Jenerali Ulimwengu ni mtu Hatari sana kwa Ustawi wa Taifa Staarabu. Ana Uhatari Mkubwa katika kauli zake

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,317
11,411
Jenerali Ulimwengu ukimsikiliza utagundua yeye hudhani ni very smart. Hudhani ana akili kuliko wengi. Kauli ambazo anatoa huwa hazina staha na si za kisomi.

Ni kauli za kijivuni na kibri ya hali ya juu. Ukiangalia maeneo mengi ambayo Jenerali atakuja zungumza ni pale ambapo kuna maslahi yake yameminywa sehemu na Utawala husika.

Kinyume na hapo huyu huyu Jeneral huwapamba Watawala hao kupitia Magazeti yake tokea enzi ya gazeti la Rai hadi Raia Mwema. Wakipishana naye hasa kwenye suala la Maslahi utaanza ona anavyoandika kwa kuponda na kutoa matamko yasiyo na staha.

Kuna mambo mengi namuunga mkono.suala la katiba mpya ni mojawapo. Lakini suala la kudhani yeye ana akili kuliko WATANZANIA wengie au wa Asili ni dharau kubwa kwetu.

Pengine afundishwe kutumia lugha ya staha ya kisomi na yenye kuendana na umri wake. Kukosoa ni jambo jema...na linajenga afya ya nchi. Lakini lugha stahiki ni jambo muhimu pia. Kama wanavyofanya akina Prof Shivji, Mzee Warioba, Mzee Bujiku, Prof Safari n.k.

Kwa tabia ya Ujibuni ya Jenerali Ulimwengu ipo siku wale wanaomshabikia sasa watakuja anza kumponda.

Sababu atakuja ongea maneno ya kuwasema vibaya. Jenerali Ulimwengu hana tofauti na Mambe Kimangi na Fatma Karume. Ana tabia ya kudhani yeye ni smart kuliko wengine around him. Mtakuja niambia.
 
Huyu mwamba huwa namkubali sana kwa maongezi yake ktk kupambana na dhuluma za watawala dhidi ya wananchi,huwa hamungunyi maneno,

Ila tangu Samia ameingia,Huyu mwamba hampopoi kwa mawe Yale aliyoyatumia kumpopoa JPM,Swala la ngorongoro,Loliondo Wala haligusi kabisa,when it comes to Samia,he is very biased,and I wonder why!!!

This guy is Muslim,and now we have a Muslim prezoo,hawezi mpa makavu,hata Shangazi fatma,tune yake ya kukosoa imebadirika sana tangu tupate,Rais Mzenj&islam
 
Jenerali Ulimwengu ukimsikiliza utagundua yeye hudhani ni very smart. Hudhani ana akili kuliko wengi. Kauli ambazo anatoa huwa hazina staha na si za kisomi.

Ni kauli za kijivuni na kibri ya hali ya juu. Ukiangalia maeneo mengi ambayo Jenerali atakuja zungumza ni pale ambapo kuna maslahi yake yameminywa sehemu na Utawala husika.

Kinyume na hapo huyu huyu Jeneral huwapamba Watawala hao kupitia Magazeti yake tokea enzi ya gazeti la Rai hadi Raia Mwema. Wakipishana naye hasa kwenye suala la Maslahi utaanza ona anavyoandika kwa kuponda na kutoa matamko yasiyo na staha.

Kuna mambo mengi namuunga mkono.suala la katiba mpya ni mojawapo. Lakini suala la kudhani yeye ana akili kuliko WATANZANIA wengie au wa Asili ni dharau kubwa kwetu.

Pengine afundishwe kutumia lugha ya staha ya kisomi na yenye kuendana na umri wake. Kukosoa ni jambo jema...na linajenga afya ya nchi. Lakini lugha stahiki ni jambo muhimu pia. Kama wanavyofanya akina Prof Shivji, Mzee Warioba, Mzee Bujiku, Prof Safari n.k.

Kwa tabia ya Ujibuni ya Jenerali Ulimwengu ipo siku wale wanaomshabikia sasa watakuja anza kumponda.

Sababu atakuja ongea maneno ya kuwasema vibaya. Jenerali Ulimwengu hana tofauti na Mambe Kimangi na Fatma Karume. Ana tabia ya kudhani yeye ni smart kuliko wengine around him. Mtakuja niambia.
Wewe ni nani mpaka uone yote hayo? Je na wewe hajagusa maslahi yako kwa watu wako wa karibu?
 
Maneno ya Jenerali Ulimwengu juu ya utawala wa Magufuli yatengenezewe sanamu halafu yawekwe Mnazi Mmoja tuwe tunasoma.

Ule ndiyo ukweli TANZANIA HAIKUSTAHILI KUTAWALIWA na Magufuli.

Ni kauli inawaumiza sana wafuasi wa Dikteta kichaa toka Chato ila ndiyo ukweli
 
Jenerali Ulimwengu ukimsikiliza utagundua yeye hudhani ni very smart. Hudhani ana akili kuliko wengi. Kauli ambazo anatoa huwa hazina staha na si za kisomi.

Ni kauli za kijivuni na kibri ya hali ya juu. Ukiangalia maeneo mengi ambayo Jenerali atakuja zungumza ni pale ambapo kuna maslahi yake yameminywa sehemu na Utawala husika.

Kinyume na hapo huyu huyu Jeneral huwapamba Watawala hao kupitia Magazeti yake tokea enzi ya gazeti la Rai hadi Raia Mwema. Wakipishana naye hasa kwenye suala la Maslahi utaanza ona anavyoandika kwa kuponda na kutoa matamko yasiyo na staha.

Kuna mambo mengi namuunga mkono.suala la katiba mpya ni mojawapo. Lakini suala la kudhani yeye ana akili kuliko WATANZANIA wengie au wa Asili ni dharau kubwa kwetu.

Pengine afundishwe kutumia lugha ya staha ya kisomi na yenye kuendana na umri wake. Kukosoa ni jambo jema...na linajenga afya ya nchi. Lakini lugha stahiki ni jambo muhimu pia. Kama wanavyofanya akina Prof Shivji, Mzee Warioba, Mzee Bujiku, Prof Safari n.k.

Kwa tabia ya Ujibuni ya Jenerali Ulimwengu ipo siku wale wanaomshabikia sasa watakuja anza kumponda.

Sababu atakuja ongea maneno ya kuwasema vibaya. Jenerali Ulimwengu hana tofauti na Mambe Kimangi na Fatma Karume. Ana tabia ya kudhani yeye ni smart kuliko wengine around him. Mtakuja niambia.
Shikilia hapo hapo Ulimwengu,sisi tunakuelewa ila Sukuma gang wanaumia Sana .

Wanyooshe
 
Huyu mwamba huwa namkubali sana kwa maongezi yake ktk kupambana na dhuluma za watawala dhidi ya wananchi,huwa hamungunyi maneno,
Ila tangu Samia ameingia,Huyu mwamba hampopoi kwa mawe Yale aliyoyatumia kumpopoa JPM,Swala la ngorongoro,Loliondo Wala haligusi kabisa,when it comes to Samia,he is very biased,and I wonder why!!!This guy is Muslim,and now we have a Muslim prezoo,hawezi mpa makavu,hata Shangazi fatma,tune yake ya kukosoa imebadirika sana tangu tupate,Rais Mzenj&islam
JUAN MANUEL wewe ndiye tatizo na siyo Jenerali Ulimwengu. Unataka Jenerali apinge kila kitu cha Serikali? Atakuwa HAYAWANI. Mama Samia ameonyesha improvement kubwa kwenye Demokrasia, Utawala wa Sheria, Uwekezaji na HAKI za raia kulinganisha na mtangulizi wake Dikteta Magufuli, je unataka Jenerali aseme nini?

Kuhusu Ngorongoro wenye akili wanajuwa sheria imasema nini kuhusu ardhi pia wanajuwa kuwa wafugaji wa Kenya ndiyo wenye yale maelfu ya ng'ombe wanaolishwa majani ya Ngorongoro na hivyo kuhatarisha hiyo world heritage site!

Unataka Jenerali aseme nini?
 
Huyu mzee huko nyuma nilikua nasoma makala zake sana ila tangu utawala wa JPM ulivyoingia amekuwa na makasiriko
 
Back
Top Bottom