 Replies
7K Views
Kiukweli mradi wa Bwawa la Umeme huko Rufiji unaendelea vizuri na binafsi nililiridhishwa na maelezo niliyopewa katika banda la Tanesco pale maonesho ya 7 7. Nawashangaa sana Chadema wanavyotilia...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
DKT. SAMIZI NA KIKAO CHA BARAZA LA VIJANA KIBONDO. Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Mkoani Kigoma Dk. Florence George Samizi ameendelea na ziara yake Jimboni ambapo leo amefanya Kikao Maalum na Baraza...
0 Reactions
0 Replies
667 Views
Kwa kuangalia nchi yetu tunafurahia amani tuliyonayo hata kama viongozi watuongoze kwa mijeledi maisha yanaenda angalieni kwasasa maisha yanavyochapa mkono watu - Bei ya mafta ipo juu kila mtu...
6 Reactions
27 Replies
2K Views
Tutazidi kukuombea katika maisha yetu kwani ulisimama na wananchi katika utekelezaji wa shughuli za serikali utakumbukwa kwa uchapakazi wako na kuweka uwazi katika mikataba yote serikali iliyokuwa...
8 Reactions
35 Replies
2K Views
Tunakumbushana tu kwa wale mnaoitamani nafasi ya Rais wa JMT kwamba ni lazima Chama kikuandae siyo unakurupuka tu kama kwa wale jamaa zetu wa Ufipa st. Nadhani ujumbe mmeuelewa. Dominica njema!
1 Reactions
4 Replies
430 Views
Siwezi kuamini kwamba makamba anafaa kuendelea kuwa waziri wa nishati Huu ndo ukweli, inashangaza sana, sio tu uwazir wa nishati hata idara nyeti hafai kupewa, hawezi, amepewa nafasi kibao za...
26 Reactions
63 Replies
4K Views
Kwa uelewa wangu Katibu Mkuu Kiongozi ni Mtendaji na anapaswa kutumia muda mwingi Ofisini na Wataalam. Lakini naona tofauti kwa Katibu Mkuu Kiongozi wa SMZ Mhandisi Zuwena amekuwa busy kwenye...
0 Reactions
2 Replies
882 Views
Dar orders five planes to bolster Air Tanzania SATURDAY OCTOBER 16 2021 An Air Tanzania plane. FILE PHOTO | NMG Summary Aviation industry sources told The EastAfrican that the funds were...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Wanabodi, Mara kwa mara Dr. Hamisi Kigwangala amekuwa akilaumiwa mara kwa mara na kushutumiwa, leo ndio nimeanza kumkubali, kiukweli huyu jamaa ni kichwa sana kwenye baadhi ya mambo, lakini...
47 Reactions
225 Replies
38K Views
📸WAZIRI MKUU ASIFU UTENDAJI WENYE MAFANIKIO MAKUBWA WILAYANI IRAMBA- SINGIDA. Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amesema anaridhishwa na kazi kubwa yenye mafanikio kwenye miradi na...
1 Reactions
2 Replies
753 Views
DKT SAMIZI AFANYA ZIARA KWENYE HOSPITALI YA WILAYA YA KIBONDO, ATEMBELEA AKINAMAMA NA KUJIONEA UTOAJI HUDUMA. Ni Jimboni kwake Muhambwe Mkoani Kigoma. Muhambwe Kazi Inaendelea kwa kasi na viwango.
1 Reactions
3 Replies
823 Views
Wana jamvi nina jambo ningependa kufahamishwa kuhusu ushiriki wa vijana katika masuala ya siasa na hususan Chaguzi mbalimbali. Takwimu za kidunia zinaonesha muitikio wa ushiriki katika uchaguzi...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Mchungaji wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG), Mbagala-Dar, Arist Bukombe amesema endapo serikali chini ya Rais Samia itaruhusu mfanyabiashara yeyote mwenye uwezo wa kuagiza mafuta toka...
1 Reactions
3 Replies
684 Views
Wako watu sasa hivi wanatamba, kana kwamba wamesahau yaloyowapata wenzi wao waliodhani ni wao duniani hata wengine walidiliki kutoa shuhuda kwamba ktk wanaokula raha ni wao tu duniani. Hali ile...
1 Reactions
1 Replies
653 Views
Tatizo 1. Tafiti zinaonyesha kati ya 55-65% ya archi ya Tanzania ipo hatarini kuwa jangwa miaka 20-30 ijayo. Ni tatizo ambalo lipo pia nchi nyingine za Africa 2. Namna pekee ya kunusuru mazingira...
17 Reactions
77 Replies
9K Views
Juzi Mhe Rais wa JMT alitoa takwimu za jiji la Dar es Salaam kushika nafasi ya 6 kwa usafi Afrika ila kiukweli hali sasa imeanza kuwa ndivyo sivyo. Zile jitihada za mwanzo tulizokuwa tunaziona...
6 Reactions
16 Replies
1K Views
Back
Top Bottom